Tunaamini elimu tunayoipata huko vyuoni na mashuleni, inatupa uhuru wa kufanya maamuzi sahihi katika uzalishaji mali pamoja na kujitegemea.
Tulitegemea ujuzi na elimu ulioipata huko duniani n.k iwe chachu ya wewe kujijenga na kuanzisha na kumiliki kampuni, taasisi, au kiwanda ili pia iweze...
Inaumiza sana ndugu zangu.
Watu wa 3 ninaowafahamu, wengine wa 3 ni watu wa karibu wa marafiki zangu..
Katika miezi 4 wamepoteza maisha Wote kwa operation ya uzazi, achilia mbali wale ninaosikia mtu pembeni akiongea.
Inauma Sana ndugu zangu,
Mnampeleka mpendwa wenu hospital akiwa mzimaa mpate...
Wakuu hadi sasa hivi nimelimwa block kwenye page kadhaa mitandaoni sababu kubwa ni kuwa na mawazo tofauti. Hizi ni baadhi ya page ambazo nimepigwa block;
1. Malisa GJ - huyu kanilima block Instagram, Facebook na Twitter (X). Hataki kabisa kupingwa au kukosolewa.
2. Martin Maranja Masese - huyu...
Habari wandugu,
Napenda wasilisha mada hii tajwa karibuni tujadili maaa naona maisha sasa ya kukosa pesa yanatukaba koo sisi vijana tunaosubiri ajira za utumishi maana hata inaafikia hatua tunakosa laki 2 ya kukodi hekari za shamba ili kulima
Aisee kweli tunaishi kwenye umaskini wa kutupwa mikoa ya kusini huku vijijini kumezidi sana ninapopita kazini nakutana na hali za kutisha.
1. Watoto wanakula maembe wanashindia kama chakula sio kama matunda. Wazazi wapo shamba huko wamewaacha watoto nyumbani mpaka na vimwali wazuri unakutana...
Leo Januari 17, 2024 imetimia miaka 3 tangu kutokea kwa kifo cha Rapa Ilunga Khalifa maarufu kama CP aka Crazy Power a.k.a CPWAA au Mfalme wa Bongo Crunk aliyefariki Januari 17, 2021
Wakati wa uhai wake, CPWAA alifanya vizuri na ngoma nyingi zikiwemo 6 In The Morning, Problem, Pwaa na Action...
Nimezaliwa na kukulia kanda ya kati ila Shule nimesoma sana kanda ya pwani ya mashariki dar na maisha ya kikazi nikatupwa kanda ya kusini na bahati nzuri field zangu nimebahatika kufika wilaya zote za mtwara lindi na ruvuma nimezizungikia zaidi ya mara kumi.sababu tatu kwanini ukanda wa kusini...
Salamu niliamua kumwachia ndugu yangu GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa,Kwangu mambo yote ni Shega tu!.
Kiukweli mimi jina ambalo hadi leo nabaki nimeduwaa ni 1 . MLANGO. 2.MPIGA MITI
1. MLANGO
Kuna dogo mmoja alikuwa mtoto wa mwalimu katika shule ya sekondari mahali fulani...
Habari za muda huu ndugu yangu
Huwa sina mtiririko mzuri wa kiuandishi, lakini napenda kujenga hoja kwa ufupi huku ikifuatiwa na maelezo mareeefu.
Kauli ya Katibu Mkuu mpya wa Chama Dkt. Emmanuel Nchimbi kwamba "Utamaduni wa CCM ni Rais wa JMT kuhudumu kwa Mihula miwili hivyo nawaambieni...
Salamu nimemwachia GENTAMYCINE na ndugu zake wa Butiama & Nyamuswa!, Kwangu mambo yote ni Shega!
Ndugu zangu naomba walio angalia movie ya OPPENHEIMER waniambie ni movie inayohusu kitu gani maana mimi huwa ni mgumu wa kuangalia movie hasa za huyo jamaa maana naonaga kama hakuna anachoweza...
Hivi hii benki kuwa hivi hapa nchini yenye kutengeneza mabilioni ya faida kila mwaka ni ya kumiliki app yenye kusumbua wateja kwa siku nzima wakisaka huduma?
Hivi kitengo chao Cha IT kinawawajibika ipasavyo?
Imagine, nimelipia huduma kwa nmb app na pesa wamekata ila hazijafika nilikozielekeza...
Ni mambo gani muhimu ya kuzingatia ili kufungua banda la juice? Na linahitaji mtaji kiasi gani?
Samahanini wakuu, naombeni mchango wenu on regard of heading above
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na Demu analalamika kuachwa na Jamaa baada ya kupewa Kibendi.
Kama unavyojua penye watu hapakosi neno, basi watu wakaanza kutiririka kumpa pole na kumwambia yule Dada kuwa Mungu atamsaidia na mtoto wake.
Watu wengine wakawa wanamwambia wanamuombea...
Mahojiano ya Daktari Kigwangala yametupa ufunuo na kutupa maswali inawezekana vipi Kiongozi wa Tanzania akanunua nyumba shilingi bilioni 25 uko Dubai,na wengine wamenunua nyumba za bilioni 6 Masaki,je wamelipwa kitu gani hadi wamepata pesa hizo,je wameuza nini hadi kupata fedha hizo!? Je ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.