gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Member71

    Tofauti ya majeshi yetu yana maoni gani juu ya utofauti wa sare

    Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
  2. N

    Umewahi kukutana ana kwa ana na mnyama gani mkali?

    Mimi kuna siku niko na Pikipiki nimetoka site huko Nyengedi napanda Milima ya Rondo mida ya saa 2 usiku aisee Mara simba huyu hapa nilianguka na Pikipiki nikainyanyua sikugeuka nyuma nilipofika kijijini palepale nilizimia. Kuna siku tena natoka Makangaka naelekea Kiranjeranje kupanda basi saa...
  3. hsnaturalfertility

    Bidhaa gani zenye mzunguko mkubwa naweza kuagiza toka China kwa 10M

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano, Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China. Naomba mnijuze ni bidhaa gani zinatoka haraka sana ambazo sio za bei kubwa, yaani m Tanzania wa kawaida...
  4. S

    Wapi Wanauza Power bank za uhakika?

    Kutokana na umeme kutokuwa wa uhakika ni vyema kuangalia plan B. Ni wapi wanauza power bank za uhakika zisizo feki zenye guarantee? Wadau wenye kujua tujulishane.
  5. The Burning Spear

    Kitu gani kimepelekea vijana wa kileo kuota Mvi Mapema?

    GreatThinkers Zamani mvi ilkuwa ni uzee na alama ya kula chumvi nyingi. Laki kuna vizee vilikuwa vinapiga age bila mvi. Hali ya sasa ianatisha vijana wadogo below 40 years mvi kila mahali shida ni nini?
  6. N

    Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

    Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka. Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
  7. X_INTELLIGENCE

    Ni mtu gani maarufu ulitamani ukutanae lakini kabla hujakutana nae alikufa. Je, unge mwambia nini...?

    kipindi naifahamu Facebook, rafiki yangu mkubwa alikuwa Marehemu Steve Kanumba....na nina uhakika alikuwa ni yeye haswa maana kuna matukio ambayo alikuwa anaya post yalikua real kabisa ya muda huo huo. Nilikuwa nikichat sana na Kanumba na kiujumla alikuwa social sana kwa hilo namsifu sana...
  8. N

    Cream za hair removal zina madhara gani?

    Sijawahi kutumia hizo makitu sasa nashawishika nijaribu so Ningependa kujua kama hizo cream za kuondoa nywele za makwapani, ndevu ama sehemu za siri sina side effects yoyote?
  9. Dexta

    Ulishawahi kukosea muamala wa kiasi gani kwenye simu yako?

    Habari za jioni wana JF.. Bila kupoteza muda tujikite kwenye mada, ulishawahi kukosea kufanya muamala wa shilingi ngapi kwenye simu yako? Na je, ulifanikiwa kuipata hela au ndio ilipotea mazima.? Kwa upande wangu, nilishawahi kukosea kutuma kiasi cha elfu themanini ila kwa bahati nzuri ile...
  10. Mto Songwe

    ONLY FOR LEGENDS: Hili goma lina kukumbusha wapi na tukio gani ?

    Hapa ni maduu, mabitozi na machizi wa kipindi hiyo. Hili goma la mtu mzima joslin lina kukumbusha wapi na tukio gani ? Hili goma lina historia nami nzito sana kila nikikumbuka huwa nabaki kucheka😀 tu kifala yule nyang'au alinijulia haswa😃😃
  11. K

    Vyuo Gani Bora vya ufundi vya private? VETA kupata nafasi ni shida

    Wadau naomba mnijuze vyuo vya ufundi vya private vilivyobora sana hapa Tanzania vilivyo SAWA na VETA au zaidi
  12. Kichuguu

    Kinywaji gani ukipendacho zaidi

    Hebu share hapa kinywaji chako ukipendeleacho zaidi na kwa nini unakipenda. Anza Mshana Jr
  13. N

    Kwa wale wa mikoani, ukija Dar ni sehemu gani piga ua lazima uende?

    Baada ya Mfumo kunitenga na jiji la ndoto zangu nikawa Sina namna zaidi ya kukubali. Ila huwa napambana isipite miezi miwili sijakanyaga town na kila napofika aisee vijiwe vyangu vya faida ni:- 1. Tabata Magengeni 2. Kimara Korogwe-Tabata Kimanga 3. Tabata kimanga-Ubungo Riverside via...
  14. kocha Nabi

    Hali gani ulikuwa nayo siku chache baada ya kununua gari lako la kwanza?

    Naomba kukaribishwa rasmi ktk jukwaa hili. Mimi ndio mara yangu ya kwanza kununua gari na katika ukoo wetu tuseme mimi ndio wa kwanza kumiliki hiki kitu. Kiukweli nimeteseka sana mauzauza si mauzauza, sijui ni kuweweseka, yaani kila nikilala naota mara gari limeibiwa, mara naota wezi wanaiba...
  15. Jugado

    Unahitaji kiasi gani cha pesa kuweza kuishi miaka 10 bila kufanya kazi ya kuingiza kipato?

    Miaka kumi ina miezi 120! Say: 3,000,000×120? = 360,000,000
  16. The dumb Professor

    Nina dogo amemaliza Form Four, nimpeleke shule/chuo gani?

    Wakuu, Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika? Ana division 1 ya 10 NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
  17. Mjanja M1

    Kipindi unasoma ulikuwa unalipenda na kulichukia somo gani?

    Habari zenu wakuu, Naamini sisi wote humu tumepitia hatua ya kwenda shule kukuza ufahamu na maarifa yetu kwenye maisha. Kwa upande wangu, mimi binafsi nilikuwa nalipenda somo la Hesabu, na nilikuwa silipendi somo la Kiswahili. Vipi wewe Mkuu wangu, ulikuwa unalipenda somo gani na...
  18. BARD AI

    Wanafunzi 56,149 Wamepata Disivion 0 Kidato cha 4, zaidi ya Laki 2 wamepata Division 4

    Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0. Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
  19. February Makamba

    Shule gani nzuri ya kwenda form 1?

    Mambo vipi wakuu? Mwaka huu mambo yakienda sawa nitamaliza darasa la 7. Ni shule gani nzuri mnanishauri kwenda nikasome sekondari? Iwe na sifa zifuatazo: -Chakula kizuri (muhimu sana) -Mazingira (library, computer room etc.) -Inafaulisha. NB; nataka shule mixer sio boys 2 men.
  20. Area 56

    Kijana mwenzangu una akiba kiasi gani benki?

    Kijana mwezangu mambo vipi? Katika mishe zako za utafutaji fanya vyote ila usikose akiba ya hela. Tutafute pesa kwa juhudi zote ila pia tukumbuke na kuzitunza. Unaweza kutunza pesa bila ya kuwa na tamaa ya matumizi yasiyo ya lazima? Kama ni ndio tuambie akiba yako inaweza kufika kiasi gani...
Back
Top Bottom