Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

kichwani mimk ni moja moja,ila kidevuni sasa,zinaupiga mwingi balaa,kama striker madelu.
 

Attachments

  • 20240127_122352.jpg
    20240127_122352.jpg
    232.8 KB · Views: 2
GreatThinkers

Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi.

Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
Kurithi,
Hapa mtu anarithi aina Fulani ya nywele.
Yasemekana nywele ngumu zinabadilika kuwa mvi mapema kuliko nywele lakini.
Mfano hayati Babu yangu hajawahi onekana na mvi Hadi alipoaga Dunia akiwa na umri wa miaka 78., ila TU umri ulivyokuwa ukienda alikuwa akipungua nywele kichwani.

Kadhalika , .maendeleo ya sayansi na technologia yanasababisha vijana wengi kutumia black hair dye na magic ,.. inasemekana hivi huchangia mvi kuota mapena.
 
Back
Top Bottom