ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,204
- 58,620
🌍 Mitihani Migumu Zaidi Duniani
1. Gaokao huko china
👉 Kwa nini ni mgumu sana
- Mamilioni ya wanafunzi hushiriki ili kujipatia nafasi ya kujiunga na vyuo bora
- Mtihani mmoja unaweza kuamua maisha yako yote
- Shinikizo kubwa kutoka kwa familia na jamii unaambiwa siku hio inakuwa ni kama siku ya kitaifa hata baadhi ya barabara zinafungwa ili kupunguza kelele
2. IIT_JEE Advanced huko india
Kwa nini ni mgumu
- kwanza competition yake ni kubwa mno
- Maswali magumu sana ya hisabati na fizikia yaani ni mwendo wa ku solve tu hakuna maelezo
3. UPCS civil service examination INDIA
7
👉 Kwa nini ni mgumu
- Tuseme huu mtihani ndo kama yetu hii ya sekratirieti ya ajira kwanza kwao unakuwa na masomo mengi (historia, siasa, uchumi n.k.) na pia idadi ya watu inakuwa kubwa
- Hatua nyingi (mtihani wa maandishi + usaili)
4. Putnam competition Marekani
huu sasa ni kiboko sanaKwa nini ni mgumu
- Maswali ya hesabu ya kiwango cha juu sana
- Hata wanafunzi bora hupata changamoto kufaulu huu mtihani
5. UCMLE marekani
👉 Kwa nini ni mgumu
mambo ya medical
- Inahitaji miaka mingi ya kusoma na ukariri madude haswa