gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Kuna ugumu/uzito gani kuweka wazi Afya ya Kiongozi pale anapougua?

    Habari! Kumekuwa na utamaduni wa kuficha Siri kuhusu maradhi ya viongozi wetu pale wanapougua na kulazwa au kutoonekana wazi kwa umma. Jambo hili limekuwa linazua taharuki, na kuibua maswali mengi kwa raia (rejea Hayati Magufuli, Makamu wa Rais Dkt. Mpango na wengineo. Kuna ugumu gani...
  2. G

    Amani imetoweka moyoni mwangu, Co Worker wa kiume na mke wangu wapo karibu sana, nichukue uamuzi gani?

    Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife. Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa close sana na mke wangu, details nilizopata ni walisoma chuo kimoja mke wangu akiwa mwaka wa kwanza...
  3. T

    Mungu alikua na maana gani kuagiza kwenye amri ya 6 Usiue kisha akaagiza wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine?

    Historia ya biblia inasema Mungu alimpa Musa amri zake 10 kuu, kati ya amri hizo iko amri ya 6 ya usiue. Hii amri Mungu aliwakataza binadamu kuua ama kukatisha uhai wa binadamu wenzao. Cha kujiuliza na kushangaza, Mungu huyo huyo akaamuru wana wa Israel kuua watu wa mataifa mengine kama...
  4. Je, nifanye Kilimo au biashara kwa mtaji chini ya milioni 1?

    Habari ndugu jamaa na marafi kutoka JF. Nimejaribu kuwaza kwa sauti hapa, mtu akiwa na mtaji chini ya million moja na yuko mji midogo (Halmashauri) hana shamba. Je, shughuli gani kati ya (kilimo cha mahindi, maharage, etc) na Biashara (ndogo-ndogo) kinaweza kumusaidia kwa haraka kupata hela ya...
  5. R

    Tangu Makonda aanze propaganda ametatua kero gani ya mwananchi?

    Nani anaweza kutueleza tangu Makonda aanze kudhalilisha watendaji wa umma na wananchi kwa mlango wakusikiliza kero ametatua kero ngapi? Kuna maeneo ameelekeza watu watengeneze madawati ya kusikiliza kero, alipoondoka kwenye wilaya wakurugenzi wakarudi kwenye basics Kuna Sehemu mfano Rukwa...
  6. Niambie ni mambo gani ya ajabu ulishawahi kufanya ukiwa na hasira hadi ukikumbuka unaweza kucheka na kujionea aibu kwa wakati mmoja...

    Signed out
  7. Mitandao ya kijamii imekuunganisha na watu gani muhimu waliobadili maisha yako?

    Habari Zenu wadau, natumai mnaendelea kukaza na life popote mlipo. Swali langu ni Moja tu Tangu umeanza kuijua na kuitumia mitandao ya kijamii imekusaidia vipi kuunganisha na watu waliobadili maisha yako?. Natamani kujua waliofanikiwa kupitia mitandao ya kijamii. Sababu watu wa kada zote na...
  8. B

    Mzee Kinana mbona hujatuambia CCM inapata ruzuku kiasi gani?

    Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani? Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
  9. Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

    1: Adam Sandler 2: Jim Carrey 3: Will Ferrell 4: Nick Swardson 5: Katt Williams
  10. Huyu Rais wa Senegal ana sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ?

    Hili jamaa linalo ongoza Senegal lina sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ? Au ndio upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kama kawaida ya maviongozi ya Afrika ? Hivi hivi Senegal inaweza kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe halafu baadae lawama anaanza kupewa marekani na ulaya...
  11. Nchi mbili zikipigana vita na mmoja akashinda, aliyeshinda ana haki gani na wajibu gani? Aliyeshindwa ana haki zozote na wajibu wowote?

    Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
  12. Hii ni dawa gani?

    ..
  13. N

    Toka awamu ya kwanza Mwl Nyerere, hadi Dkt Samia, Wilaya na Mkoa gani haujatoa Naibu au Waziri?

    Mwenye takwimu naomba anitakwimishe, toka miaka ya 60' utawala wa Mwl Julius Kambarage Nyerere (R.i.p)wilaya gani au jimbo gani la uchaguzi haijabahatika kutoa Naibu au Waziri.
  14. Tofauti ya majeshi yetu yana maoni gani juu ya utofauti wa sare

    Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
  15. N

    Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

    Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia. Kuna siku tena natoka Makangaka naelekea Kiranjeranje kupanda basi saa...
  16. Bidhaa gani zenye mzunguko mkubwa naweza kuagiza toka China kwa 10M

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano, Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China. Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida...
  17. S

    Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

    Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B. Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee? Wadau wenye kujua tujulishane.
  18. Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

    GreatThinkers Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi. Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
  19. N

    Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

    Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka. Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
  20. Ni mtu gani maarufu ulitamani ukutanae lakini kabla hujakutana nae alikufa. Je, unge mwambia nini...?

    kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo huo. Nilikuwa nikichat sana na Kanumba na kiujumla alikuwa social sana kwa hilo namsifu sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…