gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Israel yarudisha majeshi nyuma kutoka Rafah na katikati ya Gaza. Hii ina maana gani

    Ikiwa ni miezi sita kamili tangu vita vianze baina ya Hamas na Israel,na baada ya vifo vingi vya raia na askari wa Israel,na baada ya Israel kuwaudhi washirika wake, hatimae leo jeshi hilo limeamua kurudisha nyuma vikosi vyake kutoka kusini ya Gaza na Rafah. Baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa...
  2. Kirchhoff

    JamiiForums Tanzania Smart TV yenye DVB T2/S2 Ina Faida gani Kwa Soko la Tanzania ikiwa Channels zimezuiliwa kuonekana kwa kutumia builtin Decorder? Wizara Husika?

    Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali. Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kifaaa gani cha bei chini ya laki 2 kinakuza PCB za simu wakati wa kusolder/ kudesolder

    Naomba kujua kifaa hicho kama kinapatikana Tanzania au kwa kuagiza ili niweze kuperfom vizuri Sina budget kubwa kwa mafundi simu mnanielewa.
  4. Grahams

    JamiiForums Tanzania Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Suala la Kuoa ama kuolewa bado litaendelea kuwa ni hitaji muhimu miongoni mwa Jamii ya watu wengi Ulimwenguni. Kwa Tanzania, tunazo Ndoa za aina mbalimbali ambazo zinatambulika kisheria ambazo ni Ndoa za Kidini, Kimila na Kiserikali. Mara baada ya kufunga Ndoa, maharusi wengi Kwa kushirikiana...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Mara ya kwanza kuja mjini (Dar) jiji lilikukaribisha kwa style gani ukikumbuka kwa jinsi ulivyokuwa mshamba unakufa mbavu?

    Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada. Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Pampers na boxer zimeanza kutumika miaka gani hapa Bongo?

    Kichwa cha Habari kinajitosheleza. Miaka ipi tumeanza kuvalisha watoto pempas je ni 90' au 2000'. Na vipi kuhusu chupi na vipi kuhusu boxer naombeni ufafanuzi.
  7. covid 19

    JamiiForums Tanzania Nachukia wanaopenda kuuliza suala la dini sababu siamini katika dini bali uwepo wa Mungu. Je, nipo sahihi?

    Kiukweli kwa Tanzania ukimwambia mtu huna dini unaonekana mtu wa ajabu sana. Ila kwangu nimekuwa nikijilazimisha sana na kuishi maisha ya kinafki sana ili tu nionekane nina dini ila kadri muda unavyokwenda najiona kabisa sina mihemko na hizi dini jamani iwe Christian au Islamic au buddha sijui...
  8. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Hongera Yanga! Mmeonesha mna na timu ya aina gani. Nawaona mbali ndani ya miaka 2 ijayo kwa ubora wenu

    Kwanza kabisa nichukue nafasi hii kuwapongeza viongozi, wachezaji, wanachama na mashabiki wa yanga popote pale walipo kwa kuiunga mkono timu yao ndani na nje ya nchi. Kusema na ukweli yanga imetengeneza timu ambayo inaanza kuwa tishio barani afrika kwa timu zote, pamoja na uchanga wake kwenye...
  9. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

    Niko Mwanza kitaliii…. wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
  10. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Sasa hawa watu wa VAR wanalipwa kwa kazi gani?

  11. Jambo Kubwa

    JamiiForums Tanzania Umeshawai kufumania? Ilikuaje, ulipatwa na hali gani, ukafanya uamuzi gani?

    Salam salam ndugu, jamaa, washkaji na marafiki. Natoa salam hizi nikiwa sina akili zangu timamu kutokana na jambo nililoshuhudia siku chache nyuma. Kama kichwa cha habari kinavyosema, mimi ni kijana wa miaka 30+ ila sijafika 35, nipo katikati apo. Sasa kama mnavyojua ndugu zangu wiki hii...
  12. 101 East

    JamiiForums Tanzania Ni level gani ya elimu imekupa marafiki?

    Ni level gani ya elimu imekupa marafiki ambao umedumu nao hadi leo, kati ya 1. Primary 2. Secondary 3. A level 4. Chuo 5. Kitaa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu gani muda wa asubuhi? Ni kama ndio inaamua siku yako nzima itakuwaje

    Habari za mchana wakuu. Kama thread inavyojieleza hapo juu kwanini kama ukikwazika asubuhi basi siku yako nzima utashinda vibaya na mihasira yani siku itakuwa mbaya kweli. Leo asubuhi kabisa kuingia tu ofisini nimekutana na incidence kutoka Kwa staff mwenzangu, nilikwazika na kuumia sana...
  14. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni siri gani kuhusu wewe ambayo hautaki watu wako wa karibu waijue?

    Usijali Mkuu, hapa tunatumia fake ID'S Fungukaaaaaaaaa!
  15. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huyu ni nyoka wa aina gani?

    Peace, Wakuu jirani yangu amekua ananiambia hua anamwoma nyoka mkubwa nyakati za jioni akikatiza katika uzio wake. (Uzio unaotutenganisha) awali nilidhani ananitania maana manawake huwa waoga waoga tu akiona kijiti anaweza kusema nyoka au pia utani na masikhara Lakini kwa umri wake sio mtu wa...
  16. runtown

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Ukiposti barua kwenda UK inachukua muda gani kufika kule?

    Jana nimekwenda posta kununua stempu na kuposti barua kwenda UK(United Kingdom). Baada ya kuiweka stempu nikamuuliza yule mdada barua itasafiri vipi? Akasema, ile barua itapelekwa Dar es Salaam kwanza. Nikasema,"Oh! kwa hiyo itaondoka ya ndege jioni?" Akasema,"Hapana. Haitandoka leo. The...
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Wanaoshinda kwenye computer/laptop na wanapata pesa huwa wanafanya kazi gani huko?

    Nina washikaji zangu ambao sipo karibu nao saana kiasi Cha kwamba hawawezi kuniambia mishe zao, mmoja tulisoma name o-level alifeli form two akaacha shule, yeye kapanga nyumba nzima hapo buhongwa-Mwanza, Kazi yake aieleweki anashinda ndani kwenye computer kuanzia asubuhi mpaka jionii, labda...
  19. proton pump

    JamiiForums Tanzania Jambo gani ambalo uliwahi kulipania kwa hamu kubwa kulipata baadaye likakushinda?

    Natumaini hamjambo wana jukwaa na mnaendelea vyema Katika harakati za kimaisha kuna mambo mbalimbali ulipania kuyapata au kuyafanya ila baadae yakakushinda na ukaachana nalo kabisa ama ukapambana tu bila kukata tamaa lakini hola. Yapo mambo mengi kama vile, kupata ramani za kwenda abroad...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni timu gani imeonesha udhaifu kwenye hatua ya robo fainali mashindano ya CAF champion league mwaka huu?

    Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali. Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa mchezo dk ya 5 TU ikamaliza mchezo. Hii ni dharau kwenye soka letu haiwezekani timu itoke mbali huko...
Back
Top Bottom