Naona ingekuwa rahisi sana kama Mungu angejiweka katika hali ya kujulikana na kufahamika kwa wazi kwa watu wote waliowahi kuishi duniani bila kipengele.
Suala la kwamba watu baadhi tu ndio hudai kumjua kwa imani katika roho na wengine wakienda mbali zaidi kudai ni manabii na mitume wake...
Hapa Duniani hakuna baraka wala laana mambo yote hayana maana ni wewe ndo unayapa maana.
Jambo unaloliita laana kwa mwingine ni baraka na jambo unaloona kama baraka kwa mwingine ni laana
So , mambo yapo kama hivyo
NIkiangalia Marekani, Ulaya, naona matajiri ni wengi sana ukiringanisha na sehemu zingine za dunia.
Na kama wanatengenezwa na nchi zao, kwa sisi waafrika tujifunze nini?, Na kama wanajitengeneza wao wenyewe, ni nini kifanyike?
Nipo hapa nawaza nikawekeze kwenye uchimbaji wa mafuta Iran.
Djimon Hounsou aliwasili Paris kutoka Benin akiwa na umri wa miaka 13 na kaka yake, hawakuweza kupata kazi wala makazi badala yake kuishia kulala chini ya madaraja na kutafuta chakula kwenye mapipa ya takataka.
Kukutana kwa bahati nasibu na mpiga picha kulisababisha utambulisho wa mbunifu wa...
Na. Jacob Kasiri - Zanzibar
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limeendelea kung’ara katika ulingo wa sekta ya utalii Duniani baada ya kushinda tuzo sita za World Travel Awards (WTA) 2026, ushindi uliotangazwa Agosti 28, 2026 katika hafla maalumu iliyofanyika usiku ndani ya Hotel ya...
siyo kila aliyazaliwa duniani ilikuwa ni mpango wa MUNGU .Hapana.ebu jiulize mtu anakuwa na roho kama ya simba unawezaje kusema ilikuwa ni mpango nwa MUNGU mtu huyo kuzaliwa duniani?kuna watu wanasumbua hapa ulimwenguni mpaka unajiulizwa siku wanaumbwa matumboni kwa mama zao Mungu alikuwa bize...
Eti mtu anaandika allah ndio amemuadhibu nchimbi kutoka madarakani kwa hio sasa huyo allah chama chake ni vegetable ndio maana haoni wengine wa kuadhibu humo?
Umasikini ni mzigo haswa wa ufahamu na utashi.
Talmud ni kitabu cha mafundisho ya kidini cha Wayahudi.
Eti kinasema bwana Adamu aliwapiga nao wanyama wote hapa duniani kabla ya kuletewa bibie Eva.
Dunia ina mambo sana. Ila hii inafanya nisishangae ukatili wa Wayahudi, akina Netanyahu.
Oyaaaa, Echolima1 Myahudi wa Chanika, hii habari ya...
Habari za wakati huu wana-JamiiForums (JF Entertainment Forums),
Leo naomba tuangazie kidogo historia ya muziki wa Afrika kupitia maisha ya gwiji mmoja na wimbo ulioweka alama isiyofutika duniani kote. Huu ni wimbo wa "Yé Ké Yé Ké" wa mwanamuziki mashuhuri kutoka Guinea, Mory Kanté, uliotolewa...
Katika maisha nimekuja kugundua we know exactly who we are, we just try not to act soo
Mimi de Gunner nimekuwa nikiwaambia watu since nikiwa mdogo kabisa ya kuwa am gonna be known worldwide like mtu maarufu na aliecha a big impact but these mediocres Wanaishia kuongea faul words juu yangu...
Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.
Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja
Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia.
Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale...
🔮 1. Merlin — mchawi maarufu wa Ulaya
Merlin ni mmoja wa wachawi maarufu zaidi katika fasihi ya Ulaya, hasa katika hadithi za King Arthur.
Anasimuliwa kuwa:
Alikuwa mshauri wa King Arthur.
Alikuwa na uwezo wa kuona mambo yajayo.
Alitumia uchawi na maarifa ya ajabu kumsaidia Arthur.
Hadithi...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
Huu ndio moja ya uvumbuzi wa hovyo na hatari kuwahi kufanywa duniani nayo ni AI Kiswahili wanaita sijui akili mnemba sijui unde sijui.
Ila AI ni moja ya vumbuzi mbaya na hatari kuwahi kufikiri na kufanywa.
AI ni kitu cha hatari kuliko hata bomu la kinyuklia ubaya unaoendelea sasa ni ushindani...
MOJA YA UONGO WATU WANAODANGANYWA NI KWAMBA WALIOPO KWENYE NDOA WANATESEKA JAMBO AMBALO SIO KWELI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Hii Dunia inamifumo ambayo haitaki umiliki na uwe na maisha mazuri. Kwa namna hiyo zipo propaganda nyingi zinazopotosha jamii kwa lengo la kuwafanya watu...
Dunia tunayoiishi kwa muundo wa 3d ni umetengenezwa na kiumbe kilichopo level ya 10d yaani 10th dimension.
Kila kitu kinachoeendelea kimepangwa, kuanzia mwezi, nyota na sayari nyingine.
Mtu ukifa basi unaingia katika 4th dimension moja kwa moja.
10th dimension ni uhalisia wa uwepo wa Mungu .
https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8
Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.