Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,686
- 106,811
Kuna jamaa angu amekua akiniambia kua anatumia vidonge vikali vya UTI nikawa namuuliza ni ipi Ciprofloxacin au Azythromycine?? Akawa anashindwa kuvitaja. But leo nimeenda kuncheki kwenye shughuli zake katika stori stori akanionyesha chupa la dawa anazotumia.. Yeye akawa anasema ni PEP. Kwamba anatumia kutibia UTI. Kwamba anazitumia kwa mwezi.
Sasa katika kusoma mchanganyiko wa dawa zilizomo nikakuta dawa ya Lamuvudine... Nilisikia nimepigwa na shoti mwilini coz najua Lamuvudine ni dawa inayotumika kuziwia/kutibu HIV.
Sasa nashindwa kuelewa je hii ndio PEP au ni Arv yenyewe??
Daah kwa ukwasi alionao na afya yake ilivyo bora nitashangaa sana kama kishaumana kwake. God forbid isijekua ndio yenyewe sijui atafanyaje