elimu

  1. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Huenda wanufaika wa Mikopo ya Elimu ya Juu waliokaa na madeni kwa muda mrefu kupatiwa mwarobaini wake

    Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa...
  2. maroon7

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa mkuu wa chuo DIT na waziri wa Elimu Prof. Ndalichako

    Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali yetu chini ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli ambae anapambana usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga kwa kasi usiku na mchana. Pili niwapongeze baadhi ya watendaji wake akiwemo waziri wa Elimu Prof Ndalichako kwa kuendana na kasi ya Rais wetu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Magufuli ni Rais wa kwanza ambaye ni zao la mfumo wetu wa elimu kwa 100%

    Ndiye Rais pekee wa Tanzania ambaye amepata elimu yake yote katika Tanzania huru kwa mfumo wa elimu wa Tanzania katika hatua zote. Waliomtangulia wote walipitia mfumo wa elimu ya kikoloni kwa hatua mbalimbali. Hongera kubwa sana ni kwa Mwalimu Nyerere ambaye alisoma katika mfumo wa elimu ya...
  4. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Trump atunga Sheria inayotaka kuajiri watumishi wa Umma kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu

    Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu. Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
  5. Richest richman qudu

    JamiiForums Tanzania Msaada maswala ya Mikopo Elimu ya Juu

    Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa sababu niliuifadhi lakini haikua hivyo, nilipo riport loan board walinizngusha. Je, nikiapply tena...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu izibadilishe shule za msingi za Serikali ziwe English Medium. Soko kubwa sana, Serikali ipate hela ya ada yanayovunwa na watu binafsi

    Habari wadau Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana. Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli ya kasi uende sanjari na utoaji wa elimu ya matumizi yake sahihi

    Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile...
  8. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kufunguliwa kwa shule nchini elimu ya kujikinga na COVID 19, misaada yatolewa

    Kuelekea kufunguliwa kwa shule nchini elimu ya kujikinga na COVID 19, misaada yatolewa SHIRIKA lisilo la kiserikali la kutetea Hakiza wanawake na watoto la Kivulini mkoani Mwanza limeanza kampeni maalumu ya kutoa elimu na msaada wa vifaa kinga kwa shule za msingi na Sekondari. Msaada utatolewa...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Usijivune: Kassim Majaliwa, Prof Mark Mwandosya na marehemu Prof Idris Mtulia, Wakiwa ndani ya Mtumbwi

    Picha hii ni ya mwaka 2010, Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo. Nyuma ya Majaliwa ni Prof Mark Mwandosya ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, asiye na Wizara Maalum...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndalichako tunaomba utoe tamko kuhusu mwongozo wa elimu baada ya shule kufunguliwa, kuna shule wamebuni michango yao

    Katika shule moja iliyopo wilaya ya Magu, ambayo ni Sekondari ya kata watoto wanatakiwa kupeleka kilo kumi za mchele kila mmoja, hayo ni maelekezo waliyopewa watoto kutuambia wazazi. Shule ina wanafunzi wastani wa 2000×10 = kg 20,000/= na pesa tsh.2000@ mwanafunzi ambazo ni tsh. 4,000,000/=...
  11. Lis

    JamiiForums Tanzania Naomba elimu na ushauri kuhusu kalenda yangu, baada ya kunywa emergency pills

    Heshima kwenu doctors, naomba kuelimishwa juu ya hili tafadhali:- Binafsi Nina mzunguko wa siku 27 wa hedhi, ninautumia kujua siku zangu za hatari na salama. Lakini mwezi huu ilitokea nikafanya katika siku ya hatari, na ikanibidi ninywe emergency pills, sikuwa na jinsi. Swali langu ni je...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Elimu haina mwisho; Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi?

    Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi? Huu unaitwa mkutano wa 11 , kuanzia lini? Mwaka huu? --------- Pia soma Kikao cha 8, mkutano 19, Bunge la 10, maana yake nini? Soma ufafanuzi wake hapa
  13. Ivan Breaker

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wenu

    ...
  14. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Hai hata kama ni Masikini au huna Elimu acha kujidharau, kukata tamaa na usiogope kuchekwa/Kudhihakiwa. Ipo siku maisha yako yatabadilika tu

    Teen who spent 10 hours cleaning up after protest rewarded with car and college scholarship Kwa Kifupi tu ni kwamba Jamaa huyo ( Mwafrika ) Mwenzetu aishie huko Ughaibuni huku akiwa na Maisha yake ya Kubangaiza hapa na pale kama ya Mzukulu Mimi kwa Moyo wake tu na kuonyesha Nidhamu yake ya...
  15. Tajiri Mapesa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?

    Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata tukisimuliwa habari za kuloga lazima tutaambiwa mbibi fulani ndio ameroga. Tukisimuliwa habari za kuloga mume...
  16. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Waziri wa Elimu atimuliwa baada ya kununua pipi za Tsh. Trilioni zaidi 4 ili kuwasaidia watoto kunywa mitishamba ya #Corona

    Waziri wa elimu nchini Madagascar amefukuzwa kazi kwa sababu ya mipango yake ya kuagiza peremende au pipi zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 2 sawa na (£1.6m) kwa watoto wa shule. Rijasoa Andriamanana amesema wanafunzi watapewa pipi tatu kila mmoja watakazokula baada ya kunywa dawa ya...
  18. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa hapa ndio wenye elimu Tanzania, hadi aibu, halafu ndio wanalilia na kung'ang'ania kuingia Kenya bila kupimwa

    Jana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Elimu kwa Umma juu ya matumizi sahihi ya alama barabarani na uzingatiaji wa sheria

    Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo yafuatayo yanayofanyika katika urejeshaji wa mkopo wa elimu ya juu "HESLB".

    Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika yapo maboresho makubwa yaliyofanywa na Bodi ya mikopo miaka ya karibuni kwa lengo la kuwa mfuko endelevu na kunufaisha Wanafunzi wengi zaidi. Mabadiliko hayo kwa kiasi kikubwa yamewaumiza walipaji wengi hususani walioanza kulipa kabla ya mwaka 2017. Kuna...
Back
Top Bottom