Huyu Rais wa Senegal ana sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ?

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,351
Hili jamaa linalo ongoza Senegal lina sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ? Au ndio upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kama kawaida ya maviongozi ya Afrika ?

Hivi hivi Senegal inaweza kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe halafu baadae lawama anaanza kupewa marekani na ulaya.

Huyu mpuuzi aliingia madarakani kwa uchaguzi kwa nini yeye uchaguzi ana upiga dana dana huyu mwendawazimu ?
 
Hawa si ndio walitaka kuungana ECOWAS wakawaondoe wale wanajeshi waliopindua nchi ya Niger kumbe walikuwa wanaogopa mapinduzi yatahamia kwao.
 
Hili jamaa linalo ongoza Senegal lina sababu gani za msingi kuhairisha uchaguzi ? Au ndio upuuzi wa kung'ang'ania madaraka kama kawaida ya maviongozi ya Afrika ?

Hivi hivi Senegal inaweza kuingia kwenye machafuko ya wenyewe kwa wenyewe halafu baadae lawama anaanza kupewa marekani na ulaya.

Huyu mpuuzi aliingia madarakani kwa uchaguzi kwa nini yeye uchaguzi ana upiga dana dana huyu mwendawazimu ?
Uzalendo kwa viongozi wengi wa Kiafrika ni mtihani.
 
Back
Top Bottom