elimu

  1. Madagascar: Waziri wa Elimu atimuliwa baada ya kununua pipi za Tsh. Trilioni zaidi 4 ili kuwasaidia watoto kunywa mitishamba ya #Corona

    Waziri wa elimu nchini Madagascar amefukuzwa kazi kwa sababu ya mipango yake ya kuagiza peremende au pipi zenye thamani ya zaidi ya dola milioni 2 sawa na (£1.6m) kwa watoto wa shule. Rijasoa Andriamanana amesema wanafunzi watapewa pipi tatu kila mmoja watakazokula baada ya kunywa dawa ya...
  2. Hawa hapa ndio wenye elimu Tanzania, hadi aibu, halafu ndio wanalilia na kung'ang'ania kuingia Kenya bila kupimwa

    Jana Rais Magufuli alihutubia kongomano la walimu waliosongamana na kupumuliana full mijasho bila tahadhari yoyote kama wanavyoonekana kwenye hii picha, hamna cha barakoa au kuzingatia umbali wa kila mmoja, hawa hapa ndio utategemea wawe na kauelewa kiaina kuhusu sayansi na masuala ya kirusi...
  3. A

    Elimu kwa Umma juu ya matumizi sahihi ya alama barabarani na uzingatiaji wa sheria

    Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
  4. Fahamu mambo yafuatayo yanayofanyika katika urejeshaji wa mkopo wa elimu ya juu "HESLB".

    Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika yapo maboresho makubwa yaliyofanywa na Bodi ya mikopo miaka ya karibuni kwa lengo la kuwa mfuko endelevu na kunufaisha Wanafunzi wengi zaidi. Mabadiliko hayo kwa kiasi kikubwa yamewaumiza walipaji wengi hususani walioanza kulipa kabla ya mwaka 2017. Kuna...
  5. Elimu kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wa Awali, Msingi na Sekondari. Je, Wizara ya Elimu inaitambua hiyo elimu?

    Niliwahi kuandika jamii forum kuhusu ili swala la kulipa ada na online education hili swala lipo hivi Tanzania kupitia wizara ya elimu haitambui elimu ya kujisomea nyumbani isipokuwa katika ngaz ya degree tuu hizo zingine chini haiwezekani hivyo mwanao akipata hyo elimu n kama tuition tuu mana...
  6. Mwenye kufahamu CV ya Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

    Wakuu Kama Kuna member yeyote anafahamu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu wasifu wake anisaidie nipate kumfahamu vizuri maana jamaa naona kama ni kichwa kwelikweli na akiongea anaongea kwa msisitizo kabisa.
  7. HakiElimu: Uzinduzi wa ripoti za makuzi, ulinzi na elimu bora ya awali inayowaandaa vyema watoto kujiunga na elimu ya msingi

    Ripoti hizo mbili zinazozinduliwa ni: Intergration of Child Protection into Early Childhood Development (Namna Bora ya Kujumuisha Dhana ya Ulinzi wa Mtoto Katika Elimu ya Awali) Assessment of Learning and Teaching Environment for Pre-primary Education in Tanzania, 2019 (Mazingira ya Kujifunza...
  8. Kuna haja ya kutoa elimu zaidi juu ya ushonaji wa Barakoa

    Leo nimejaribu kupita katika kituo kimoja cha Afya na nilichokiona ni msisitizo mkubwa wa uvaaji wa Barakoa huku zikiuzwa mlangoni kiholela lakini shida yake kubwa ni mikanda yake ya masikio kuwa mifupi kiasi cha kupata masikio ya watu na kuyabinua kama ya punda.
  9. Elimu/Shule ya mahaba matata uliipata wapi?

    Habari za jioni. Kizuri kula na wenzio. Ukiguswa tafadhali elezea ulijifunzia wapi mambo ya Mahaba yaani utundu na ufundi wa 6*6. Acha kujua kuchomoa na kuchomeka laah hasha ujuzi na ufundi yaani umaridadi bin ubunifu bin sanaa ya mapenzi. Ulizaliwa nayo? Ulirithishwa? Au mpaka leo hujui kitu...
  10. Huenda Tanzania ya sasa chini ya Rais Magufuli ikawa imepata Waziri bora wa Elimu Ndalichako tokea Uhuru wake

    Yaani Watoto wamekaa karibia Miezi Mitatu bila Masomo, huku wengi Wao wakiwa tayari wameshaathirika Kisaikolojia kulingana na Hofu iliyokuwepo na bila shaka wengine hata Topiki zao hawakumaliza anatokea Mtanzania Mmoja anasema watafanya Mtihani yao Wiki chache zijazo. Hivi hawa Watoto...
  11. M

    Godlisten Malisa: Namuunga mkono Rais Magufuli kufungua vyuo vya elimu

    Na GODLISTEN MALISA Kwa maoni yangu nadhani hatua ya kufungua vyuo na taasisi nyingine ni muhimu japo ni muhimu zaidi kuendelea kuchukua tahadhari kama alivyosema Rais JPM. Ukweli ni kwamba janga la Covid19 sio jambo la muda mfupi kama ilivyotarajiwa kwamba litakuja na kupita. WHO wamesema it...
  12. Namna nilivyoanza biashara kwa uoga mpaka kufikia hapa nilipo, nilichogundua biashara haihitaji elimu nyingi ya darasani

    Wakuu naomba kufupisha historia yangu ya kuanzisha biashara nilipokuwa kwenye kibarua fulani nina imani hata wewe itakusaidia sana pengine kama sio wewe ni mwingine. Miaka kadhaa nyuma nilipokuwa nimepata kibarua fulani nilikuwa nimekaa mda mrefu nikiwaza biashara kichwani ila nilikuwa naogopa...
  13. Enyi wajuzi wa Sheria mtupe elimu katika hili

    Mwizi kaingia ndani ya nyumba ya mtu kuiba majirani tukaona tukafunga mlango kwa nje. Mwizi akataka kuvunjja mlanngo akapanda juu akachana bati akutokea juu akaanza kukimbia, Wananchi wenye hasira kali wakampa kipigo tukajitahidi kuwazuia tukafanikiwa mwenyewe. Mwenyewe alipewa taarifa...
  14. Makosa matano katika uvaaji wa Barakoa

    Kutokana na ushauri wa kuvaa barakoa kama njia mojawapo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya kirusi cha korona wengi wetu wanafanya makosa yafuatayo ya uvaaji wake. 1) Barakoa kufunika tu mdomo. Uwezekano wa kuambukizwa kupitia pua ni mkubwa ukivuta hewa yenye virusi. Hii ni pamoja na...
  15. Fifteen of the most important milestones on the road to modern medicine

    Fifteen of the most important milestones on the road to modern medicine . 1 Anaesthesia Revolutionised surgery. By the end of the 19th century, anaesthesia had become a symbol for the wider humanitarian movement. It remains the most vivid example of medicine's capacity to diminish human...
  16. Hii ndo Hasara ya Mfumo Mbaya wa Elimu

    JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1) Na Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
  17. Je, wajua Mifumo ya Elimu Afrika inarudisha maendeleo yako?

    JE WAJUA? UBOVU WA MFUMO WA ELIMU UMECHANGIA UMASKINI WAKO Mfumo wa elimu Africa na *chui wa makatasi* ( sehemu ya 1) Na Mikael Aweda Naanza kwa kuuliza swali la kushtua kidogo. Je, wajua kuwa mfumo wa shule zetu nyingi Afrika unachangia wewe kuwa maskini?? Bila shaka hilo hi swali la...
  18. Ili kuwalinda Watoto Sera ya Elimu yapaswa kuboreshwa

    Ni sifa ya kila kiumbe kutaka mtoto aendelee kuwepo haswa inaotokea chagua la mtu anayepaswa kubaki. Hii ndio sababu naona haja ya kuwalinda watoto kwa kuwa wao ni vizazi vijavyo. Watoto wana miaka mingi iliyobaki wao kuwepo kuliko mimi ambaye nakaribia ule wastani wa mtu kuishi duniani...
  19. Kwa hali na Changamoto za dunia ya Sasa katika ajira, Kuna umuhimu mkubwa sana kupata elimu katika vyuo vya nje

    Huku bado lock-down inaendelea wakuu japo Cha kushukuru ni maambukizi mapya yamepungua sana na huenda masharti yakalegezwa siku za hivi karibuni, lakini kipindi hiki ambacho hatuna ratiba nyingine nimeamua tuwe tunajadili mambo muhimu na yenye afya kwa vijana wenzangu. Leo tujadili hasa umuhimu...
  20. J

    Tatizo letu kubwa lipo kwenye mfumo wetu wa Elimu ndiyo maana tunazalisha viongozi dhaifu

    Habari wana jamvi, Nimefuatilia kwa muda mrefu jinsi mambo yanavyo endelea nchini mwetu katika nyanja mbalimbali, nimegundua kuwa tatizo ni kubwa mno hasa kwasababu linaanzia kwenye mfumo wetu wa Elimu. Mwishoni nitajitahidi kufafanua. Kifupi ni kwamba waliotakiwa kuongozwa ndio wanatuongoza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…