Mambo gani yanayokukera huku Uswahilini kwetu na hasa kwenye nyumba za kupanga?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,462
154,332
1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku.

2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni.

3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia mwanae, wewe mbwa nakuita kwanini husikii? Nikaitwa mbwa, mbwa, mbwa, mbwa huku nikipiga na kamluzi. Yule mama akaacha hata kunisalimia.

4. Uswahilini ukiingia na demu mpya ghetto wale wa mama wambea utawasikia wakisema huyu aliyemleta leo mbaaaaaaya bora hata yule wa jana.

5. Ghafla nje ya nyumba mnayoishi jambo anafungua gereji bubu, makelele na mamoshi vinawaishia nyie, serikali ya mtaa wote wako kwenye payroll yake, ukienda kushitaki unajibiwa hiyo anayofanya sio biashara haramu.

6. Wabibi huku kwetu ndio huonekana vigagula, utasikia yule usione aatembelea mkongojo, usiku ana mbio balaaa.

7. Wauza genge na wauza chips ndio wanawala kichizi dada zenu na wake zenu.

8. Michango ya LUKU na maji ni mwanzo wa uadui mpya
 
Kuna rafiki yangu anakaa pale Ilala nilikuwa natoka home nakwenda kuvuta bangi ghetto lake. Mule ndani kulikuwa na mama wa kiarabu na watoto wake wazuri hatari, tukiwa nje tunavuta bangi mara hupita na khanga zao mgegedo huanza kusimama wakitoka chooni huingia chumbani mwao na kufunga dirisha. Hapo masela hubaki aahh kwanini unafunga dirisha na mimacho mekundu kama wanga wa msata.



Lunatic
 
Kuna rafiki yangu anakaa pale ilala nilikuwa natoka home nakwenda kuvuta bangi ghetto lake. Mule ndani kulikuwa na mama wa kiarabu na watoto wake wazuri hatari, tukiwa nje tunavuta bangi mara hupita na khanga zao mgegedo huanza kusimama wakitoka chooni huingia chumbani mwao na kufunga dirisha. Hapo masela hubaki aahh kwanini unafunga dirisha na mimacho mekundu kama wanga wa msata.



Lunatic
✅Yaani huwezi ukaishia kusema macho mekundu kama mwanga, Hadi ukutaje Msata, unamtafutia nini Al watan Mshana Jr?
 
Kuna watu wanaishi maisha ya kuunga unga. Asubuhi ataomba chai mlango wa Asha, ataomba kipande cha muhogo kwa Aylan, ataomba andazi kwa Mwifwa anakunywa anashiba.
Jioni anaenda kusalimia ndugu wa mbali kimono hadi wale ndio arudi kwake. Hiyo mbinu naijua sana
 
Usipomtongoza mama single mother inakuwa bifu...
Mikocheni na Mbezi Beach huwa kunakuwa na mijumba mikubwaaaaa, ina servant quarters, mzee alishakufa, watoto wako nje ya nchi au wako hapa nchini ila wana maisha yao, wanajitegemea. Mama nyumbani kabuki peke yake na hausi gel, mlinzi na kijana wa bustani.

Hawa wamama hawataki kupangisha hizo servant quarters kwa watu wenye familia au kwa mabinti, huwa wanatakaga vijana mabachela.

Masharti makubwa sitaki ulete wanawake nyumbani kwangu.
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom