gari

  1. mediaman

    JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani gari likikaa miezi sita bila kutumika?

    Wakuu, naomba kujua iwapo gari langu nililolipaki mahala karibia miezi sita sasa litakuwa na shida siku nikianza kuliendesha tena.
  2. J Mbungi

    JamiiForums Tanzania Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) offer yangu Million 8

    Natafuta Gari aina zilizo tajwa hapo juu.(Gari inahitajika (Forester, Voltz, Xtrial, Vanguard au Alex) Offer yangu Million 8.) Gari iwe nzuri haijawahi kupata ajali na iwe kwenye hali nzuri). Of course fundi wangu atakagua gari vizuri kabla ya kufikia muafaka. Napendelea rangi hizi (black...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dar: Gari 35 zazuiliwa kuendelea na safari stendi ya Magufuli

    Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Ibrahim Samwix ameyazuia mabasi 35 kuendelea na safari kutokana na ubovu mbalimbali aliogundua kwenye magari hayo kabla ya safari Magari hayo hayataruhusiwa hadi yataka tengenezwa kwa kuwa yalikuwa yanahatarisha maisha ya wasafiri Wito...
  4. hp4510

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kutumia gari yenye usajili wa Zanzibar, Tanzania Bara?

    Wandugu, Nina gari Zanzibar, nataka kuja nalo bara, na niweze kulitumia kwa miezi michache. Swali langu: je, ni process gani zinatakiwa kufuatwa? Kama kuna mtu yeyote amewahi kupata changamoto kama hii naomba aniambie alitatuaje.
  5. mediaman

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi aponea chupuchupu kuungua moto; gari la mamilioni lateketea

    Baadhi ya wateja wangu hupenda kuniita Mkurugenzi ingawa sina sifa za kuitwa hivyo. Nafurahia zaidi kuitwa Mkulima. Haya, fuatilia sasa kwa makini ujue mazito niliyokutana nayo safarini. Hii ni habari ya kweli kabisa, ila kama wewe ni mwepesi wa kulia na kutoa machozi, usiendelee kusoma habari...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi George Ambangile azawadiwa gari na Diamond Platnumz

    Mchambuzi mahiri na ayetikisa kwa sasa kwa uchambuzi wa kina wa soka wa kipindi Cha sports Arena na sport court Cha Wasafi Media George Ambangile hapo Jana amepewa zawadi ya gari Aina ya CROWN na msanii wa kimataifa na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kwa kazi nzuri alionesha George...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini nifanye ili niweze kutatua tatizo la gari yangu aina ya Toyota Corolla Fielder

    Habarini wapendwa kwema!!! Nina gari yangu aina ya Toyota corolla fielder shida kubwa kila nikiiwasha inawaka halafu inazimika nikirudia tena bado inazimika, ila ukiiwasha halafu ukaikanyangia moto hata kwa dk 3 mpk 5 ikishapata moto engine ndo inawaka. Nimeshaipeleka kwa fundi lkn bado shida...
  8. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania George Ambangile apewa zawadi ya gari na Wasafi FM

    Mchambuzi nambari moja wa soka hapa Tanzania, George Ambangile PhD amezawadiwa gari kwa mtindo wa surprise. Ambangile ambaye amefanikiwa kuzima vipindi vyote vya uchambuzi wa soka bongo, amekuwa kipenzi cha wanakandanda kwa ustadi wake mkubwa wa kuifundisha soka redioni maana anachofanya ni...
  9. mediaman

    JamiiForums Tanzania Majambazi 10 yalijipanga mstari mmoja barabarani usiku kuzuia gari langu lisipite

    Wana bodi, naomba niwapashe habari ya tukio la hatari sana nililokutana nalo siku chache zilizopita. Kweli Waswahili hawakukosea waliposema: "duniani kuna mambo... tembea uone." Siku hiyo ya tukio, mimi na marafiki zangu wawili tulikuwa tunafanya kazi fulani nyumbani kwangu kuanzia jioni. Kazi...
  10. polokwane

    JamiiForums Tanzania Hii ya kubadilisha KM za gari hivi ni kweli ipo? Kuna gari namba BAC ina KM 38900 TOYOTA KLUGER jamaa anaiuza

    Nimepata mashaka makubwa sana baada ya kutizama hizo kilometre na usajili wa gari yaani gari imesajiliwa muda mrefu lakin imetembea km chache sana nika muuliza kulikoni gari inausajili wa BAC wa muda mrefu lakini gari imetembea km chache kiasi hiki? Akanijibu tangu imenunuliwa ilikuwa haitumiki...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    Picha: Nissan Dualis Wakuu nianze kwa kuwasalimu na kuendelea kukumbushana pia kuhusu namna ya kujikinga na hili gonjwa la sasa.. Corona Naomba nije kwenye topic kuu sasa. Nimekuwa nikitamani sana kumiliki gari lililo juu juu (wenyewe wanaita SUV), kutokana na mazingira niliyopo, gari la...
  12. Merci

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari mpya aina ya IST yenye cc 1490 ya mwaka 2004 inauzwa

    Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Honda CV-V

    Haya ndugu na marafiki, nakuja kwenu ili nipate uzoefu wa Honda CR-V uzuri wake na changamoto zilizonazo, mambo yakienda sawa nataka kumiliki gari hii. Nawakilisha kwa maoni zaidi. Honda CV-V
  14. Glas

    JamiiForums Tanzania Niko Morogoro, nina bajeti ya mil 2,500,000/= nahitaji gari ndogo ya kutembelea

    Niko Morogoro...nina bajeti ya mil2.5, shida yangu ni gari ndogo ya kutembelea. Ikiwa pamoja na hizi. Premio Vitz Nissan march Carina Corrola Auris Au yyte nyingine. Naomba msaada wenu kwa mwenye nayo anichek. Natanguliza shukurani. MREJESHOO
  15. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Gari kutoa moshi mweupe na kula mafuta sana ikiwa silensa ni shida ya nini?

    Salaam wakuu, Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
  16. Mwita Mtu Mrefu

    JamiiForums Tanzania Ni vipi mtu anaweza kujua jina la mmiliki wa gari kupitia plate number?

    Hello JF, Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kumtambua mmiliki wa chombo cha usafiri hususani gari bila purukushani za kwenda polisi. Je, inawezekana kupata taarifa online? Majina, namba za simu?
  17. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Zima gari lako haraka kama ikiwaka taa hii kwenye dashboard

    Kama unaendesha gari lako ghafla taa hii nyekundu ikawaka ni vema ukatafuta mahali ambako pako salama ukapaki gari yako na ukaizima kwanza. Rangi nyekundu iliyoko kwenye hiyo alama inatosha kukuambia kwamba hilo ni tatizo ambalo linahitaji kutatuliwa haraka sana kabla halijaleta madhara...
  18. Mlenge

    JamiiForums Tanzania Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka?

    Gari hula mafuta zaidi likiwa laenda polepole au haraka? Wengi husema gari likienda mbio kweli halili mafuta kiviiile! Je, ni kweli?
  19. Emmanuel180

    JamiiForums Tanzania Gari za Cassablaca Kigoma na Tv za nyumbani

    Nyiee hivi mlishawahi kwenda Kigoma kuna gari zinaitwa Cassablanca ukiingia ndani picha linaanza kwanza hitakiwi kuvaa tshirt au nguo nyeupe maana utafika kibondo kama umetoka kumuibia mchina madini kule Buzwagi. Ok sasa Tv za mule ndani ni flat screen Lg zimechomelewa juu ya dali la gari kwa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Teknolojia ya kuendesha gari kwa kutumia maji imekwama wapi?

    Kuna teknolojia ipo kitambo ya kuendesha magari na hats mitambo mingine kwa kutumia maji ambapo kifaa hufungwa kuunganisha tenki dogo la maji na injini ya gari. Kifaa hiki hutenganisha elements mbili zinazotengeneza maji yaani Hydrogen na Oxygen (H2O) na kutumia Hydrogen ambayo ni gesi...
Back
Top Bottom