duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Leo hii ukiwa haupo duniani, unahisi ni nani atateseka kwa kutokuwepo kwako?

    Ni watoto wako Ndugu zako wazazi wako Mme wako Mke wako Wafanyakazi wenzako Mabosi wako Wanasiasa wenzako Wafanyabiashara wenzako Marafiki zako Viongozi wa dini yako Wana jf wenzako Walevi wenzako Wanafunzi wenzako, au nani? Nipo hapa stendi ya mabasi, napata kahawa chungu na wakulungwa huku...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ado, Mpina, Wakili Maduhu Wakishiriki Maadhimisho ya ACT ya Siku ya Vijana Duniani, leo 12/08/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8 Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja au taasisi gani duniani? Wizi wa kura au mauaji hayakutokea 2001? Why today

    Hili ni swali la kutafakari very objectively. 1. Serikali yetu ya Tanzania inatambuliwa na umoja gani hasa? Umoja wa Ulaya, Marekani, Umoja wa Afrika, SADC, Jumuiya ya Madola na taasisi nyingine za kimataifa zimekuwa na misimamo au hoja mbalimbali kuhusu uchaguzi na matukio ya kisiasa nchini...
  4. feyzal

    JamiiForums Tanzania Waongo nguli Duniani

    Salaam,hii ni orodha ya waongo nguli duniani. 1.Mo dewji 2.Viongozi wote wa Simba 3.Wanasiasa 4.Wasichana waliozaliwa kuanzia 2005 5.Madalali. Nawasilisha
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Utafiti: Dini ya Kikristo yapungua Duniani, Uislamu wafikia 26%

    Wale wenye dini zenu za Wazungu na Waarabu nawaletea utafiti Kwa mujibu wa ripoti ya BBC. Uislamu wakua kwa kasi duniani huku Ukristo ukipungua - Utafiti mpya === Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Platypus mnyama wa ajabu zaidi, duniani. Anataga, ananyonyesha na anaishi majini

    Platypus ni mnyama wa kipekee sana anayepatikana porini mashariki mwa Australia na kisiwa cha Tasmania. Platypus Ni mmoja wa mamalia wachache duniani wanaotaga mayai badala ya kuzaa watoto hai. Platypus ni wa kundi la mamalia linaloitwa monotremes, ambalo pia linajumuisha Short-beaked Echidna...
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  8. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi inayochukulia poa raia wake zaidi duniani

    Utaijua tu Pombe kali za bei rahisi, kichupa kizima 2,200 nusu 1,100, zipo za 2,000 mpaka nusu 1,000 Bima raia wake wamekata bima za kupata tiba mahospitalini lakini ikitokea wamezidiwa na kwenda hospital husika wanaambiwa bima haifanyi kazi wanabidi walipie Cash ndio wapate huduma Police...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unamuelewaje tajiri anayesisitiza watu wajali mambo ya mbinguni kuliko duniani?

    Tajiri au Bilionea kabisa anaposisitiza watu wajali zaidi maisha ya mbinguni ambayo ni ya kufikirika zaidi yasiyo na uthibitisho kuliko maisha ya sasa ya duniani ambayo ni halisi anakuwa anamaanisha nini?
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Sehemu Yoyote Ile Duniani Ambako Dola Inachezewa Na Kuyumbishwa na Mtu Akachekewa tu. Ni Lazima Upitishwe Kwenye Tanuri la Moto Hadi Uive Akili

    Ndugu zangu Watanzania, Nenda Sehemu yoyote ile Ya Dunia hii,Nenda kila pembe ya Dunia, nenda Ulaya ,nenda Marekani,nenda Afrika ,nenda kwenye Tawala za kifalme au Kichifu Hakuna ambako utakuta Dola ikichezewa na mtu Akachekewa tu na kuachwa aendelee kuyumbisha Dola na Usalama wa Taifa. Hata...
  11. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Kama duniani ni sehemu ovu,mbaya na haifai si mjiondoe mnafanya nini sasa

    Kuna dini za ajabu na za hovyo sana. Kila siku kutisha watu kuwa duniani hapa ni sehemu mbaya ovu,haifai,ni makao ya shetani. Na kuwa wameandaliwa makao eti peponi sijui firdaus. Ila wapo hapa duniani kila siku kutumalizia hewa na kuongeza joto la dunia si muondoke mtuachie dunia yetu...
  12. Matunzo 02

    JamiiForums Tanzania Ukihitaji kitu hapa duniani, unahitaji kuwa na pesa. Ukihitaji kitu chochote kutoka kwa M-ngu, unahitaji IMANI.

    Ghala la mbinguni limefurika hazina, utajiri wa kila aina na wew utaamua kiasi gani cha hazina kitakuwa chako kwa imani yako mwenyewe. Ikiwa una imani ya wokovu utaokolewa. Ikiwa una imani ya uponyaji utaponywa. Ikiwa unaimani ya ndoa bora, ndoa yako itakuwa bora, Ikiwa unaimani ya ufanisi...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wa Hali ya Hewa Waonya kwamba EL-Nino Itakayotokea Mwaka Huu Itakuwa Mbaya kuliko Zote Zilizowahi Tokea hapa Duniani

    Pamoja na kwamba mamlaka zetu zilitoa taarifa ya kiashiria Cha El Nino mapema mwezi julai lakini taarifa zinazotoka kwenye vyombo vya habari Duniani zinaonesha hatari kubwa zaidi. Kikawaida EL Nino huja na sura mbili ,mvua kubwa na ukame wa kupindukia, bikiambatana na joto Kali sana au baridi...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee inayokimbiza mwenge kila mwaka duniani. Ndio maana kamwe haitofanikiwa licha ya utajiri wa rasilimali iliyonao

    Maendeleo ni matokeo ya kazi, bidii, maarifa na juhudi. Falsafa ya mwenge wa uhuru ni mazingaombwe na miujiza, eti mwenge unaleta amani. Mbaya zaidi miaka michache mbeleni ikaibuka vita vya Kagera, haukupelekwa mwenge kwenye uwanja wa mapambano, walipelekwa askari wetu, na wakafa kwa wingi huko...
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Hivi duniani kuna starehe kama hii?

    Upo zako mahali, unakunywa pombe Kali na vichanganyo vya baridi, wakati huo nnje huko Kuna jua Kali sana linawaka 🔥🔥 Wakati unakula vimiminika wanapita walimbwende wewe kazi Yako ni kuwapiga makofi ya 🍑 Oyaaa ndio maana CCM wanakuwa wabishi kutoka mana kama Mimi naenjoy hivi hao wakina sigwa...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Shirika la WAICO kuleta mapinduzi makubwa kwenye utawala wa AI duniani

    Julai 16 mwaka 2026, ni siku adhimu ambayo imeingia kwenye vitabu vya historia, baada ya China kuandaa hafla ya kusaini mkataba wa kuanzishwa kwa Shirika la Ushirikiano wa Akili Bandia Duniani (WAICO) huko mjini Shanghai. Nchi 29 zikiongozwa na China walisaini makubaliano hayo kama wanachama...
  17. X

    JamiiForums Tanzania Kool & The Gang — Cherish. Mpaka leo sijaona wimbo duniani ambao ni timeless classic kuuzidi

    Hili kundi lina hit na classic songs kama celebration, cherish na fresh Lakini ukiusikiliza wimbo wa Cherish utakubaliana nami ni aina ya wimbo ambao unaweza kusikilizwa na mtu wa miaka ya 80, mzazi wa leo, au kijana wa sasa na bado ukahisi uzuri wake Ilikuwa mwaka 1985 Kool & The Gang...
  18. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

    Orodha hii sio rasmi, ni utafiti wangu binafsi. Unapingika, unajadilika na unarekebishika. 10.Mohamad. Huyu ni muasisi wa dini ya kiislamu. Alikua mwanamapinduzi, askari na mwanasiasa. Kulingana na imani ya waislamu ndie mjumbe wa mwisho wa Mungu. Jina lake ni maarufu sana duniani. Changamoto...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Kama moto uligunduliwa na mwanadamu duniani je huko jehanamu/mbinguni ulifikaje?

    Habarini, Tujitafakari,kama moto uligunduliwa hapa duniani na mtu je huko mbinguni nani aliupeleka?
  20. M

    JamiiForums Tanzania Duniani Kote katiba huletwa na Umma au Jeshi. Ngoja tuone Tanzania

    Kama umemsikiliza Dr Nchimbi vizuri utagundua kuwa ana frustration ya muda wa kuipata katiba mpya! Alitarajia itapatikana 2028 ili itumike uchaguzi wa 2029 na 2030. Sasa ni July 2026 haoni dalili yoyote. Aidha Dr Nchimbi amekiri kuwa katiba iliyopo inampa Rais madaraka makubwa na nafasi kubwa...
Back
Top Bottom