Naomba Kujua Majina ya Interview Kwenye Web ya Utumishi Yanakaa Sehemu Gani Wakuu...?

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,959
2,176
Salaam kwenu wadau.

Kama mada inavyojieleza wakuu, naomba kujua majina ya watu wanaotakiwa kwenda kufanya interview ambazo zimetangazwa na Utumishi huwa yanawekwa sehemu kwenye web yao wakuu...?

NAWASILISHA.
 
Uwe unapitia akaunti yako uliyoifungua kwa ajili ya kufanya maombi, huwa wanaweka taarifa za kuitwa na tarehe ya kufanyiwa usahili katika akaunti yako.

Na ukitaka pia kuona majina ya ujumla basi fungua au peruzi tovuti ya Ajira Portal ukishaifungua utaona maelekezo tu.

Karibu.
 
Back
Top Bottom