2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,025
45,565
2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP

Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
 
2PC
Screenshot_20240214-125345.jpg
 
2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOPE

Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
Kasikilize changes, do for love acha kabisa.
Japo life style lake na wasanii wa zama hizo walikuwa wakiishi kama panya na sijawahi kuwaelewa, lakini hizo ngomq balaa kabisa.
 
2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOPE

Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
HIP-HOPE ndio mziki gani mkuu?
 
2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOPE

Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.

Ukiwa 1 ni wimbo na nyimbo ni nyingi
 
2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP

Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
Bila shaka wewe ni mtoto wa elfu 2?
 
He was not just a rapper,he was activist,He was political na ndo maana alishika mioyo ya watu wengi.Ukifuatilia interview zake hutaamini kama alikuwa na miaka 25 tu.Btw he was also a fearless thug.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom