duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Elimu tata duniani zilizopigwa marufuku kufundishwa vyuoni

    Hapa kuna orodha ya baadhi ya elimu/mada tata ambazo zimepigwa marufuku au kuzuiwa sana kufundishwa vyuoni katika nchi mbalimbali duniani (hadi mwaka 2026): - Afghanistan (chini ya Taliban) - Masomo yote yanayohusu haki za wanawake - Gender studies / Jinsia na masuala ya kijinsia -...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Jumapili toka kwa Godbless Lema: Kwanini tuko duniani

    Usipokuwa makini katika maisha na kutafakari kwa kina, unaweza kujikuta unaishi bila kusudi. Ukizaliwa, unaishi kwa ajili ya kula, kunywa, mapenzi, kuzaa, kuzeeka na hatimaye kufa. Kukosa purpose ya maisha ni tatizo kubwa sana, na ndilo chimbuko la ujinga na upumbavu kutawala duniani. Bila...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Madaktari waongoza kwa kuaminika zaidi duniani, Wanasiasa washika mkia

    Utafiti mpya wa kimataifa uliofanywa na Ipsos Global Trustworthiness Index 2024 unaonesha kuwa madaktari ndio taaluma inayoaminika zaidi na watu duniani kote. Zaidi ya asilimia 58 ya washiriki walisema wanawaamini Madaktari, ikifuatiwa na Wanasayansi (56%) na Walimu (54%). Utafiti huo...
  4. X

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawajui kinachoendelea nchini na duniani

    Kuna mabinti, wanawake na madem wengi wanachosha kuzungumza nao. Hawana uelewa wa kinachoendelea nchini, duniani, kwenye tech, siasa, uchumi na biashara wala mada pana. Mazungumzo yao ni kuhusu drama za celebrities kama kina Diamond na Zuchu. Kutwa kufuatilia watoto wa Paula na Marioo. Halafu...
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania MOI yaendelea kuwa kinara wa tiba ya mifupa Duniani

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kung’ara katika utoaji wa huduma za matibabu ya mifupa katika ukanda wa nchi zinazoendelea na zinazopokea ufadhili wa vifaa tiba vya upasuaji wa mivunjiko ya mifupa kutoka shirika lisilo la kiserikali la nchini Marekani, Surgical...
  6. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo: Vurugu za Oktoba 2025 zimebadili taswira ya Tanzania duniani

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema mwaka 2025, Tanzania ilikabiliwa na vurugu wakati wa uchaguzi ambazo hazijawahi kutokea tangu nchi ilipopata uhuru mwaka 1961. Soma pia: Waziri Kombo: Tumestahimili mtihani mzito wa Oktoba 29, Dunia...
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha kwa muda usojulikana utoaji wa viza kwa nchi 75 Duniani ikiwamo Tanzania rasmi kuanzia tarehe 21 January

    Kitengo cha serikali ya Marekani maarufu kama "State Department" kimetangaza kusitishwa kwa utoaji wa viza za kuingia nchini Marekani kwa nchi zipatazo 75 nyingi zikiwa ni kutoka barani Afrika Tanzania ikiwemo. Sababu ilotolewa na kitengo hicho imesema raia kutoka katika nchi hizo wafikapo...
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani

    13 jan 2026 Tabia 10 Muhimu za Mafanikio ambazo utazikuta kwa kila tajiri kokote duniani 1.Lala mapema 2.Amka mapema msimulizi 3.Soma kitabu atleast 20dk/siku 4.Fanya mazoezi kila siku 5.Tengeneza ratiba na uifate na usiivunje ratiba yako kirahisi 6.usikate tamaa 7.weka malengo na na...
  9. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Siri ya Waislamu kuwa na Amani kuliko watu wengine hapa duniani

    My people, Kwa Nini Waislamu Huishi Kwa Amani: Imani ya Kuamini Mtoa Riziki ni Allah na Kadari Iliyokwisha Andikwa Moja ya nguzo kuu zinazowatofautisha Waislamu katika mtazamo wa maisha ni amani ya ndani wanayoilea mioyoni mwao. Amani hii haiji kwa bahati, wala haitokani na wingi wa mali au...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tatizo la magonjwa ya akili duniani limekuwa kubwa sana. Dalili moja ya ugonjwa wa akili ni kutaka kusikia shari kila muda.

    Mtu mwenye matatizo ya akili akisikia mahali kuna ajari anapata furaha moyoni. Akisikia wamekufa wachache au hakuna maiti kwenye ajari hiyo basi moyo wake hupoteza furaha. Akisikia Iran kuna vita anapata raha sana. Mostly ya watu ambao wanajifanya kuchukizwa na mauaji ya October 29 -31 moyoni...
  11. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Magaidi Duniani wanavyotumia Historia ya Ukhalifa katika Missions zao

    Magaidi wanavyotumia historia ya Ukhalifa Magaidi kama ISIS, Al-Qaeda, Boko Haram wanadai: “Tunarejesha Ukhalifa ulioporomoshwa” Historia ya 1258 na 1924 inatumika kama: Motisha ya kihistoria: wanasema “Dola ya Kiislamu imeanguka, dunia inahitaji Waislamu wa kweli kurudisha heshima” Kifaa...
  12. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Kim Jong Nam 2017 kwa sumu hatari zaidi duniani Nerve agent vx

    Kifo cha Kim Jong-nam mwaka 2017 Kim Jong-nam, ambaye alikuwa kaka wa kambo (nusu kaka) mkubwa wa kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un, aliuawa tarehe 13 Februari 2017 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kuala Lumpur, Malaysia. Alikuwa akiishi uhamishoni tangu mwaka 2003 baada ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nchi 10 zenye madeni makubwa zaidi duniani

    Madeni ya umma barani Afrika yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa nchi nyingi, huku viongozi wa bara wakitafuta suluhu endelevu ya mgogoro huu unaokua kwa kasi. Mwezi Mei 2024, Umoja wa Afrika uliandaa mkutano wake wa kwanza kuhusu madeni ya umma mjini Lomé, Togo, ambapo ilibainika kuwa zaidi...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hili la ‘Wakatoliki feki’ linaliabisha Taifa. Unafikiri mabalozi na nchi Duniani zinatuona tuna akili timamu kweli?

    Hili suala lililotokea leo linaliabisha taifa unafikiri mabalozi na nchi duniani zinatuona tuna akili timamu kweli ? Hawa wapumbavu walioandamana leo niwaambie kile mtu anajua kuwa ni maigizo balozi zi ajua, watanzania wanajua, mashirika ya haki za binadamu yanajua kama tuna watu wa haina hii...
  15. Chibike

    JamiiForums Tanzania SIJAWAHI kuona timu MBOVU afrika na duniani kama morocco

    Hongereni sana majemadari wetu na makomandoo wetu wachezaji wa taifa stars kwa kuionesha Dunia jinsi Gani morocco ni timu MBOVU kupita maelezo. Nina hakika asilimia mia refa kiazi mbatata wa mali amepewa rushwa na kwa mpira huo mbovu wa kubebwa basi nitamke wazi kua Senegal wanabeba kombe hili...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Venezuela na Duniani baada ya Kunyakuliwa Nicolas Maduro. Russia, China na USA

    Venezuela ilikuwa ikitizamwa kwa macho ya matamanio na mataifa haya makubwa ya RUSSIA, CHINA na USA. Kwa muda mrefu. USA amewahi kuinyakua makusudi akijua kama angechelewa wenzake wangefaidika nayo.
  17. X

    JamiiForums Tanzania Jinsi Marekani ilivyosaidia kuondoa utawala wa marais kadhaa duniani na mafanikio iliyoleta katika nchi hizo

  18. R

    JamiiForums Tanzania Nadhani mtu mwenye furaha kuliko wote duniani kwa leo ni María Corina Machado- mpinzani wa Madulo

    Huyu binti alipitia kipindi kigumu kama cha Lisu na Chadema kwa ujumla. Alipitia vipindi vigumu kama vya Lisu.
  19. M

    JamiiForums Tanzania John Locke: Serikali yoyote duniani inayokiuka haki za binadamu lazima ipinduliwe

    Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza . Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k Huu ndio msingi...
  20. Life2

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki limesema ukweli kwenye tawala katili na dhalimu mnoo Duniani

    Kanisa katoliki limeundwa kwenye misingi ya Haki, Utii, ukweli na kutetea uhai wa binadamu, wanyama na mazingira. Kutokana na misimamo yake Kanisa katoliki limejikuta likiwa na maadui wengi waovu nje na ndani ya kanisa. Hapa ndo tunaweza kutumia ile kauli waliomtesa na kumuua Bwana Yesu...
Back
Top Bottom