Kampuni gani ya kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

KeXMO

Member
Jul 25, 2021
20
0
Habari wakuu!

Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?

Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
 
Inategemea na aina ya bidhaa unayotaka kusafirisha hebu sema nikusaidie
 
Back
Top Bottom