Wakuu Chuo hiki kinajenga wapi College yao ya afya pale Mbeya? Mkuu wao wa chuo, JK aliwaombea eneo la kujenga chuo.
Waliomba wajenge viwanja vya Tanganyika packers. Badaaye nasikia wizara ya kilimo walisema lile eneo wana kazi nalo, wanataka kufuga ng'ombe hivyo chuo wakapewa eneo jingine...
Eti wakuu hivi vitu pamoja na milango, madirisha na umbali hadi darini kwa wastani unakuwa kuwaje. Maana nasikia hadi ngazi zina kipimo chake cha urefu na upana.
Habari wakuu!
Kama title inavojieleza hapo juu napenda kufahamu ni kampuni gani ambazo zinajihusisha na kusafirisha mizigo kutoka Pakistan kuja Tanzania?
Na kama zipo wanatumia njia gani ya anga ama?
Nimekuwa nikikutana na hii kitu hapo juu marakwa mara. Ina maana gani.
Judge anaandika Order of the Court badala ya kuandika Judgement anaposikiliza pingamizi.
Naweka hii order muione . Halaf hiyo kesi ya tarehe 12 nai attach for convinience and quick reference...
Salaam kwenu wadau.
Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...?
NAWASILISHA.
Last weekend nikiwa na washkaji zangu kiwanja flani hapa mjini,ghafla akatokea mtu mmoja kwenye meza yetu akajitambulisha kuwa yeye anaitwa Uchebe akawa anatuomba tumnunulie bia, tukamuuliza yeye ni nani akatushangaa tu imekuaje sisi hatumjui yeye na wakati ni mtu maarufu sana hapa Tanzania then...
Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
Napenda namna ambavyo Rais Samia hakurupuki kwenye majibu.
Mara kadhaa ameombwa vitu hadharani, hakujibu kwa mhemko kama wafanyavyo wanasiasa wasiojielewa.
Mfano, watu wa Chato wamewahi kuweka ombi lao la Mkoa mara mbili hadharani. Askofu Shoo wa KKKT aliomba barabara na vitu vingine.
na zipo...
Ninaomba serikali ya mama Samia kuacha kukaa kimya na hicho chuo ambacho hakipo kisharia kilichoanzishwa na Polepole, chuo hicho ambacho kinafanya kazi kimtandao na makongamano nchi nzima na tayari kinawanafunzi kadhaa minaona kinakwenda kutugawa watanzania.
Ndugu huyu ambaye alianzisha chuo...
1. Saa moja asubuhi wamama na wadada wako busy na vidumu vyao kwenda kumwaga mikojo waliyokojoa vyumbani mwao usiku.
2. Maeneo ya jirani na choo huge hugeuzwa kuwa kijiwe cha kupigia umbea, no privacy unawaza hata kwenda chooni.
3. Wamama wana matusi hao balaaa. Siku moja mama mmoja kamwambia...
Katika jambo kubwa ambalo nafikiri wengi hawaliongelei na hawataki kulielewa huenda labda ni makusudi waone kuna kitu gani mwishoni ni kuhusu mwenendo mzima wa kesi ya Ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa taifa wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe. Kuna mtego mwingine mkubwa kwenye hii kesi na...
Soko la Kariakoo litajengwa upya; inakadiriwa na kudaiwa kuwa serikali itatenga bilioni 32 kulijenga upya. Hili si jambo baya. Ila naomba kuuliza kwa hizo bilioni 32 Watanzania watarajie nini kwenye soko hilo kubwa na maarufu zaidi nchini...
Japo hii bilioni 32 kwenye hela yetu inaweza kuwa ni...
Habari wakuu,
Kwa sasa ningependa kuongeza laini nyingine yenye ofa nzuri nzuri za vifurushi, je ni laini gani ingefaaa maana naona nishazichoka voda na TTCL.
Nawasilisha.
Wadau habarin
Kwa mliowahi kuishi Moshi najua huwa mnafahamu pale round about ya YMCA ina sanamu kubwa ya Askari aliye shika silaha, kwa kipindi nilicho ishi moshi pale sikuwahi kueikia historia yenye kuelezea ile sanamu pale
Je, iliwekwa kama urembo au ina maana yake kama ilivyo kwa ile...
Arusha. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imeonyeshwa video ya matukio yanayodaiwa kutokea benki ya CRDB Arusha, tawi la Kwa Moromboo Januari 22 mwaka huu.
Video hizo zimeonyeshwa leo Novemba Mosi, 2021 mbele ya Hakimu Mkazi, Patricia Kisinda anayesikiliza kesi ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
Kimsingi watanzania tulio wengi hatufahamu ni kwa muda gani service provider anaweza kutunza data zako za(mawasiliano yako ya simu) kwa mujibu wa sheria,lakini pia ni wangapi tunafahamu haki zetu za kumuomba service provider kufuta data zetu pale mkataba wako wa matumizi ya akaunti unapo...
Ndugu wana JF, mwezi wa.12 /2020 nilifiwa na mamangu mzazi.
Leo saa Tisa na dakika kumi usiku (12/5/2021) nimeota ndoto niko na mdogo wangu nashusha mteremko kwa miguu nikitokea mjini Iringa kuja Ipogolo maeneo ya kitanzini tumekutana na mama akiwa kabeba kikapu chake anapandisha mjini yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.