Wakuu kwema?
Mtu unampenda, umemfanyia kila kitu unachoweza ili abaki kuwa wako lakini haoneshi kuthamini.
Akilala tu akiamka anajisikia kukuacha anakutumia ujumbe anakuacha na kukuomba misamaha ya kijinga akijidai hataki kukuacha na anaumia moyoni.
Hawa watu wa namna hii ni majibu gani...
Niaje wadau wa JF
Niko na mdau mmoja hapa anadai binadamu tuna sura za aina mbili, sura ya mbwa au sura ya paka. Sura ya mbwa anamanisha ni kwa wale wenye sura ndefu hivi. Sura ya paka anamaanisha ni kwa wale wenye sura za duara. Nikamuhoji mbona kuna jamaa falani ana kimdomo kama cha samaki...
Rejea:
Kichwa cha habali swali hapo juu.
Binafsi nimeona katazo kwenye vivuko vya kigamboni. Ijapokuwa sijui Ni kwanini watu haturuhusiwi kupiga hata picha za mnato mule.
Sasa ningependa sana tufahamishane na maeneo mengine yasiyo ruhusiwa kabisa kufanya shughuli hizo kabla na wengine...
Habari wanajamii.
Nimeona ni shiriki pamoja nanyi kuhusu maana halisi ya neno komando (Commando) na namna linavyotumika jeshini..
Neno komando lilitumika na utawala wa kiholanzi (dutch cape colony) katika nchi ambayo sasa huitwa Afrika ya Kusini. Kulianzishwa vikundi vya kaburu (boers) ambavyo...
Nakumbuka mwaka jana 2020 , mwanzoni
Nlikuwa nmeenda kwenye project moja songea sasa wakati narudi sister akinipa kazi nirudi na beki tatu mmoja ambaye tayari sister alishamalizana na wazazi wake ilikuwa ni mimi tu kumchukua na kumfikisha mahali husika (DSM)
Sasa kufika Njombe pale saa 4...
Ufunuo 13:2 BHN
Mnyama huyo niliyemwona alikuwa kama chui; miguu yake kama ya dubu na kinywa chake kama cha simba. Lile joka likampa huyo mnyama nguvu yake, kiti chake cha enzi na uwezo mkuu
DANIELI 7
Wanyama wanne wakubwa
1Mnamo mwaka wa kwanza wa utawala wa mfalme Belshaza wa Babuloni...
Mwaka ndio unaelekea mwisho, na ni wakati wa kufanya majumuisho. Kuna mengi ya kuangalia, lakini kwa leo tuangalie mifumo.
KWA WATUMIAJI WA MIFUMO
1. Umetumia mfumo gani 2021?
2. Experience yako imekuwaje mwaka huu 2021?
3. Unadhani mfumo husika umekidhi mahitaji yako na unataka kuendelea nao...
Ni mwisho wa mwaka. Kama kawaida tushirikishane vitabu tulivyosoma mwaka huu. Inasaidia kujua vitabu vizuri na kushirikishana maarifa. Mi nimesoma vitabu vifuatavyo, baadhi vilipendekezwa na members humu JF.
1. Bad Samaritans.
Kitabu hiki kinaelezea jinsi ambavyo mataifa tajiri yanavyoshauri...
Nimefika Mwanza jioni hii nikitokea Arusha. Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
Hi guys, Mambo vipi?
Mada inajieleza. From other social network.
Binafsi hawajui kuwa nasota kiasi cha kutaka kurudisha mpira kwa beki. Aha
Twende kazi na wengine.
Feminist mmoja kutoka nchini Marekani ali safiri hadi visiwa vya Papua New Guinea kufanya mahojiano Na mwanaume mmoja ambae anatoka katika Kabila la binadamu wanao Kula nyama ZA watu ( Cannibalists) ambao pia wana wanatawaliwa Na mfumo dume
Baada ya maswali mengi, Feminist huyo alimuuliza...
Ndugu wanabodi naomba niwaulize swali la mtazamo tu. Na hii ni kutokana na waswahili wasemao dalili ya mvua ni mawingu, kwamba kutokana na maamuzi ya vikao vya ccm leo ikiwa vitaamua mbunge wa kawe avuliwa ubunge wake na kutokana pia na historia ya kisiasa ya jimbo la kawe unadhani ni chama gani...
Wapenda masebene
Bill Clinton toka Congo
Huyu jamaa alikua vizuri sana.
Tutu Calodji kajikata.(yuko vizuri sana)
Alipoondoka Wenge kapotea.
Fille Nyafu kapotea.
Soleir Wanga kapotea
Sabath Obrigado huyu bingwa kapotea
Cele skram kama jina lake anascream tu(simkubali)
Kuna kina chameleoni rapper...
Je,
1. Yule anayesali kwa muda mfupi tu lakini akimaanisha huku akifupisha ( summarize ) matakwa yake kwa Mungu?
2. Yule anayesali Siku nzima na kwa Makelele mengi na akirudia rudia matakwa yake kwa Mungu?
3. Yule anayesali pale akijisikia tu ila Matendo yake kwa Wanadamu ni mema siku zote.
Wakuu habarini, naomba kujuzwa tender ya kusambaza umeme wa REA Mtera Dodoma alipewa contractor gani.
Supply and Installation of 220/33 kV, 2 x 10 MVA substation Extension in Mtera. Tender hii ilitangazwa mwaka 2013 kama sijakosea.
Natangauliza shukrani.
Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu wanaojidai kupigania demokrasia mbona wao hawaheshimu uhuru wa wenzao kujieleza?.
Wanapenda maoni yao...
Wadau wenye experience ya brand nzuri ya vyoo, masinki ya jikoni na chooni please naomba msaada kunijuza.
Hata Kama unafahamu maduka yanayo uza vifaa ivyo vyenye ubora.
Wakuu habarini!katika pita pita zangu huko Fb picha inayotrend kwa sasa ni huyu mjeshi
Hapo hiyo chuma kampa dogo bila hiyana dogo nae kainua chuma.
S
Sasa swali langu hili ni jeshi gani hapa Bongo lala?je kama ingekuwa na lisasi na dogo akakumbuka Movie zetu za komando kipenzi si hatari hii?au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.