Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,537
- 10,524
Mimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
Kwa sasa Ethiopia hakufai, watu wanachinjana mnoo vita vimeharibu ile nchiMimi natamani siku moja nifije hapo Ethiopia ili nikajionee uumbaji wa Mungu ulivyo. Wewe ungependa walau siku moja ufije nchi gani hapa barani Afrika?
Acha ngono zembe hata sio watamu, karibu KibahaEritrea kukionea maujuzi ya Mungu.
Ni kweli Ila binadamu wote no sawa, tunategemea shughuli halaliKiukweli bado ntaichagua nchi yangu Tanzania, sitamani kusafiri nchi nyingine Africa hii nahisi hawana amani kama tuliyonayo sisi. Ni mtazamo tu.
Kwa hiyo Kibaha mnajikubali wote watamu?Acha ngono zembe hata sio watamu, karibu Kibaha
Kwa hiyo Kibaha mnajikubali wote watamu?
Au ndiyo maana yule mama alikuwa anakaribisha wageni kuja kutalii huko wakati akichezea mikekama mike![]()
![]()
Asee, mmekuwa wabunifu sa
Karibu Kilwa MasokoKwa hiyo Kibaha mnajikubali wote watamu?
Au ndiyo maana yule mama alikuwa anakaribisha wageni kuja kutalii huko wakati akichezea mike [emoji441]kama mike[emoji23]
Asee, mmekuwa wabunifu sana
Siyo Kibaha tena?[emoji15]Karibu Kilwa Masoko
Mauritius [emoji1164
Hapana ni Iringa mjiniSiyo Kibaha tena?[emoji15]
Sawa, ningeshangaa kama unetaja sehemu sawa na uliyotakiwa kutaja.Hapana ni Iringa mjini
Wewe unapenda wapi KiongoziSawa, ningeshangaa kama unetaja sehemu sawa na uliyotakiwa kutaja.