Mtoto anakula usiku saa 2 analala, asubuhi anawahi shule saa 1 anakaa shuleni hapo hadi saa 10 alasiri bila kula, kwa njaa hiyo ya masaa 20, atafundishika?
Inaumiza Mwalimu anafundisha mtoto mwenye njaa anayesinzia darasani huku akijua mtoto huyo hamwelewi badala yake anaugulia njaa.
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji. Nimetembelea tovuti mbalimbali za elimu hapa TANZANIA, Nimeona mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu hasa...
Mhe. Waziri wa Elimu na Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP, naomba ufafanuzi natumai mnasoma swali hili, ni kwamba inapofika wakati wa Mitihani ya Form 6 na Form 4 Askari huwa ni walinzi pale Strong Room yalipo Mitihani, na huwa wanapewa posho kwa ajili ya ulinzi huo, sasa imeanza kuwa desturi au...
Jumatano tarehe 1 Julai, 2020 Benki ya Dunia iliitangaza rasmi nchi ya Tanzania kuingia katika uchumi wa kati ikiwa ni miaka mitano kabla ya muda ambao Tanzania ilijipangia katika Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025
Hakika hii ni jambo la kufurahiwa na kila mtanzania kama alivyosema Rais wa Jamhuri...
Naipongeza wizara ya elimu kwakusikia malalamiko niliyoyafikisha kwenu kupitia jukwaa letu pendwa la jf.
Nilileta uzi nikiwatetea wazazi na kuwatuhumu baadhi ya walimu wa shule za secondary na msingi nilianza na shule ya secondary ya kata wilayani magu kwa kuagiza watoto wapeleke kilo10 za...
Kumekuwa na wimbi la wakwepaji na kibaya zaidi wengine wanajisifu kwa kuweza kuwa mbali na mikono ya loanboard kwa miaka kadhaa
Nilichokibaini kwa mkakati inayosukwa wakati huu sidhani kama kutakuwa na mwanya mpana wa kukwepa tena na huenda wanufaika wakwepaji wakasababisha hasira zikahamia kwa...
Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali yetu chini ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli ambae anapambana usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga kwa kasi usiku na mchana. Pili niwapongeze baadhi ya watendaji wake akiwemo waziri wa Elimu Prof Ndalichako kwa kuendana na kasi ya Rais wetu...
Ndiye Rais pekee wa Tanzania ambaye amepata elimu yake yote katika Tanzania huru kwa mfumo wa elimu wa Tanzania katika hatua zote. Waliomtangulia wote walipitia mfumo wa elimu ya kikoloni kwa hatua mbalimbali.
Hongera kubwa sana ni kwa Mwalimu Nyerere ambaye alisoma katika mfumo wa elimu ya...
Trump ametunga sheria au maarufu kama Executive Order inayoagiza watumishi wa umma kuajiriwa kwa kigezo cha ujuzi na ufahamu na sio elimu.
Hili jambo mimi binafsi natamani lingekuja Tanzania. Kwa sababu huko serikalini watu ni hovyo kabisa ila wana degree na vyeti vizuri sana ila hawajui...
Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa sababu niliuifadhi lakini haikua hivyo, nilipo riport loan board walinizngusha.
Je, nikiapply tena...
Habari wadau
Naona kuna soko kubwa sana la wazazi wanaopenda watoto wao wasome English Medium. Nawashauri Serikali, kila wilaya nchii hii wawe na shule za msingi za Serikali za English Medium kama Olimpio na Diamond. Wazazi watashukuru sana na sana.
Hizo pesa ambazo shule binafsi wanazivuna ni...
Kujenga reli ya aina hii ni jambo geni sio tu geni kwetu Tanzania lakini hata kwa mataifa mengine. Hivyo namna bora ya kuitumia, kuitunza, na kuepuka madhara kama yatakuwepo kwa usahihi lazima ianze sasa kabla ujenzi haujakamikika
Yabakie yale tu yanayosubiri hadi ianze kufanya kazi kama vile...
Kuelekea kufunguliwa kwa shule nchini elimu ya kujikinga na COVID 19, misaada yatolewa
SHIRIKA lisilo la kiserikali la kutetea Hakiza wanawake na watoto la Kivulini mkoani Mwanza limeanza kampeni maalumu ya kutoa elimu na msaada wa vifaa kinga kwa shule za msingi na Sekondari.
Msaada utatolewa...
Picha hii ni ya mwaka 2010, Wa tatu kwa waliokaa kutoka nyuma ni Kassim Majaliwa ambaye wakati huo alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji. Majaliwa hakuwa hata mbunge wakati huo.
Nyuma ya Majaliwa ni Prof Mark Mwandosya ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, asiye na Wizara Maalum...
Katika shule moja iliyopo wilaya ya Magu, ambayo ni Sekondari ya kata watoto wanatakiwa kupeleka kilo kumi za mchele kila mmoja, hayo ni maelekezo waliyopewa watoto kutuambia wazazi.
Shule ina wanafunzi wastani wa 2000×10 = kg 20,000/= na pesa tsh.2000@ mwanafunzi ambazo ni tsh. 4,000,000/=...
Heshima kwenu doctors, naomba kuelimishwa juu ya hili tafadhali:-
Binafsi Nina mzunguko wa siku 27 wa hedhi, ninautumia kujua siku zangu za hatari na salama.
Lakini mwezi huu ilitokea nikafanya katika siku ya hatari, na ikanibidi ninywe emergency pills, sikuwa na jinsi.
Swali langu ni je...
Mikutano ya bunge inahesabiwa vipi? Huu unaitwa mkutano wa 11 , kuanzia lini? Mwaka huu?
---------
Pia soma
Kikao cha 8, mkutano 19, Bunge la 10, maana yake nini? Soma ufafanuzi wake hapa
Teen who spent 10 hours cleaning up after protest rewarded with car and college scholarship
Kwa Kifupi tu ni kwamba Jamaa huyo ( Mwafrika ) Mwenzetu aishie huko Ughaibuni huku akiwa na Maisha yake ya Kubangaiza hapa na pale kama ya Mzukulu Mimi kwa Moyo wake tu na kuonyesha Nidhamu yake ya...
Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku.
Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata tukisimuliwa habari za kuloga lazima tutaambiwa mbibi fulani ndio ameroga. Tukisimuliwa habari za kuloga mume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.