elimu

  1. Miss Zomboko

    Waziri Mkuu ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kukutana na Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini ili kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima ya Afya (NHIF) licha ya wanafunzi kulipa fedha hizo. “Katibu...
  2. J

    Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  3. T

    Tanzania tunafeli wapi kwenye elimu

    Tuna wahitimu kila mwaka kutoka kwenye vyuo vikuu i.e. UDSM, SUA, UDOM, DIT, AIT, Hata kwenye project zao hakuna wanachovumbua hata concept tu Duuh!! Au wanaenda kukariri na kujibu mitihani, na nasikia eti huwa kuna Tuition kwa wanafunzi wa University! SHAME!!!! Kenyan school girls’...
  4. Chizi Maarifa

    Mashabiki wengi wa Yanga hatuna elimu na si binadamu wa kawaida

    Kocha Luc Eymael kuna jambo lilimfanya atuone sisi ni kama Manyani au Mbwa. Aliona tunapiga kelele tu na hatuna elimu, yaani ni vilaza. Nmeshangaa tunaposhangilia team karibia yote kupigwa chini na kuanza kuokoteza okoteza wachezaji wakati tulipaswa kusajili wachezaji wachache ili kuimalisha...
  5. Gamba la Mbu

    Kukosa elimu ya darasani isiwe kichaka cha kuficha uwezo wa kufikiri

    Salaam! Imekuwa ni desturi ya Watu wengi kulalamika kuwa kukosa Elimu ya darasani kumewafanya kushindwa kufikia mafanikio fulani fulani hususani ya kiuchumi. Kwa upande wangu sioni mantiki ya kukwamishwa kuendelea kiuchumi kisa elimu ya kuta nne. Hebu kwanza tujiulize ni nini kinamfanya mtu...
  6. mr mkiki

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha waandamana baada ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) kukata pesa zao za kujikimu

    Wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu- Arusha wakiandamana usiku huu kuishinikiza Bodi ya Mikopo Nchini HESLB kurejesha kiwango kilichosalia cha 510,000/= kwa mwaka huu wa masomo 2019/2020.
  7. Haiku

    Tuache uzembe, siasa inalipa kuliko hata elimu

    Habari zenu wakuu. Ni wazi kwamba hakuna aliyefanikiwa hapa duniani kwa kuwa muoga kuthubutu kufanya jambo lolote lenye faida. Moja kati ya fursa ambayo wengi hanaogopa kujihusisha nayo ni siasa, aidha kwa kuiogopa au kuto itilia maanani. Wapendwa tuacheni uoga na uzembe, we have to take risk...
  8. SirSalumu

    Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu yafungua dirisha la maombi kwa siku 40, yatoa muongozo

    Tuusome kwa makini ili tupate mikopo inshallah ====== Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wahitaji wanaotarajia kuomba mikopo ya elimu ya juu inayotolewa na Serikali kupitia HESLB kuwa mfumo wa uombaji wa mkopo kwa njia ya mtandao utakuwa wazi kwa siku 40 kuanzia Jumanne, Julai 21, 2020 hadi...
  9. T

    Mara, Kigoma, Tabora, Kagera wagombe CCM ni PhD, mikoa ya pwani Morogoro, Lindi, Mtwara, Pwani na Tanga ni kujua kusoma, kuandika na pesa

    Halafu mtu analalamika kuwa JPM anapendelea wabunge wa mikoa ya bara katika kuunda Baraza la Mawaziri. Tunapoingia uchumi wa kati ndugu zangu changueni wabunge wasomi. Hawa ndio wenye sifa ya kumsaidia mhe. JPM. Achaneni kumchagua mtu kwa vigezo vya pesa, mnasikia ndugu zangu hasa wa mikoa ya...
  10. M

    Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako

    Habari zenu wanabodi, Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza 1. Olympio - Dar Es Salaam 2. Diamond - Dar Es Salaam 3. Magufuli -...
  11. R

    Kama huna elimu ya juu mafanikio utayasikia tu kwenye tv

    Ukweli ndo huu ,uchukie ,ubishe,unune,kama huna elimu ya juu (angalau diploma na kuendelea kwenye fani yoyote) kutoboa aya maisha ni kwa bahati sana. Angalizo : sijamaanisha kuwa na professional education ni tiketi ya moja kwa moja ya mafanikio. Ngoja niende pale ofisi za CCM central...
  12. Mdha

    Naomba kufahamishwa Course za Masters zisizo za Kielimu, ambazo mtu mwenye Shahada ya Elimu( BED)

    Habari zenu waungwana. Naomba kufahamishwa kuhusu Course za Masters zisizo za Kielimu, ambazo anaweza kusoma mtu mwenye Shahada ya Elimu ( BED).
  13. Miss Zomboko

    Serikali: Mechi ya Simba na Yanga imeonesha elimu zaidi bado inahitajika kuhusu CoronaVirus

    SERIKALI imesema changamoto ya kupeana nafasi kwa mashabiki walioingia uwanjani katika mchezo wa Simba na Yanga inaashiria elimu zaidi inahitaji ili kuchukua tahadhari ya janga la maambukizi ya virusi vya corona viwanjani. Katika mchezo huo wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam...
  14. ndege JOHN

    Kutoka "elimu elimu elimu" mpaka "ajira ajira ajira"

    Ajenda kuu mwaka huu iwe ni suala la ajira watanzania tujiulize nani ana sera nzuri za kuwapa watoto wa wenye Nchi ajira ili nao wafike mahali pazuri kama ambavyo na wenyewe walipata ajira wakafikia hizo nafasi kubwa kubwa. Tuache Kwanza habari za nyongeza ya mshahara kwa watumishi tujue...
  15. Kinoamiguu

    Amon Mpenja, sio dhambi kwa asasi za kiraia kutoa elimu kwa mpiga kura wa Tanzania

    Kumekucha mapambano yanaendelea . mapambano kati ya wapenda haki na usawa na wasiopenda haki. Nimekusikia bwana Amoni Mpenja, Naibu katibu mkuu wizara ya sharia kupitia ITV ukisema ni marufuku kwa asasi za kiraia na NGO kutoa elimu kwa mpigakura wa Tanzania. Tena ukasema utazifuta milele na...
  16. minyoo

    Waziri wa Elimu zimulike school buses, Watoto wako hatarini kupata maambukizi

    Baada ya mashule kufungwa kupisha corona ipite zile Gari za kubeba wanafunzi maarufu kama school nyingi zilipaki majumbani, lakini baada ya mashule kufunguliwa wamiliki wa mashule wameamua kutumia mabasi machache kubana matumizi matokeo yake ni watoto kubanana sana mpaka wengine kukaa chini...
  17. Ivan Breaker

    Course gani nzuri katika Utumishi wa Umma upande wa ajira?

    ...
  18. Kategele

    Bora kutumia akili ya kuzaliwa nayo kuliko Elimu ya makaratasi

    Ni miaka imepita tangu nihitimu hii elimu ya makaratasi nimegundua kumbe ilikuwa mahususi kwa kuajiriwa na kunifanya niwe mtumwa wa kazi za wengine. Serikali Mungu anawaona mumeandaa mtaala wa kutumia muda mwingi shuleni, jamii nayo ikaaminishwa kuwa kusoma na kupata vyeti ndiyo kufanikiwa...
  19. Kinoamiguu

    Kwako bwana Amon Mpenja: Sio Kosa kwa asasi zinazotoa misaada ya kisheria kutoa elimu kwa wapiga

    Ndugu wanajanvi, Nimemsikia naibu katibu mkuu wizara ya sharia na mambo ya katiba bwana Amon Mpenja akiyaasa mashirika ya kiraiya yanayotoa misaada ya kisheria yaache kutoa elimu kwa wapiga kura sijui kosa liko wapi. Haya yanakuja huku serikali ikiwa imeyabana na kuyanyima fursa ya kufanya...
  20. polokwane

    Wizara ya Elimu liwekeni sawa hili la watoto kutoka shule saa 11:30 jioni

    Watoto wanaumia sana na hii ratiba hasa kwa mazingira ya shule zetu watoto wanafika majumbani saa mbili hadi saa tatu usiku ukiwauliza wanadai foleni mara daladala zinasumbua Hebu Serikali mlione hili hata kama ndio kusoma hapana
Back
Top Bottom