gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. mshale21

    Rais Samia: Fedha ambazo zingegharamia Sherehe za miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, zigawanywe sawa

    Dodoma! Akizungumza Leo katika kongamano la Muungano jijini Dodoma, Makamu wa Raisi Dr . Philip Mpango amesema Raisi Samia Suluhu Hassan ameelekeza Fedha zilizotakiwa kutumika katika shughuli za maadhimisho ya miaka 57 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar zigawanywe pande hizo mbili...
  2. sky soldier

    Harmonize, hii 'chenchi' ya views laki 4 iwe fundisho kwako kwa mkubwa wako Diamond

    Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8 DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA...
  3. Heci

    Huu mchoro una maana gani? Una siri gani?

    Wakushi naomba mnisaidie tafsiri au maana ya picha / mchoro huu. Asante
  4. M

    Habari! Kwanamna gani unaweza kuomba ufadhili wa kusomeshwa au kufadhiliwa masomo kwenye NGO Kama help to help

    Unawezaje kuomba ufadhili wa masomo diploma kwa NGO help to help
  5. Afisa Mteule Drj 2

    Pikipiki gani ya kichina ni nzuri kati ya hizi?

    Ninataka kutafuta pikipiki kwa ajili ya bodaboda na kutembelea pia.Ninataka kufahamu je ni pikipiki gani ya kichina ambayo angalau ina ubora kiasi kati ya hizi Fekon SanLG King Lion T better
  6. Afisa Mteule Drj 2

    Picha: Hiki ni kiumbe gani nilijua ni jani

    Kama kuna yeyote amewahi kukiona sehemu atujuze pengine mimi ndio wa kwanza duniani kukiona.Pia kama unajua kinaitwaje tujuze pia.
  7. ITEGAMATWI

    Huu usemi/methali "Kumkoma nyani giladi" maana yake nini?

    Nimekuwa nausikia sana ukitumiwa sehemu mbalimbali lakini nimeshindwa kabisa kujua maana yake na matumizi yake. "Kumkoma nyani giladi" Kumkoma na giladi huwa ina maana gani na inatumikaje?
  8. Idugunde

    Askofu Mwamakula ana msaada gani kwa CHADEMA? Mbona kama hamna anachowasaidia, kwa ujumla hana political influence

    Huyu Bishop ambaye huwa anajinasibu kuwa ni mwanachadema kindakindaki hana ushawishi wowote kisiasa. Ni mlopokaji na mpiga kelele na kelele zake ni kama kelele za chura. Nilishangaa sana kumsikia Mambo Sasa amemkamata eti anataka kuitisha maandamano. Huyu jinsi anavyopuuzwa na watu ndio wa...
  9. I

    BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  10. M

    Kauli hizi Mbili za Injinia Hersi na Mhamasishaji Nugaz zitakusaidia vyema kujua Yanga SC ni Klabu ya aina gani

    Kauli ya Injinia Hersi Ligi ikianza "Kwa jinsi Yanga SC kupitia Sisi GSM tulivyofanya Usajili huu mkubwa naomba kila mwana Yanga SC ajigambe na tusipokuwa Mabingwa Msimu huu wanihoji Mimi na wakiweza wanifanye lolote. GSM tumedhamiria na hatubahatishi na tumeisajilia Yanga SC Wachezaji wakubwa...
  11. James Martin

    Je, tumejifunza somo gani kwa Wanajeshi kugoma kufanya kazi na kuandamana?

    Siku chache zilizopita mkuu wa majeshi amewafukuza vijana wapatao 854 waliofuzu mafunzo ya kijeshi kwa kushinikiza waajiriwe na jeshi kupitia mgomo wa kufanya kazi na maandamano. Mimi binafsi siamini wanajeshi watumiwe kwenye miradi yeyote ya kujenga uchumi na kazi zozote za kiraia na polisi...
  12. Idugunde

    Ikitokea Bunge likavunjwa ni mpinzani gani atarudi Bungeni? Msipende makelele yasiyo na tija kwenu kisa mpo huru kuongea

    Ni kweli kabisa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayo mamlaka ya kuvunja bunge na kisha kuitisha uchaguzi. Sababu za kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi zipo ibara ya 90 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni kweli kama Bunge litakataa kupitisha hoja ambazo zina maslahi kwa...
  13. Da Vinci XV

    Ukimsalimia mtu na asijibu, maneno gani huwa unesemea kimya kimya

    That moment, unakutana na mtu au wapishana naye kwa njia na utoe salamu. Then salamu yako isipate majibu hivi ni maneno gani huwa yanakutoka kimoyo moyo juu ya kitendo hicho. Mimi kwa mtu ninayemfahamu mara nyingi huwa "HUYU mama siji kumsalimia tena huyu mpuuzi"
  14. Analogia Malenga

    Msanii gani hauchoki kutazama movie zake

  15. stakehigh

    Ukweli ni upi kati ya vyama hivi viwili kuhusu dira ya kweli ya maendeleo?

  16. A

    Ni wakati Mwafaka sasa wa kufanya amendment kwenye sifa ya elimu kwa mgombea ubunge, badala ya kujua kusoma na kuandika, twende mbali zaidi

    Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili. Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda...
  17. Mboka man

    Ni changamoto gani unaweza kukutana nayo kwa mara ya kwanza unavyotambulishwa ukweni?

    Kwa wale ambao wameshapitia hii hatua tayari na wana uzoefu hebu tupeane experience ni changamoto gani unaweza kukutana nayo siku utakapokwenda ukweni kutambulishwa. Na jinsi gani unaweza kuiepuka hii changamoto ili usije ukaonekana kituko? Pia soma...
  18. Red Giant

    Ni android applications gani za kitanzania zilizokuwa intalled kwa wingi zaidi?

    Katika pitapita nimeona JF, millardy ayo na Muungwana zikiwa zimepita 1m. Zingine ni zipi?
  19. King snr

    Ni pikipiki gani nzuri kwa bodaboda?

    Habari zenu wakuu, Naomba kujua pikipiki nzuri kwa ajili ya boda boda nahitaji kununua pikipiki used nijaribu biashara ya bodaboda
  20. Mohamed Said

    Tukio gani muhimu katika historia ya Tanganyika lilitokea siku kama ya leo, Aprili 17, 1953?

    Tarehe 17 April 1953 ulifanyika mkutano wa mwaka wa TAA Ukumbi wa Arnautoglo, Dar es Salaam. Mkutano wa mwisho wa TAA ulifanyika mwaka wa 1950 na katika mkutano huu uongozi wa wazee wasomi wa enzi ya utawala wa Wajerumani, Mwalimu Thomas Saudtz Plantan aliyekuwa President na Clement Mohamed...
Back
Top Bottom