amate
Senior Member
- Feb 23, 2017
- 157
- 377
Habari ndugu jamaa na marafi kutoka JF.
Nimejaribu kuwaza kwa sauti hapa, mtu akiwa na mtaji chini ya million moja na yuko mji midogo (Halmashauri) hana shamba.
Je, shughuli gani kati ya (kilimo cha mahindi, maharage, etc) na Biashara (ndogo-ndogo) kinaweza kumusaidia kwa haraka kupata hela ya kujikimu?
Tafadhari naomba kama una experience yeyote kuhusu hayo mambo toa ili tuweze kusaidiana.