elimu

  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mwalimu Duniani: Janga la CoronaVirus laongeza changamoto zaidi kwenye sekta ya Elimu

    Siku hii huadhimishwa kila Oktoba 5 na iliasisiwa na Shirika la Kimataifa la UNESCO kwa kushirikiana na UNICEF na ILO. Siku hii inaadhimishwa huku sekta ya elimu ikiwa imeathirika pakubwa kutokana na janga la #CoronaVirus Katika nchi nyingi ni siku ambayo watu hutambua kazi za Walimu na...
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nichagueni Oktoba 28 niwe Rais nisimamie elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa hapa ni elimu yetu na pia hao walio mfanyia tathmini ya ajira huyu afisa wa serikali

    Kama stakabadhi ya ofisi ya serikali Ina makosa ya kiuandishi namna hii, tena kwa lugha ya taifa. Hii inaashiria nini?
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba: Nitatumia elimu yangu kukuza uchumi na kufuta umasikini katika nyanja zote

    BUSEGA- SIMIYU Ukuaji wa uchumi wa Tanzania haujaambatana na kasi kubwa ya kupungua kwa watu masikini. Idadi ya watu masikini kwa kutumia kipimo cha taifa cha umasikini (mtu mzima kutumia shilingi 50,000/ au zaidi kwa mwezi) imeongezeka toka watu milioni 12.3 mwaka 2011 na kufikia watu milioni...
  5. Securelens

    JamiiForums Tanzania Ona haya ya elimu

    Kila kona ya nchi yetu, watanzania wanafurahia kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Mheshimiwa Rais Magufuli katika sekta ya elimu ikiwemo kutoa elimu bila malipo kwa shule za msingi na sekondari Mpaka mwezi Februari 2020, serikali iligharamia malipo hayo kwa shilingi trilioni 1.01 ikiwa inatoa...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Najua 'Unatania' ila kwa sasa unazidisha na kuharibu kwani Kauli za 'Kingonongono' ni nyingi 'Jukwaani' kuliko 'Kujinadi' Kwako zaidi Kisiasa

    Tafadhali sana badilika upesi na niwaombe pia hata wale walioko karibu nae ( hasa Washauri ) ama wamsaidie au wambadilishe kwani anachokifanya sasa ni 'Kujichoresha' na hadi 'Kujidhalilisha' kwa Watanzania. Haiwezekani Wewe kila ukianza tu 'Kuhutubia' unaacha 'Kujinadi' hasa 'Kisera' Kazi yako...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Serikali yazindua chuo cha mafunzo ya elimu ya michezo na ukocha (DAR)

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amezindua kituo cha Dar es Salaam cha Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya. Chuo cha maendeleo ya Michezo Malya, ni Chuo pekee kinachotoa stashahada ya michezo hapa nchini kwa kuzingatia...
  8. Mwanamaji

    JamiiForums Tanzania Elimu mazinigira: Hatua 9 za kupata cheti cha mazingira kutoka NEMC kwa ajili ya mradi wako

    Zifuatazo ni hatua 9 za kufuata ili kupata cheti cha tathmini ya athari za mazingira kwenye mradi wako;- 1. Usajili (Registration) Sajili mradi wako kwa kujaza fomu maalum ya maombi ya usajili kwenda baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira (NEMC). Gharama yake ni 70,000/=.Kwa siku...
  9. MchunguZI

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu: Shule za bweni shule za msingi zifungeni. Ni uzembe wa malezi

    Baada ya ajali na kupoteza maisha ya watoto kule Kagera, shule nyingine mkoani Tabora imeungua. Mmoja katika waliohojiwa alionesha mashaka kwamba kwa nini kwa muda mfupi kiasi hiki na kwa nini zote za dini moja - alimaanisha za Kiislamu. Binafsi nina tatizo na ubora na tabia ya kupeleka watoto...
  10. NCCR Mageuzi

    JamiiForums Tanzania GE2020 NCCR-Mageuzi kuleta mfumo mpya wa elimu

    Hivi karibuni chama cha NCCR-Mageuzi kilizindua Ilani ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ambayo kiujumla wake ilibeba ajenda takribani 10. Ajenda hizi ni pamoja na: 1. Muafaka wa Kitaifa 2. Katiba Mpya 3. Elimu 4. Afya na Ustawi wa Jamii 5. Mazingira na Makazi 6. Vyombo vya habari na Asasi zisizo...
  11. Mzizi Tanzania

    JamiiForums Tanzania Maswali muhimu Juu ya Mtaala wa Elimu Ya Tanzania

    Tujadili kidogo watanzania wenzangu! 1. Hivi ni kwa asilimia ngapi mtaala wa Elimu ya Secondary hapa Tanzania umetekelezwa ? 2. Je Mtaala unafatwa kama ulivopangwa? 3. Walengwa katika mtaala huo wamewekewa mazingira bora ili kutekeleza kiufanisi mtaala huo? 4. Je sera ya Elimu ya Tanzania...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Kufuatia Upotoshaji Unaofanywa: Naomba kutoa Elimu kuhusu Mihimili mitatu ya Dola

    Waungwana, Kwa kipindi kirefu wapinzani wamekuwa kwa kujua au kutokujua wanapotosha umma Kuhusu kazi na wajibu wa mihimili mitatu ya dola yaani serikali, bunge na mahakama. Serikali kazi yake ni kuendesha shughuli za kila siku za nchi, bunge kutunga sheria na kuisimamia serikali wakati...
  13. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Bukoba Vijijini: Nitasimamia elimu bora na matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano

    NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" BUKOBA VIJIJINI Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi, elimu ya sekondari na elimu ya juu. Kila raia...
  14. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Je, ukimaliza Diploma, unaweza kupata mkopo kwa ngazi ya Degree?

    Kama form four ulisomea shule ya serikali na ukafaulu vizuri ukaingia chuo, ukamaliza kusoma diploma kwa miaka mitatu na ukataka uendelee na degree. Unaweza kupata mkopo kutoka serikalini huko utakapofika kwenye ngazi ya degree?
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Naomba Wizara ya Elimu itoe muongozo juu ya muda wa kukaa darasani kwa watoto wetu

    Nitakwenda moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda. Naomba Wizara ya Elimu itoe muongozo juu ya muda wa kukaa darasani kwa watoto wetu. Ni kweli shule zina Bodi, lakini tukumbuke hakuna taasisi ambayo hairatibiwi, Usafiri ipo SUMATRA, nishati ipo EWURA, hotel sijui TFDA nk, sasa hivi mfano...
  17. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
  18. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Magufuli na Lissu kukutana Kigoma kwa mara ya kwanza leo

    Kwa mjibu wa ratiba Tundu Lissu atakuwa na kampeni Kigoma mjini leo jioni katika maeneo ya Mwanga center. Wakati huo huo Rais Magufuli atakuwa Lake Tanganyika, atakuwa na Rais wa Burundi ambaye amealikwa katika uzinduzi wa jengo la mahakama. Hofu yangu ni, je, CHADEMA wataruhusiwa kufanya...
  19. Tuko

    JamiiForums Tanzania Tume ya Uchaguzi na suala la Wanafunzi kutolewa madarasani kuhudhuria mikutano ya kampeni

    Baada ya wiki moja ya kampeni tumepokea taarifa mbali mbali za mienendo ya kampeni. Kinachonifanya niandike huu uzi ni kitendo cha NEC kufumbia macho suala la wanafunzi kuamriwa kuacha masomo kwenda kuhudhuria mikutano ya kampeni. Ni kweli kuwa baadhi ya wanafunzi wana umri wa kutosha kupiga...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Josephat Gwajima inatia mashaka

    Nimekuwa napata shida sana kutokana na elimu ya Gwajima . Tokea kipindi akitangazia umma na akiliamsha dude pale Kanisani kwake, basi ,nikawa napata shida kutokana na matamshi yake. Kila kazi ina miiko yake. Askofu hatakiwi kutoa siri za muumini wake hata kama huyo muumini amelihama kanisa...
Back
Top Bottom