Mitandao ya kijamii imekuunganisha na watu gani muhimu waliobadili maisha yako?

Clear37

Senior Member
Oct 25, 2023
102
145
Habari Zenu wadau, natumai mnaendelea kukaza na life popote mlipo. Swali langu ni Moja tu Tangu umeanza kuijua na kuitumia mitandao ya kijamii imekusaidia vipi kuunganisha na watu waliobadili maisha yako?.

Natamani kujua waliofanikiwa kupitia mitandao ya kijamii.

Sababu watu wa kada zote na status tofauti hupatikana mitandao.Vipi Kwa upande wako social media imeleta impact Gani kwenye maisha yako.

Thanks
 
ukiacha wateja imenipa watu wa muhimu saaana saana ambao wsna mchango mkubwa sana kwene maisha yangu aisee
 
Back
Top Bottom