elimu

  1. JamiiForums Tanzania Kwa hapa alipofikia Tundu Lissu, elimu yake Sheria imefika mwisho, haiwezi tena kumsaidia

    "No one is above the laws of the country". Katika vitu vichache ninavyo vikumbuka kwenye somo la "civics" form II in sentensi fupi yenye maneno machache kabisa ya "No one is above the law". Watu tumesome mambo magumu mengi sana kama ya schrodingers wave function na kuitumia kuelezea "the drug...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Siasa isituharibie elimu yetu

    Kumekuwa na jitihada nyingi wakati wa uchaguzi wanasiasa kutaka kuonesha walivyofanya maajabu, ubaya nipale yanapotengenezwa mambo kinguvu ili kusadifu matakwa ya wanasiasa. Tunakumbuka 2013 matokeo ya K IV yalinogeshwa ili BRN (big results now) ionekane imeleta output kubwa enzi hiyo. Hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Soko la hisa toeni elimu Kuepusha kama mambo ya Desi na Mr. Kuku

    Najaribu kujiwekea Akiba ya hivi visenti vyangu kwa kuangalia tofauti ya taasisi mbali mbali. Kitu kinachonishangaza ni kwamba utaratibu wa mamlaka kutoa elimu ya kwenye haya masoko ya hisa imekuwa mgumu binafsi nimekwenda zaidi ya mara kadhaa DSE na UTT ila kiukweli sijaelewa chochote mbaya...
  4. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu mfungieni Mwalimu huyu. Anaharibu wanafunzi

    Kuna video inasambaa mtandaoni ikimuonyesha mwalimu ambae anawafundisha wanafunzi kukatika. Matendo haya sio mazuri kwa malezi ya vizazi vyetu. Wizara ya elimu mchukulieni Mwalimu huyu hatua stahiki.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali ili kuboresha Elimu nchini Tanzania

    Wadau heshima kwenu. Taifa lolote likitaka kufanikiwa ni lazima liwekeze kwenye elimu. Uongozi wa awamu zote umefanya ulivyoweza Kuboresha elimu nchini Tanzania. Serikali ya awamu ya tano nayo haiko nyuma na imejitahidi sana katika Kuboresha elimu. Serikali ya awamu ya tano ndiyo inayotekeleza...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nape: Hata kama jina langu litakatwa sitakufa njaa kwa sababu nina elimu ya uhakika

    Mbunge mtetezi wa jimbo la Mtama Nape Nnauye amesema haogopi jina lake kukatwa kwa sababu amesoma vizuri na ana elimu ya uhakika. Akiongea kupitia ukurasa wake wa Twitter Nape anasema yeye siyo mnafiki na yeyote atakayemletea " za kuleta" kwenye kampeni za Ubunge atamshughulikia hapo hapo...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Sekta ya Elimu haijapata fursa ya kujadili changamoto zao au imetengwa?

    Wadau wa Sekta ya Elimu mnakwama wapi? Tokea Serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani Novemba 15 , 2015 , kumekuwepo na mikutano mbalimbali juu ya kujadiliana changamoto mbalimbali katika sekta husika nakumbuka mapaema tu baada ya serikali iliyopo sasa kuanza kazi , kuliitishwa mkutano...
  8. JamiiForums Tanzania Mkopo wa Elimu unapokuwa wa kinyonyaji

    Wanufaika wa mkopo wa elimu kilio kilio na ndo mana wengi wanakimbia wasilipe mkopo. Serikali iondoe tozo ya 6% (value retention fee) inayotozwa na bodi ya mikopo ya elimu ya juu (HESLB) kila mwaka kwa kila mnufaika. Tozo hii inafanya mkopo usilipike na inaleta umaskini kwa wanufaika. Mkopo...
  9. JamiiForums Tanzania Makada wa CCM wapewe elimu kuelisha wananchi manufaa ya ununuzi wa ndege

    Kuna baadhi ya makada wapewe mafunnzo namna ya kunadi mazuri ya yaliyofanywa na awamu hii ya 5
  10. JamiiForums Tanzania George Ambangile aliamua kubaki na heshima na matumizi sahihi ya Elimu. Jamaa ni kichwa kizuri

    Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge. Kitenge ametuuza sana...
  11. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kukutana na Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini ili kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima ya Afya (NHIF) licha ya wanafunzi kulipa fedha hizo. “Katibu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  13. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunafeli wapi kwenye elimu

    Tuna wahitimu kila mwaka kutoka kwenye vyuo vikuu i.e. UDSM, SUA, UDOM, DIT, AIT, Hata kwenye project zao hakuna wanachovumbua hata concept tu Duuh!! Au wanaenda kukariri na kujibu mitihani, na nasikia eti huwa kuna Tuition kwa wanafunzi wa University! SHAME!!!! Kenyan school girls’...
  14. JamiiForums Tanzania Mashabiki wengi wa Yanga hatuna elimu na si binadamu wa kawaida

    Kocha Luc Eymael kuna jambo lilimfanya atuone sisi ni kama Manyani au Mbwa. Aliona tunapiga kelele tu na hatuna elimu, yaani ni vilaza. Nmeshangaa tunaposhangilia team karibia yote kupigwa chini na kuanza kuokoteza okoteza wachezaji wakati tulipaswa kusajili wachezaji wachache ili kuimalisha...
  15. JamiiForums Tanzania Kukosa elimu ya darasani isiwe kichaka cha kuficha uwezo wa kufikiri

    Salaam! Imekuwa ni desturi ya Watu wengi kulalamika kuwa kukosa Elimu ya darasani kumewafanya kushindwa kufikia mafanikio fulani fulani hususani ya kiuchumi. Kwa upande wangu sioni mantiki ya kukwamishwa kuendelea kiuchumi kisa elimu ya kuta nne. Hebu kwanza tujiulize ni nini kinamfanya mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  17. JamiiForums Tanzania Tuache uzembe, siasa inalipa kuliko hata elimu

    Habari zenu wakuu. Ni wazi kwamba hakuna aliyefanikiwa hapa duniani kwa kuwa muoga kuthubutu kufanya jambo lolote lenye faida. Moja kati ya fursa ambayo wengi hanaogopa kujihusisha nayo ni siasa, aidha kwa kuiogopa au kuto itilia maanani. Wapendwa tuacheni uoga na uzembe, we have to take risk...
  18. JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Mara, Kigoma, Tabora, Kagera wagombe CCM ni PhD, mikoa ya pwani Morogoro, Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga ni kujua kusoma, kuandika na pesa

    Halafu mtu analalamika kuwa JPM anapendelea wabunge wa mikoa ya bara katika kuunda Baraza la Mawaziri. Tunapoingia uchumi wa kati ndugu zangu changueni wabunge wasomi. Hawa ndio wenye sifa ya kumsaidia mhe. JPM. Achaneni kumchagua mtu kwa vigezo vya pesa, mnasikia ndugu zangu hasa wa mikoa ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako

    Habari zenu wanabodi, Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza 1. Olympio - Dar Es Salaam 2. Diamond - Dar Es Salaam 3. Magufuli -...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…