Nilikuwa na shangazi yangu ambaye alikuwa na dada wa kazi. Kwa miezi mingi hakumpa mshahara. Sasa siku ya kuondoka yule dada ikafika. Shangazi akamwambia. Ulivunja sahami hii na ile, akakata pesa. Mara ulisema pipa likikaa nje hawataiba na wameiba, akamkata.
Mwisho alipewa elfu nane. Nauli ya...
Nimeuliza swali hili kutokana na kauli ya rais Samia leo kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi.
Kwamba hapa nchini waajiri wengi wa wasaidizi wa kazi za ndani, hawazingatii maslahi ya hao wafanyakazi pamoja na mikataba ya kimailtaifa.
Natamani kujua, hivi kila mkataba ni lazima taifa...
Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana!
Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu!
Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji!
Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT?
Kwasababu...
Habari wadau,
Nahitaji kujua ili niwe na App yangu itakayo run kwenye adroid na ios nifanyaje.
Mfano kiasi gani itanigarimu maximum kwa kuwalipa developers, vitu gani nifanye ili iwe safe in terms of security(sababu nataka nitoe hudumu kwa watu kulipiza kiasi kidogo).
Kifupi naomba elimu juu...
Ndugu wanabodi habari zenu!!
Niende moja kwa moja kwenye mada.Ndugu Zitto Kabwe amekuwa akimshambulia mara kwa mara marehemu Rais wetu mpendwa ,kwa maneno makali.Na maneno haya yamekuwa hayana ushahidi wowote.Lakini serikali ya mama Samia imekaa kimya tu...
Sisi wanaume kubanwa na uchumi ni swala la kawaida sana lakini bado haijawahi kutuondolea asili yetu kupenda wanawake.
Ila sasa unakuta mtu uchumi umembana lakini hajiongezi japo hata kidogo kwenye hygiene, huyu mtu yupo sawa kweli ?
Mtu kavaa jezi siku 2 mfululizo
Kuoga kwake ni shida na maji...
Dunia kadili siku zinavokwenda inafikirisha sana.
Vita ni siri. Kumiliki silaha ambayo ikimdhuru adui ushindi unapikana ni jambo LA Muhimu. Na ni muhimu zaidi adui akiwa hajui ukweli wrote ikiwemo
Idadi
Uwezo halisi
Muda wa kumfikia.
Etc
Kinachonishangaza.
Katika media ambazo Nazi sio za...
Tuongelee filamu kidogo..
Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa.
Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku...
Hii kwa waenga tu enzi hizo miaka hiyo TV zipo chache unakuta mtaa mzima ipo moja au hakuna kabisa na hapo mnaangalia ni mikanda tu na wenye nyumba wakali maana watoto kwa kuchafua nyumba na miguu michafu basi mnasema kesho usiwafungulie hahahaaha
Kuna msemo usemao dalili ya mawingu ni mvua.
Sasa hebu tuambiane ukweli, pale unapogundua kuna dalili za kuachwa mpenzi wako au kuchokwa -- huwa unachukua hatua gani?
Wadau kuna hili jambo naomba kushare humu naona mara nyingi nakutana nalo asa nikienda labda kutembea maeneo mbali mbali ya kutalii kuna ili jambo nakutana nalo la vijana wengi ambao ndio wanakuwa kama waelekezaji wageni kuwa na Rasta sasa uwa najiuliza je wageni toka nje uwa wanahitaji sana...
Kwema Wakuu!
Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili.
Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
Habari wanajamvi,
Sina uzoefu na ujuzi wa ufugaji wa kuku. Nauliza tu kuku wa kienyeji huanza kutaga tena baada ya mda gani endapo amemaliza kutaga na nimemnyima kulalia mayai?
Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya.
Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
Salamu kwako.
"wema hauozi" na kizuri kinajiuza ila kibaya kinaendelea kujitembeza ni takribani miaka 16 kuna faida nyingi na hasara chache zilizopatikana kwenye tovuti yetu pendwa ya jamiiforums kwa makusudio ya uzi nitaorodhesha faida kadhaa nilizopata kwenye blogu hii na jambo gani...
UNA KITU GANI CHA PEKEE?
Swali hili ni muhimu kujiuliza na kujijibu mwenyewe hata kama likikukera ikiwa tu unahitaji kuitambua thamani yako au kuiweka katika hadhi yake sawasawa na vigezo vyako.
Acha kuendelea kutamani jaribu sasa kujiuliza wewe una kipi cha kukufanya upate uyatakayo. Kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.