Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 14,939
- 20,400
Israeli bado yaendelea na operesheni yake katika mji wa Rafah ulioko shemu ya Khan Younis ambayo ipo sehemu ya kusini mwa mji wa Gaza yenye wapestina wapatao milioni 1.4
Operesheni hiyo imeanza kutoa idadi kubwa ya vifo vya wapalestina pamoja ya idadi ingine ya vifo inotokea katika Ukanda wa Magharibi ambako walowezi wa kiyahudi wamekuwa wakiendesha operesheni yao dhidi ya wapalestina popote pale walipo.
Hadi sasa idadi rasmi ya wapelestina walouawa katika operesheni ya Israeli imefikia 28,473.
Leo hii waandishi wawili wa habari wa Al-Jazeera wamejeruhiwa vibaya kwa risasi na wanajeshi wa IDF walipokuwa kazini.
Yafuatayo yametokea mida hii na zifuatazo ni hatua ambazo nchi kadhaa duniani zimeamua kuchukua dhsidi ya Israeli baada ya kuona kuwa idadi kubwa ya vifo vya wapalestina ikuiendelea kuongezeka.
1. Mfalme Abdulah wa Jordan ametoa kauli akiwa ziarani mjini Washington mbele ya raisi Joe Biden kwamba operesheni ya Israeli huko Rafah haiwezi kuvumiliwa.
2. China imetoa tamko kuitaka Israeli kusitisha mara moja operesheni yake hiyo huko Rafah.
3. Uingereza imewawekea vikwazo walowezi wa kiyahudi ambao wamekuwa wakiendelea na operesheni yao dhidi ya wapalestina na kupora ardhi kinguvu huko ukanda wa Magharibi au West Bank.
4. Ufaransa imewawekea vikwazo walowezi wapatoa 28 wa kiyahudi (kwa mujibu wa ofisi ya mambo ya nje) Ikumbukwe kuwa walowezi wengi wa kiyahudi wamekuwa na urai pacha wa nchi mbalimbali za Ulaya.
5. Afrika Kusini imeitisha kikao katika mahakama ya Umoja wa Mataifa kujqdili yanoendelea huko Rafah.
6. Italy nayo imetoa kauli kwamba Operesheni ya majeshi ya Israeli huko Rafah imezidi malengo halisi na wapalestina waso na hatia wengi wanauawa.
7. CIA na Mossad jioni hii wakutana na mawaziri wakuu wa Qatar na Misri kujadili namna ya kusitisha operesheni ya Israeli na kubadilishana wafungwa kati ya Israeli na Hamas.