Atheists (wasioamini Mungu) ndio jamii ya watu wanaoongoza Kujiua (Suicide) Duniani

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,587
15,371
Katika tafiti mbalimbali zinaonyesha jamii ya watu wanaoongoza kujiua ulimwenguni.

Hata hivyo jamii hii inqyokuwa kwa kasi, yenye watu wajivuni wanaodhani wametaka akili mpya nakuwaita watu wa dini mambumbumbu wengi wao licha ya uchangamfu wa nje na kimaandishi ndani ni wachovu, wanamisongo ya mawazo na hawana matumaini kama wengi wanavyowahusudu.

Jamii hii ya watu imechochea ongezeko la simanzi, misongo na mahonjwa ya akili ulimwenguni, achilia mbali kuwa mbeleko inayochochea Ushoga na Usagaji maana kwao hakuna chanzo wanachotumia kutafsri jinsi na jinsia.

Ni hayo tu.
 
Dini zipo kuwapa watu hofu na matumaini ya maisha baada ya hapa Duniani.

WASIOAMINI HAWANA HOFU WALA MATUMAINI YOYOTE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Acha ujinga na stori zako za kubumba bumba.

Wewe mtaani kwako kila baada ya mita 5 kuna kanisa au msikiti na mtaa mzima umejaa umasikini.

Jengeni viwanda na tengenezeni kampuni ndiyo zitawakomboa nyie wajinga mnaokalia kwenye maombi muda wote.
 
Dini zipo kuwapa watu hofu na matumaini ya maisha baada ya hapa Duniani.

WASIOAMINI HAWANA HOFU WALA MATUMAINI YOYOTE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Imani katika Mungu inaondia wasiwasi kabisa. Maana unaamini kifo sio mwijo wako.

Atheist anaamini anakufa kama afanyo nyumbu Masai mara.
 
Acha ujinga na stori zako za kubumba bumba.

Wewe mtaani kwako kila baada ya mita 5 kuna kanisa au msikiti na mtaa mzima umejaa umasikini.

Jengeni viwanda na tengenezeni kampuni ndiyo zitawakomboa nyie wajinga mnaokalia kwenye maombi muda wote.
Asante kwa mchango
 
Back
Top Bottom