PICHA: Mapokezi haya ya Viongozi wa CCM Taifa Mkoa wa Geita yana maana gani?

VUGU-VUGU

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
723
1,000
Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan,

Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu maendeleo endelevu,Furaha ni kubwa zaidi kuona vijijini wanachi walivyohamasika katika kuendelea kuiamini na hatimaye kuichagua CCM-Tanzania,Hakuna kama Samia

photo_2021-11-17_11-03-19.jpg

photo_2021-11-17_11-02-14.jpg

photo_2021-11-17_11-01-23.jpg

photo_2021-11-14_07-22-08.jpg
 

Attachments

  • File size
    389.9 KB
    Views
    34

Almighty

JF-Expert Member
May 27, 2020
1,009
1,500
Baada ya Sekretarieti ya CCM-Tanzania inayoongozwa na Crde Daniel Chongolo kuwasili mkoa wa Geita limeibuka Shangwa na mabango kedekede yenye kumpongeza na kumtia moyo Rais Samia Suluhu Hassan,

Hii ni tafsiri chanya ya anayoyafanya Rais wetu katika kuliletea Taifa letu maendeleo endelevu,Furaha ni kubwa zaidi kuona vijijini wanachi walivyohamasika katika kuendelea kuiamini na hatimaye kuichagua CCM-Tanzania,Hakuna kama Samia

View attachment 2013881

View attachment 2013883

View attachment 2013884

View attachment 2013899
Wamemkubali sana Rais Samia ndio maana yake jombaa kama hutaki acha,
 

Mashaurijr

Senior Member
Oct 8, 2016
110
250
Mulaaniwe.
Sio kwa matungulile, wala ndulele mekoni
Si kama kinjekitile, unga na maji ya mtoni
Ni kwa hilo jasho tele, Damu tabu za maskini
Nasema Mulaaniwe huu wimbo mpya mjini

Mkata mkato umemkata, kwenye simuni maskini
Wamdumishia ukata , yala! ni hospitalini
Haitoshi kutibika, akatutoka jamani
Nasema Mulaaniwe, mulaaniwe milele

Mtwana pamoja watwana , wakike tumwite nani
Kabisa tunalandana , jasho letu vietini
Bado twa beba mabwana, da! tupo utumwani
Mulaaniwe kwa jasho, mulaaniwe milele

Mapasipoti shidani, garama nao mlolongo
Fursa za ugaibuni, mnatufelisha wabongo
Tumewakosea nini, mwatupiga na magongo
Nasema mulaaniwe, na vizazi vyenu vyote
 

Hero

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
3,780
2,000
Aende mwingine unamsifia anayeruka na ndege zetu ughaibuni! Mnawavunja saana moyo waliokuja kuwatembelea!
 

Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
810
1,000
Hapa ndo naonaga wtz hatuna akilini.bango linamtaja samia.kwani samia yuko geita?makada sijui tukoje.kyaaaaa😪😪😪😪
Vitongoji watapongezwa lini,
Miradi ina miaka zaidi ya 25yrs haijakamilika halafu wananchi tunanyanyua mabango ya pongezi.
Nyanyueni mabango yenye shida hao chawa wapeleke
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom