Kitila: Duniani kote haki inapiganiwa, inahitaji ujasiri

Kitila: Duniani kote haki inapiganiwa, inahitaji ujasiri

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,114
Reaction score
3,480
Akifanya mahojiano na The Chanzo Aprili 16, 2026, Waziri wa nchi ofisi ya Rais- Mipango na uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo

"Tunao wajibu wa kuendelea kuelimisha watu wetu kwamba hii ni nchi yao, wapo katika nchi huru na ni haki yao kutoa maoni. Lakini duniani kote, haki huwa inapiganiwa. Kwa hiyo swala la haki linahitaji ujasiri. Hakuna nchi yoyote duniani ambayo haipiganii haki, hata Marekani wanapigania haki, Uingereza wanapigania haki. Yaani mataifa hata yale ambayo ni makongwe katika demokrasia, haijawahi kutokea nchi ikasema 'sisi katika nchi yetu sasa haki tunazo hatupiganii tena'. Lazima kuwe na ujasiri"

 
Back
Top Bottom