Umoja wa Mataifa wasema Mzozo wa DR Congo unapuuzwa kuliko migogoro yote duniani

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118

Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani.

Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la Mashariki mwa nchi hiyo imezidi kuwa mbaya ikiwemo kuongezeka kwa matukio ya Mauaji na Ukatili wa Kijinsia, huku Watu zaidi ya Milioni 2 wakiwa wamepoteza makazi kutokana na Mafuriko.

Kauli hiyo inakuja wakati ambao Umoja wa Mataifa ukiwa katika hatua za kuwaondoa Wanajeshi wa Kulinda amani katika eneo hilo ifikapo mwisho wa mwaka 2024.

Aidha, kwa mujibu wa UNHCR, zaidi ya Watu Milioni 25 wanahitaji misaada ya Kibinadamu ili waweze kuishi na wengine zaidi ya Milioni 7 wameyakimbia makazi yao kutokana na mzozo huo.

============

The United Nations has warned that the humanitarian situation in the restive eastern region of the Democratic Republic of Congo (DRC) has worsened, including with gender-based violence.

Resident and Humanitarian Coordinator Bruno Lemarquis at the UN Stabilization Mission (MONUSCO), in the DRC gave the warning on Tuesday.

“The crisis in the DRC is one of the most severe, complex, prolonged, protracted and neglected in the world" Lemarquis told the UN briefing via video. "The resurgence of hostility in eastern DRC, especially in North Kivu, is deeply concerning, and violent clashes between the group called M23 and the Congolese armed forces, FARDC in acronym, have intensified, leading to severe humanitarian consequences and displacement” he added.

The latest comes as the United Nations plans to withdraw peacekeepers from the region by the end of the year. More than 25 million people are in dire need of humanitarian aid to survive and over seven million displaced have been displaced by the conflict according to the UNHCR.

“The country is also currently affected by the very, very severe floods affecting 2 million people and many provinces across the country, with the Congo River at its highest level since 1961” according to Lemarquis.

Eastern Congo has been beset by conflict for years, with M23 among more than 100 armed groups vying for a foothold in the mineral-rich area near the border with Rwanda.

Analysts say a new disaster could largely go unnoticed there because of the attention on the war in Gaza and Russia's invasion of Ukraine.
 
Na hii ni sisi waafrika kuwekeza kila kitu kinachohusu ufahamu na mihemuko ktk dini za kuja kwa merikebu na majahazi.

Ona taifa la South Africa lilivyojitwisha mzigo mzito wa vita inayoendelea Gaza, lakini habari za Congo DR hawajitosi kwa uzito huo huo.

Kifupi waafrika hatuoneani huruma tunafanyiana ukatili mwingi....

HASHIM RUNGWE - CCM INAWAFANYIA WATANZANIA UKATILI

View: https://m.youtube.com/watch?v=kpxhBBVrXfk
Kiongozi wa Chama cha Ukombozi wa Umma - CHAUMMA mheshimiwa Hashim Rungwe akilaumu chama kongwe dola CCM kwa matendo yake, na kusema kuwa huu ni ukatili.

CCM kuwafanyia ukatili na ubaguzi raia katika matumizi ya kodi zetu, gharama za maisha kuwa juu, ukosefu wa umeme, kodi za bidhaa kuwa juu mno..
 
View attachment 2911140
Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani.

Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la Mashariki mwa nchi hiyo imezidi kuwa mbaya ikiwemo kuongezeka kwa matukio ya Mauaji na Ukatili wa Kijinsia, huku Watu zaidi ya Milioni 2 wakiwa wamepoteza makazi kutokana na Mafuriko.

Kauli hiyo inakuja wakati ambao Umoja wa Mataifa ukiwa katika hatua za kuwaondoa Wanajeshi wa Kulinda amani katika eneo hilo ifikapo mwisho wa mwaka 2024.

Aidha, kwa mujibu wa UNHCR, zaidi ya Watu Milioni 25 wanahitaji misaada ya Kibinadamu ili waweze kuishi na wengine zaidi ya Milioni 7 wameyakimbia makazi yao kutokana na mzozo huo.

============

The United Nations has warned that the humanitarian situation in the restive eastern region of the Democratic Republic of Congo (DRC) has worsened, including with gender-based violence.

Resident and Humanitarian Coordinator Bruno Lemarquis at the UN Stabilization Mission (MONUSCO), in the DRC gave the warning on Tuesday.

“The crisis in the DRC is one of the most severe, complex, prolonged, protracted and neglected in the world" Lemarquis told the UN briefing via video. "The resurgence of hostility in eastern DRC, especially in North Kivu, is deeply concerning, and violent clashes between the group called M23 and the Congolese armed forces, FARDC in acronym, have intensified, leading to severe humanitarian consequences and displacement” he added.

The latest comes as the United Nations plans to withdraw peacekeepers from the region by the end of the year. More than 25 million people are in dire need of humanitarian aid to survive and over seven million displaced have been displaced by the conflict according to the UNHCR.

“The country is also currently affected by the very, very severe floods affecting 2 million people and many provinces across the country, with the Congo River at its highest level since 1961” according to Lemarquis.

Eastern Congo has been beset by conflict for years, with M23 among more than 100 armed groups vying for a foothold in the mineral-rich area near the border with Rwanda.

Analysts say a new disaster could largely go unnoticed there because of the attention on the war in Gaza and Russia's invasion of Ukraine.
Ni wapi wanapata silaha nani anawa- organiz Nan anawa-finance Nan anafaidika na hayo machafuko... Kwny history ya advance Kuna topic ya threat of the word peace inaelzea n Hawa mabepari ndio wanafinance na kuwa benefited na hizi vita Africa ss y wajioneshe kama wanahuruma yaan wanauma na kupuliza
 
View attachment 2911140
Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani.

Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la Mashariki mwa nchi hiyo imezidi kuwa mbaya ikiwemo kuongezeka kwa matukio ya Mauaji na Ukatili wa Kijinsia, huku Watu zaidi ya Milioni 2 wakiwa wamepoteza makazi kutokana na Mafuriko.

Kauli hiyo inakuja wakati ambao Umoja wa Mataifa ukiwa katika hatua za kuwaondoa Wanajeshi wa Kulinda amani katika eneo hilo ifikapo mwisho wa mwaka 2024.

Aidha, kwa mujibu wa UNHCR, zaidi ya Watu Milioni 25 wanahitaji misaada ya Kibinadamu ili waweze kuishi na wengine zaidi ya Milioni 7 wameyakimbia makazi yao kutokana na mzozo huo.

============

The United Nations has warned that the humanitarian situation in the restive eastern region of the Democratic Republic of Congo (DRC) has worsened, including with gender-based violence.

Resident and Humanitarian Coordinator Bruno Lemarquis at the UN Stabilization Mission (MONUSCO), in the DRC gave the warning on Tuesday.

“The crisis in the DRC is one of the most severe, complex, prolonged, protracted and neglected in the world" Lemarquis told the UN briefing via video. "The resurgence of hostility in eastern DRC, especially in North Kivu, is deeply concerning, and violent clashes between the group called M23 and the Congolese armed forces, FARDC in acronym, have intensified, leading to severe humanitarian consequences and displacement” he added.

The latest comes as the United Nations plans to withdraw peacekeepers from the region by the end of the year. More than 25 million people are in dire need of humanitarian aid to survive and over seven million displaced have been displaced by the conflict according to the UNHCR.

“The country is also currently affected by the very, very severe floods affecting 2 million people and many provinces across the country, with the Congo River at its highest level since 1961” according to Lemarquis.

Eastern Congo has been beset by conflict for years, with M23 among more than 100 armed groups vying for a foothold in the mineral-rich area near the border with Rwanda.

Analysts say a new disaster could largely go unnoticed there because of the attention on the war in Gaza and Russia's invasion of Ukraine.
Nchi zinazolinda amani DRC wengi wao ni wezi wa rasilimali za Congo
 
ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani.
Wakimbizi wa ndani zaidi ya Million 6 sio Jambo la mchezo, watu wanafanyiwa kila aina ya ukatiri kwenye yale makambi wale M23 warudi TU kwa Kagame wakamtoe Kagame wakae wao sio yeye Kagame kuwatumikisha wawe wezi wake wa Madini DRC alafu iweje maana ule ni wizi kabisa uliowazi, cha ajabu jamaa bila aibu anawakataa kwamba sio watu wake wakati inafahamika wazi kua wale Jamaa wanamhusu wanaiba madini wanahama nayo Kupeleka kwa Kagame, inaumiza sana
 
Kama anakili kuwa si wake, akae kimya congo anapoamua kuwashughulikia raia wake wanao hasi
 
Back
Top Bottom