gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani, ambao ni sahihi, kwa mfiwa kuoa/kuolewa na mtu mwingine?

    Aliyefiwa na mke au mume; ni baada ya muda gani ndio anaruhusiwa kuoa/kuolewa? Maisha ya ndoa huwa ni matamu sana, hasa kwa wale wachache waliobahatisha kupata mtu sahihi. Inafikia kipindi, wanakuwa na mfanano fulani; unaweza kuwa wa sura, kuongea, au tabia. Inapotokea mmoja wapo anafariki...
  2. kindikinyer leborosier

    JamiiForums Tanzania Ushauri nifanye biashara gani kwa mtaji wa Milioni 3?

    Asalaam wanajamii wenzangu! Mimi ni mhitimu wa chuo, nimehitimu miaka kadhaa iliyopita, kwa hali zetu kwa sasa ni ngumu kupata ajira, nimejipiga sana nikasave sh. Mil 3 kwenye harakati za mtaani! Nawaza kwa mtaji wangu huu nifanye biashara gani? nipo mwanza kaa utafutaji! asante!!
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mikoa gani na wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi Tanzania?

    Habari wakuu, natarajia kila moja wenu ako salama. Nimekuja kwenu nikitaka msaada kaa zile kichwa kinajieleza, ningetaka kujua ni mikoa au wilaya gani zinakuza ngano kwa wingi au ina ardhi ambayo ngano inaweza kuzwa kwa wingi? Nitashukuru sana kwa msaada wa majibu huyu wapenda, natanguliza...
  4. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Una nyoa baada ya muda gani?

    Swali kwenu wabobezi na watafiti wa hili jukwaa. Huwa una shave shamba la kufugia nywele/kubebea meno (I mean kichwa cha juu) kila baada ya muda gani? Ni wiki, wiki 2, mwezi au mwaka? Binafs kwangu kunyoa naonaga karaha sana. Ukiona nimeenda saluni ujue masikio tayar yashafunikwa na nywele...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi unaweza kuitumia kuomba nafasi ya kujitolea ktk kampuni

    imagine kuna kampuni unaifahamu na hakuna mtu unayemfahamu pale lakini unataka kuomba nafasi angalau ya kujitolea ili upate angalau uzoefu hebu tupeane mbinu unaanzaje kufika na kujitambulisha, na ukifika haswa unatakiwa umuulizie nani ambaye atakusimamia mpka upate hiyo nafasi tuu maana...
  6. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni namna gani vita vya RUSSIA na UKRAINE vimeathiri utalii?

    Tumejionea athari za kiuchumi hususani kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Swali langu ni Je sekta ya utalii Tanzania imeathirika au inatarajiwa kuathirika vipi katika kipindi hiki? Ni kwa namna gani tunaweza kukabili mtikisiko huo?
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania 2025 CCM watakuja na manifesto gani tutakayoiamini kama manifesto za miaka 60 hazijatekelezwa?

    Uchumi wa wananchi mmoja mmoja ni mgumu sana, vijana wanashinda vijiweni kwasababu hawana kazi. Wengi hujiingiza katika ulevi , kucheza kamari na kuvuta bange kutokana na kukosa kitu cha kufanya. Serikali imeweka tozo kila mahali, hawa hawa wasio na kipato maalum bado wanakamuliwa ili...
  8. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mkutano Mkuu Maalum wa CCM. Kinana apita kwa kura zote 1,875 zilizopigwa

    Leo ni mkutano mkuu maalum wa chama cha mapinduzi ambao pia utaenda kupitisha mabadiliko ya katiba ya CCM. Kwasasa anaongea katibu mstaafu wa CCM, Yusuph Makamba ambae anasema mchungaji Gwajima alimuuliza yeye kama mtabiri, anatabiri nini kwenye utawala wa mama Samia baada ya kutabiri ubatizo wa...
  9. FOX21

    JamiiForums Tanzania Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

    Naomba twenda direct kwenye point. Ningependa kufahamu aina ya madini yanayo tunika katika vifaa vya electronic hasa saket za simu, tv,remote control, computers...nk. 👇👇👇
  10. A

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Usafirishaji cha Taifa (NIT) kina mchango gani katika kusaidia kupunguza ajali nchini?

    Nimeangalia hali ya usalama wa abiria katika vyombo usafiri wa umma kwa maana mabasi na wale ambao tunatumia vyombo binafsi na wadau wengine wanaotumia barabara nchini, ni kwamba kumekuwa na wimbi kubwa la ajali katika kipindi hiki kifupi cha Januari hadi March hii 2022. Ukiangalia vyanzo vya...
  11. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Ni wilaya gani ambayo unadhani baada ya miaka 15 itakuwa Manispaa?

    Hellow wakuu, Hili ni swali muhimu sana kwa watu wenye mipamgo mirefu, pia linanufaisha kiuchumi kwa mtu mjanja. Mfano mwaka 2007 wilaya ya KAHAMA ilikuwa ni wilaya ya kawaida sana maeneo mengi ya pembeni ilikuwa ni vichaka leo hii miaka 15 imepita hakuna tena vichaka ni majumba tu wajanja...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Anayejua anachokisimamia Dkt. Slaa kwa sasa atuambie

    Huyu Mzee baada ya ccm kumkata kwenye kura za maoni , akaomba kujiunga na Chadema , Chadema ikamsaidia kupata Ubunge na ikampandisha hadi kuwa Katibu Mkuu wa Chama , baadaye mwaka 2015 akashirikiana na Askofu Gwajima kumshawishi Lowassa ajiunge na Chadema , Kamati kuu ikapewa Taarifa na Bwana...
  13. BAK

    JamiiForums Tanzania Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Hili swali linawahusu wale ambao hawatumii majina yao ya kweli hapa ukumbini. Je, jina lako lina maana yoyote? Kuna sababu yoyote ile iliyokufanya uamue kutumia jina hilo!? Nilikuwa nimeamua kutosema lolote kuhusiana na hali ya kisiasa ndani ya nchi yetu (kuwa bubu) pamoja na kwamba nilikuwa...
  14. Josephat Sanga

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa macho huu ugonjwa gani?

    Wataalamu huu ni ugonjwa gani mhusika anasema ahisi maumivu yoyote.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa fally Ipupa "Eloko oyo" una maana gani?

    Mwenye kujua maana ya Huu wimbo aniambie naupenda Sana
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

    Tanganyika/Tanzania Bara na Zanzibar zina idadi tofauti la ukubwa wa eneo, idadi ya watu, mikoa, Wilaya, majimbo, bila shaka na kata, vijiji na vitongoji. Juzi nikasikia kuwa kwa zoezi la kuweka anuani za makazi Tanganyika imepewa sh. 1billion kila mkoa na Zanzibar sh. 500,000,000 (nusu bil.)...
  17. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Jambo gani hutosahau wakati ukitafuta ajira/kazi

    Mara nyingi watu wapo kwa ajili ya kukukatisha tamaa, kukuinua na kadhalika Una historia gani iliyobaki Kwako Kama kumbukumbu katika utafutaji
  18. M

    JamiiForums Tanzania Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

    Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake. Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina. Hapa unapata picha gani? Utapiga mzigo na kunasa? Binti ni mzee wa kazi?
  19. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Njoo uufahamu mji wa Ninawi alipotumwa nabii YONA

    Ninawi ni wapi? Ninawi ni mji uliokuwepo kaskazini mwa Taifa la Iraq kwasasa. Mji huu kwasasa haupo, ila mahali pale ulipokuwepo mpaka leo pako!. Na mji huu ndio uliokuwa mji mkuu wa Taifa la Ashuru. Ashuru ilikuwa ni nchi iliyokuwepo maeneo ya Iraq, Uturuki, na Syria..Mataifa haya matatu...
  20. Walt white

    JamiiForums Tanzania Maombi gani ya watu wako wa karibu yanakukera? Ukiachilia mbali pesa?

    Wakuu, tukiachana na watu wako wa karibu kukuomba pesa kipi kingine ukiombwa huwa unakereka sana? Binafsi ni haya matatu. 1.Simu yako ina dakika uniazime? 2.Kuombana vifaa vya kazi. 3.Kuombana mavazi hasa viatu. Je wewe kuna mengine yanakukera au yote ni sawa kwako?
Back
Top Bottom