KuishiHivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??
Unawawaza hao tenaMaana ilikuwa ni tufurahie TU ya duniani ila ndo hivo CCM haipendi kabisa tuwe na raha
Nyoka ana bahati Hawa hakuwa Mchina, angeliwa yeye badala ya tunda.Mpango ulikuwa tubaki Eden bustanini, 😁 sasa yule mams aliyekula tunda la bure ndio aliharibu kabisa
KUSUDI LA BINADAMU KUWEPO HAPA ULIMWENGUNI NI KUTUMIA NAFASI YAKE KUUTEGEMEZA ULIMWENGU UENDELEE KUISHI. MIMEA HUPUNGUZA CARBON DIOXIDE KATIKA ATMOSPHERE KWA KUIVUTA NDANI NA KUONGEZA OXYGEN KWENYE ATMOSPHERE KUPITIA PHOTOSYNTHESIS. UDONGO KAZI YAKE NI KUTOA MAKAZI, ULINZI NA CHAKULA KWA VIUMBE VILIVYOPO ULIMWENGUNI.Hivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??
Kama ni kuja na kuja kufa Tu mazima Mimi sioni faida yakeHivi lengo la binadamu duniani hasa ni nini??
Kumtukuza kwa lipi?Kumtukuza mungu na kuendeleza kizazi