duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

    Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote. Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa...
  2. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika

    Magonjwa yanayoongoza kwa unyanyapaa duniani na hasa Afrika Mashariki ni pamoja na: 1. VVU/UKIMWI Bado ndilo gonjwa linaloongoza kwa unyanyapaa. Watu wenye VVU mara nyingi wanatengwa, kupoteza kazi, au kukataliwa na familia/jamii kutokana na dhana potofu kuhusu njia za maambukizi. 2. Ukoma...
  3. Equation x

    JamiiForums Tanzania Duniani hakuna rafiki, bali uko peke yako

    Wengi huwa wanajidanganya, kwa kusema fulani ni rafiki yangu wa katika shida na raha. Na wengine mpaka wanaitana shoga yangu n.k Ila ukweli ni huu; wote ni wasaka fursa, ila kwa sasa mnapeana tu kampani za kupunguza machungu ya kuungua na jua la utosi. Unafikiri huyo unayemuita rafiki yako wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa filosofia ya "ikibidi ua ili uokoe" inatumika vibaya kila kona duniani, pamoja na hapa Tanzania

    Kuna filosofia kayika mahusiano ya wanadamu inayosema "ikibidi ua ili uokoe". Hii ni filosofia ambayo katika mazingira fulani inaonekana ni muhimu ili kulinda haki za mwanadamu, lakini pia inatumika sana na watu katika matakwa yao binafsi. Filosofia ya "ikibidi ua ili uokoe" inatumika mara...
  5. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yatwaa Tuzo ya ITU kwa Ubunifu wa AI inayokabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa, baada ya kutunukiwa cheti “AI for Good Innovate for Impact Winner” na Taasisi ya International Telecommunication Union (ITU) kupitia mpango wa AI for Good, kufuatia ubunifu wake unaotumia Akili...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

    Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio. Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
  7. Mr George Francis

    JamiiForums Tanzania Hakuna atakayeondoka hapa duniani akiwa hai

    Kila nafsi iliyoonja uhai lazima itafikwa na umauti. Sisi sote tutakufa. Hakuna mtu atakayeondoka hapa duniani akiwa hai. Hii ni lazima na sio hitari. Sio mtoto sio mkubwa. Sio Kijana sio mzee. Sio mwanaume sio mwanamke. Sio mfalme wala mtumwa. Sio tajiri wala maskini. Sio mwerevu sio mjinga...
  8. Forrest Gump

    JamiiForums Tanzania Wanaita T3 [titi, tumbo, t*ko] yani mdada yoyote akishakuwa na combination hii ilionyooka basi maisha yake ya hapa duniani anachukuliwa kama malkia

    Wadada wote JF wenye T3 sema oyeee❤️ Yani unakuta mrembo hayo maaanabeli yake hapo kifuani yapo round, manene ya wastani alafu yana point mbele, tumbo ndio hilo lipo flat, side stomach yake haina nyama bali imetoa njia kuruhusu hips zitoe shangwe alafu unakuta makebo ndio usiseme, yapo curvy...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 34 hadi 45 ili tumalizie pamoja maisha yetu yaliyobaki hapa duniani

    Mimi ni mwanamke mwenye miaka 34 sina mtoto na sijawahi kuolewa Naishi Dodoma, nimeajiriwa Elimu yangu ni ngazi ya shahada Dini yangu ni Mkristo Mwili wangu ni kawaida Afya yangu ni njema Mume wangu awe na umri kuanzia 34 hadi 45,asiwe mume wa mtu nahitaji wa kwangu Dini yake awe mkristo Mwili...
  10. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya dhambi gani duniani hata ukajutia?

    Maisha ya mwanadamu yamejaa maamuzi mbalimbali. Wakati mwingine tunafanya mambo kwa sababu ya hasira, tamaa, ujinga, ushawishi wa marafiki, au kutokufikiria madhara yake ya baadaye. Baadhi ya matendo hayo yanaweza kutufanya tufurahie kwa muda mfupi, lakini baadaye yakatuacha na majuto moyoni...
  11. Fbn

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa zaidi ya LNG yaweka rekodi mpya duniani

    Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi. Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...
  12. Superbug

    JamiiForums Tanzania Polepole ameingia kwenye orodha ya watu wasio na kaburi lake duniani.

    Wana ccm hivi mnajua POLEPOLE mwana ccm mwenzenu Hana kaburi lake? Mwenzake magufuli yeye analo Sasa mkitaka kuhiji mtaenda wapi?
  13. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata haja ya binadamu kuja duniani...

    Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote haya hayajabadilisha ukweli wa msingi,,,, binadamu hakuja duniani kufaidika kwa namna ya kudumu. Kwa...
  14. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Tupumzishane wajameni hakuna aliyerudi duniani mara ya pili, motiveshono spikas wamekuwa wengi kuliko spika zenyewe.

    Katika dunia ya leo, tunashuhudia wimbi kubwa la watu wanaojiita wasemaji wa maisha ya binadamu wenzao. Wengi wao wamekuwa wakitoa maneno mazuri ya kutia moyo, lakini mara nyingi maneno hayo yanakosa mizizi ya uhalisia. Ni rahisi kusimama mbele ya watu na kusema “fanya hivi, acha vile”, lakini...
  15. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kwanini binadamu atoze wenzake kodi kwenye ardhi ambayo wameikuta wote hapa duniani wakati hao watu hawaiitumii kwenye biashara ni makazi tu?

    Ardhi ni urithi wa dunia, mali ya asili ambayo haikuundwa na binadamu yeyote ila imekuwepo kwa vizazi vyote. Sasa ni kwa nini mtu anapaswa kulipa kodi kwa kipande cha ardhi ambacho hakitumii kwa biashara bali ni makazi yake binafsi na familia? Kodi ya jengo inaeleweka kwa sababu inahusisha na...
  16. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Kama usaliti usingekuwepo duniani basi maji yasingetumika kumpika samaki

    Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwa nini marubani wote duniani wanapenda Ipad katika matumizi ya ndege.

    Nimegundua ili hata ambaye na somesha wanatakiwa kuwa na ipad kwenye mambo ya urubani. Mbona hawajaweka tablet ya techno wala Samsung. Kashafika level ya kurusha ndege. Wajuzi mtueleweshe maana kila nikipitia youtube ya mambo ya ndege na marubani wote.Kama ambao content creator anaitwa sam...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  19. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Je! Unahisi umeshatimiza Malengo yako ya kua hapa duniani au bado?

    Lengo langu limetimia kwa 99.99%. Je! Wewe?
  20. kamdinyo

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nyimbo ninazozipenda kuliko zote katika maisha yangu ya kufuatilia mziki mzuri duniani kote.

    1) one in a milion- Aaliyah 2) tease me- chaka demus and plies 3)send it on - D' Angelo 4) hallo-Beyonce 5)shawty- plies 6)Lollipop- lil' wayne 7) yako wapi mapenzi- rubby 8) masogange- belle 9 9) fu-gee-la- fugees 10) let me hold you- bow wow ft omarion 11) if you realy wanna know- mac dosley...
Back
Top Bottom