gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Ni kitu gani kinafanya makabila mengi Tanzania kutokuwa na utamaduni wa kurudi kwao?

    Nazungumzia kurudi kama kabila ka ilivyo kwa lile kabila ambalo sina hata haja ya kuliweka hapa, Nadhani mnalijua nyomi lao hao wanaorudi ikifika December. Huko wanakofikia ndio kwao, ndio chimbuko lao, ndiko vizazi hadi vizazi vimezaliana mpaka kuja kwa hapa duniani, Kwenu ni sehemu ambayo...
  2. PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

    Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan, Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu...
  3. Juzi kati Mtanzania alikamatwa kwa kubaka mbuzi, haya mwingine amebaka nguruwe, kuna uhaba gani huko bandugu

    MKAZI wa Kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe. Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
  4. Kozi ya Construction Management ajira zake zipoje?

    Msaada kuhusu construction management endproduct yake anakuwa mtu gani na ajira zake zikoje Naomba msaada wa hio course wakuu
  5. Hivi kuna uhusiano gani kati ya Pombe na Maumivu ya Mwili kupungua?

    Heshima kwenu wakuu.. Aisee, jino lilikuwa linauma jioni hii kupita maelezo, nikarudi zangu home kuna K Vanga kubwa ilibaki jana kwenye mwanamke nyonga nikasema ngoja niikate taratiiiiibu, baada ya kugonga K Vanga nashangaa maumivu ya jino yameisha kabisa wakuu. Hivi, Kuna Uhusiano Gani Kati...
  6. College ya Afya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Mbeya inajengwa sehemu gani?

    Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo. Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine...
  7. Korido, sebule, chumba, jiko, master, dining nk, vinatakiwa kuwa na wastani wa ukubwa kiasi gani?

    Eti wakuu hivi vitu pamoja na milango, madirisha na umbali hadi darini kwa wastani unakuwa kuwaje. Maana nasikia hadi ngazi zina kipimo chake cha urefu na upana.
  8. K

    Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

    Habari wakuu! Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania? Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
  9. R

    Msaada: Hii ina maana gani? Kwanini wasiandike Judgement wanaandika ORDER of the Court?

    Nimekuwa nikikutana na hii kitu hapo juu marakwa mara. Ina maana gani. Judge anaandika Order of the Court badala ya kuandika Judgement anaposikiliza pingamizi. Naweka hii order muione . Halaf hiyo kesi ya tarehe 12 nai attach for convinience and quick reference...
  10. Naomba Kujua Majina ya Interview Kwenye Web ya Utumishi Yanakaa Sehemu Gani Wakuu...?

    Salaam kwenu wadau. Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...? NAWASILISHA.
  11. K

    Hivi mtu anayeitwa Uchebe ni Msanii wa Sanaa gani?

    Last weekend nikiwa na washkaji zangu kiwanja flani hapa mjini,ghafla akatokea mtu mmoja kwenye meza yetu akajitambulisha kuwa yeye anaitwa Uchebe akawa anatuomba tumnunulie bia, tukamuuliza yeye ni nani akatushangaa tu imekuaje sisi hatumjui yeye na wakati ni mtu maarufu sana hapa Tanzania then...
  12. Nchi gani hapa Afrika unatamani siku moja ufike?

    Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
  13. Rais Samia na busara ya kujua nini cha kuahidi kwa wakati gani

    Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu. Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa. Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine. na zipo...
  14. K

    Ni kipi kinaifanya dawa kuongezeka nguvu pale inapotegwa kwenye mlango wa choo?

    kwa wale wataalam wa ndumba ni kipi huifanya dawa kuwa imara sana pale inapotegeshwa kwenye mlango wa kuingilia chooni
  15. M

    Serikali iingilie kati hiko Chuo cha Uongozi cha Polepole, kilisajiliwa lini na kina maudhui gani kwa Taifa?

    Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania. Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo...
  16. Mambo gani yanayokukera huku Uswahilini kwetu na hasa kwenye nyumba za kupanga?

    1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku. 2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni. 3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia...
  17. Kesi ya Mbowe Serikali imeingia kwenye mtego huu iuepuke mapema

    Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
  18. Swali Fyatu la Jumamosi: Hili Soko la Bilioni 32 litakuwa na Vitu Gani Ndani?

    Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini... Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
  19. Hii nukuu ya Dalai Lama ina maana gani?

    “The very purpose of religion is to control yourself, not to criticise others.” — Dalai Lama XIV
  20. South Sudan kuna fursa gani?

    Hii nchi inafursa gani ambazo mtanzania anaweza kuchangamkia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…