Kama taifa tunapitia matukio magumu. Hayajawahi tokea huko nyuma. Kabla ya Okt29 hakuna aliyeamini kama yangeweza tokea machafuko ya vile, mimi ni mmoja wapo. Kuna wadau nakumbuka niliwakatalia kabisa kwamba baada ya uchaguzi hata kama kutatokea uonevu basi wananchi tutanywea. Kilichotokea baada...
Achana na mkeo
2. Nenda ulaya urudi
3. Soma sana
4. Usisome kabisa
5. Jua kuandika
6. Uwe mwongeaji
7. Ujue hotuba za nyerere
8. Hamia mkoa nilioko kwa sasa
9. Usijue soko liko umbali gani
10. Safiri mikoa mingi
11. Ishi hotelini muda mrefu
12. Ishi lodge muda mrefu
13. Pata fedha usisafiri...
Kuna watu wachache sana duniani ambao pesa sio kipaumbele chao cha kwanza maishani. Yaani wanaweza fanya kitu bila kuzingatia maslahi yoyote ya kifedha. Mwalimu Jambau wa shule ya msingi Lighwa huko Singida ni miongoni mwao. Hauwezi kuzungumzia mafanikio ya wanariadha wakubwa toka mkoani Singida...
Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika
2026 | Makala ya Uchunguzi
Uchunguzi Maalum
NA ITS MALEKOGJ.
malekoj27@gmail.com
0798888486
Ford Foundation:
Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa
Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025
Nchi Zilizohusika...
Baada ya BBC kutembelea viwanda vya magari ya umeme Beijing na Hefei kisha ikatembelea Beijing Auto Show 2026, maonyesho makubwa zaidi ya magari duniani:
"China imepiga hatua kubwa ya kiteknolojia, ubunifu, ufanisi na kasi ya maendeleo inayovutia na kutisha kwa wakati mmoja. Kiasi kwamba hata...
Tanzania imeendelea kujiweka katika ramani ya dunia baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zilizokuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa uchumi duniani katika kipindi cha robo karne iliyopita.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Tanzania imeorodheshwa pamoja na mataifa kama China, India, Vietnam, Ethiopia...
Kumekuwa na dhana potofu zinazoenezwa na Wafuga Midevu na Majini wakiongozwa na Mzee wa UHARO Ritz na mjinga mwenzako zitto junior wakidai kuwa Israel ni wachokozi na wanavamia nchi zingine.
Nami nimeamua leo kuwapa ukweli kuwa Israel haijawahi kuichokoza/kuishambulia nchi yoyote duniani...
Ukifa hutatamani tena kuishi duniani.
Hutatamani kuishi tena duniani kwa sababu utakuwa hujui chochote kinachoebdelea.
Hali inakuwa sawa na vile ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa.
Ni hayo tu!
Soko la Maua la Dounan, lililoko Wilaya ya Chenggong, mji wa Kunming, Mkoa wa Yunnan, ni soko kubwa zaidi la biashara ya maua barani Asia. Soko hili lenye shughuli nyingi huvutia wageni kutoka nchi mbalimbali kutokana na aina zake nyingi na za kustaajabisha za maua. Wakati huohuo soko hili...
Meli za kivita zimewasili hapo carribean, zikijiandaa kumuondoa castro na utawala wake wa unyama.
Iran bado anapikwa, magaidi naijeria wanaoua wakristo wanaungua, etc.
Ahsante Trump
Inasikitisha.....Naona CCM inakwenda kwenye mkondo wa Sharpeville Masacre and here we are!
Tume ya jana itakuja na mapendekezo ya kuifuta
Sikiliza clip
85% ya wakimbizi duniani ni waislamu ila hawakaribishwi na hawakimbilii ktk nchi 50 za kiislamu bali huenda katika mataifa wanayayo yaita ya makafir
Dini ni illusion.
Tuliundwa ili kutegemeana, ila hio dini inayokupasa kukufikisha kwa Mungu ndio hio tena inakutenganisha na wengine hapa duniani...
The top 5 largest banks world largest banks by assets:
1. Industrial and Commercial Bank of China (ICBC) | China
Assets: $7.30 trillion
2. Agricultural Bank of China | China
Assets: $6.80 trillion
3. China Construction Bank | China
Assets: $6.20trillion
4. Bank of China | China...
Wqkuu salama?
Ni imani yangu tuko vizuri kwa namna yake. Wale wanaokutana na magumu kama ilivyo utofaut kat yetu, niwatie moyo! Nawaombea mpate salama, afua na siha iliyo njema mbeleni.
Taifa linapitia mambo mengi sana yanayozua sitofahamu. Mfululizo wa maswali kulingana na matukio kadhaa...
HIZI NI SHERIA ZA NDOA ZA WATIBELI ZINAZOTUFANYA TUISHI DUNIANI KAMA TUPO PEPONI. MKITAKA MNAWEZA KUZIKOPA ZITAKAZOWAFAA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Nimeona serikali ikitaka wadau na wananchi kutoa maoni ya Sheria za ndoa.
Nikasema, Mimi kama Mtibeli nitoe muhtasari wa Sheria za...
Namuona huyu mtu akitajwa sana kwenye maandamano ya kumpinga trump, maandamano ya upinde na maandamano ya free palestine.
Mwenye moja mbili tatu zake anishtue
Jaman za jioni?
Basi nimekumbuka hii story nimejicheka Sana. Katika pitapita zangu za utafutaji kipindi flani nikakutana na mkaka flani mfanyabiashara mkubwa tu.....
Me bwana nikawa busy na utafutaji maana mapenzi nilishayachoka... Basi tukawa kila nikipita kwenye biashara yake tu napiga story...
Anaandika BSAT Properties katika ukurasa wake wa X
Nilikuwa kwenye treni huko Tokyo. Tulisimama katikati ya vituo. Tangazo kwa Kijapani, kisha kwa Kiingereza: “Tunaomba radhi kwa kuchelewa. Tutaendelea safari muda mfupi.”
Kuchelewa kulikuwa kama dakika tatu hivi. Hakukuwa jambo kubwa.
Treni...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mazimgira Duniani yatakayofanyika jijini Dodoma Juni 5 mwaka huu.
Katika hafla hiyo, kutafanyia pia uzinduzi wa Programu ya mageuzi ya kimkakati ya Mazingira endelevu Tanzania (2026 - 2030).
Akizungumza leo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.