duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video bora kuliko zote duniani inayoupamba mwaka mpya wa 2024

  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio nchi ambazo Watu wake hawana Furaha duniani, Tanzania ipo

    122. Togo 123. Jordan 124. Ethiopia 125. Liberia 126. India 127. Madagascar 128. Zambia 129. Tanzania 130. Comoros 131. Malawi 132. Botswana 133. DR Congo 134. Zimbabwe 135. Sierra Leone 136. Lebanon 137. Afghanistan
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

    Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 886 za kimarekani, na kuongezeka kwa karibu dola bilioni 30 ikilinganishwa na mwaka jana, na kuvunja rekodi ya historia tena. Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake...
  4. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliingilia ajenda ya kupunguza watu duniani

    IJUWE AJENDA YA KUPUNGUZA IDADI YA WATU DUNIANI HADI IFIKAPO 2030 NA CHAPA YA 666 JPM alivyohamasisha watu kutotumia UZAZI WA MPANGO, KUTOTUMIA CHANJO, KUHAMASISHA WATU WAZALIANE, ALIKUWA ANAENDA KINYUME NA AJENDA ZA FREEMASON. AJENDA IJULIKANAYO KAMA, (21--2030), YA FREEMASONS KUTOKA MWAKA...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Idadi ya watu Duniani kufika bilion 8+ mwaka 2024 huku wanaume tukitarajiwa kuongoza

    Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufika Bilioni 8, kunako January 1 huku sisi Me tukitarajiwa kuongoza kwa asilimia chache. Ongezeko la watu duniani linachangiwa na vitu vifuatavyo; ✓ Kuboreka kwa huduma za kibinadamu hasa teknolojia ya matibabu ✓ Upatikanaji wa vyakula Ongeza zakwako.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni taifa moja tu duniani limekuwa na watu wajinga kiasi cha kukubali kutawaliwa na mtawala kutoka nchi nyingine

    Duniani kuna taifa moja tu ambalo pasi na kushikiwa bunduki au mabomu wananchi wake pamoja na viongozi wake wameweka Sheria ya kukubali raia wa taifa jirani kuwa na haki ya kuwatawala. So far hilo taifa jirani halijaweka sheria ya kumruhusu raia wa taifa lolote kushika dhadhifa za kiuongozi...
  7. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Sayansi ya anga ndio sayansi ngumu zaidi duniani ?

    Wataalam, Hivi hapa duniani kuna somo linafikia kwa ugumu au kupita kabisa sayansi ya anga ? Maana hii fani mimi binafsi naona ngumu hatari na gharama sana.
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dini ya Kwanza Duniani Zoroastrianism na Mazda ambaye ni Mungu Mmoja wa Wote

    https://m.youtube.com/watch?v=CkV0dGk6XxA Zoroastrianism ni dini ya kale ya Kiajemi ambayo inaweza kuwa ilianza mapema kama miaka 4,000 iliyopita. Bila shaka imani ya kwanza ya Mungu mmoja ulimwenguni, ni moja ya dini kongwe ambazo bado zipo. Zoroastrianism ilikuwa dini ya serikali ya nasaba...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wachagga, Wamasai, wameru na wapare wamejitahidi sana kuchanganya damu na makabila mbalimbali Duniani; makabila yote xmass macho kaskazini

    Haya makabila manne ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wanachojinlvunia ni kwamba waliamua zamani kwenda kuishi Duniani na kuzaliana. Leo hii tunaposema Kaskazini ndipo ilipo Christmas's si kwa sababu ya haya makabila pekee bali hata wasukuma ,wabaya, wayao, wajaluo ,wanyakyusa na makabila...
  10. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakristo wote duniani wasiwe watiifu na kuacha kusherehekea krismas kwa kuomboleza Gaza kama wanavyofanya Bethelehem

    Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo. Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Papa Francis, Lissu, machampioni halisi wa haki, usawa na uhuru duniani

    Tufike mahali tuvunje ukimya: 1. Kuzitambua jitihada za kupigiwa mfano za watu wengine ni jambo la kistaarabu. 2. Vita vya kupigania haki, usawa, uhuru, demokrasia na maendeleo ni vita vya kudumu. 3. Nani asiyeyapenda au kuyahitaji matano hayo? 4. Manne ya mwanzo ni ya msingi zaidi...
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
  13. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania TEC jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya huu upotoshaji unaoendelea duniani, na pia nchini mwetu kuhusu kauli ya Papa.

    Chonde chonde Baraza la Maaskofu Katoliki nchini Tanzania (TEC)! Jitokezeni mapema kutoa ufafanuzi juu ya kauli ya Papa ya kuwaruhusu Mapadre wetu kubariki watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja. Hiyo kauli yake pamoja na huo waraka wake alioutoa bila shaka mnafahamu ni kwa namna gani...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na Marais wengine jitahidini Mkistaafu mkumbukwe Vyema na wenye Akili Kubwa duniani kama huyu....

    A new report by World Bank has pointed why late former president Kibaki was Kenya’s best chief executive. Chanzo: The EastAfrican Online Newspaper Na hata tu Chuo Kikuu cha Makerere alichosoma Hayati Kibaki alisifika kwa kuwa Genius na Bingwa ( Mngwena ) wa Somo la Hesabu na Uchumi ila...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Baby Boomers: Kizazi cha watu wabinafsi kuwahi kutokea duniani!

    Katika utafiti wangu usio rasmi, nimegundua hiki kizazi cha hawa Baby Boomers (watu waliozaliwa mwishoni mwa miaka ya 1940 na mwanzoni mwa miaka ya 1960 i.e 1946-1964), ni kizazi cha watu wabinafsi kuwahi kutokea duniani. Wengi wao, katika nchi nyingi ikiwemo Tanzania, walipoingia tu kwenye...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa VISA Duniani unasimamiwa na principle ya Reciprocity; kauli ya Rais wa Kenya imejaa presha ya kisiasa kuwakabili wakosoaji wa sera zake

    Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika. Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Kazi yenye thamani kubwa kuliko zote Duniani

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. Sifa kuu ya KAZI, ni iwe halali, pili iwe na malipo ya kuweza kukusustain maisha Yako, yaeza kuwa umejiajiri au umeajiriwa, KAZI ni KAZI, ilmradi mkono uende kinywani. KAZI pia Si Kwa ajili ya kujipatia kipato pekee, KAZI pia ni Kwa ajili ya AFYA pia, ndo maana...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita afungua kongamano la saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani)

    Waziri Tabia Mwita Afungua Kongamano la Saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani) Serikali ya Zanzibar imesema lugha ya kiswahili ina mchango mkubwa katika kukuza diplomasia ya uchumi hivyo ni wajibu kwa taasisi zinazofundisha lugha hiyo kuongeza kasi ya kuikuza na...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Milima Duniani

    Siku ya Kimataifa ya Milima ambayo huadhimishwa tarehe 11 Desemba, ni hutumika kuongeza ufahamu wa Utunzaji wa Mazingira ya Asili ya Misitu na kutoa wito kwa Jamii kuepuka na kuachana na shughuli za Kibinadamu ambazo zinahatarisha na kuharibu Mazingira Katika Miaka ya hivi karibuni Dunia...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Huyu dada ni miongoni mwa walinzi wazuri duniani

    Huyu mdada ni mrembo sana, hongereni sana “piesiyu” kwa kumchagua amlinde mama yetu
Back
Top Bottom