duniani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Tanzania yanadi Vivutio vyake kwa watalii na wawekezaji mahiri duniani

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amewahakikishia kundi maalum la wawekezaji na watalii mahiri duniani zaidi ya 150 kutoka nchini Marekani na nchi nyingine duniani lililowasili nchini Novemba 4,2023 kuwa Tanzania itaendelea kushirikiana nao kikamilifu katika jitihada...
  2. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kazi za majeshi huko Duniani zimekaa kupotezeana muda

    Kuna Watu wapo Duniani kutii matakwa ya wanasiasa ili yeye afurahie. Yaani unapambania Kazi za majeshi then unatumwa vitani unauliwa Kama kuku au mnyama kisa maslahi ya Mwanasiasa mmoja. Upo Duniani lazima ujue kusudio lako la kuja Duniani haiwezekani uje Duniani kuwa mtumwa kubebeshwa mabegi...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Uwe ba roho mbaya kiasi gani, utaondoka tu duniani

    Ujumbe wa leo
  4. Maleven

    JamiiForums Tanzania Vitu vyenye majina mengi hapa duniani

    1. Pesa : hela, mavumba, mshiko, sabuni ya roho, mkwanja, maokoto, kibunda, vyuma .... 2. Uke: papuchi, kipochi manyoya, kitumbua, sambusa, bibi, mfereji maringo .... 3. Uume: Abdallah kichwa wazi, mti nyama, kisiki kisichoota majani, babu, nyoka, mkuyenge, deliboro .. 4. Wali : cha mtume...
  5. Beberu

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya Palestina, Ugaidi duniani, sio issue ya Dini ya kiislam, bali uroho wa madaraka

    Wakuu katika nchi, Kuna hii issue ya HAMAS, na ugaidi duniani kote kupitia kwa vikundi mbalimbali, Kwa juu inaonekana hii issue chanzo chake ni dini ya uislam na waislam wanapenda hizo mambo, Lakini deep down ukifuatilia utakuja jua kuwa chanzo cha vikundi vyote vya ugaidi ni uroho wa madaraka...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mabunge Duniani ni mfano "role model"

    Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU). Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii. Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa umoja wa mabunge duniani(IPU) leo Octoba 27, 2023. Kura 303 zilipigwa huku mshindi akihitaji angalau nusu ya kura hizo(kura 152) Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo Ms. Adji Diarra Mergane Kanouté(Senegal) kura...
  8. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Usomaji wa Biblia kila siku unaongeza IQ kuliko kusoma kitabu kingine duniani

    Watu wengi wenye IQ kubwakubwa mindset zao zilishawishiwa na Biblia. Newton, Galileo Galilei, Mendel na wanasayansi wengi walikuwa wanazi wa maandiko ya Biblia. Paulo kwa usomi wake maandiko aliwaoutsmart wasomi majiniasi wa kigiriki Pale Aelopagas. Daniel aliwazidi akili wachawi,waganga...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Kikao cha Kamati namba 2 ya Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (UPU)

    Tanzania imeongoza kikao cha Kamati namba 2 ya Baraza la Uendeshaji la Umoja wa Posta Duniani (UPU) kwenye vikao vya Baraza hilo vinavyoendelea Jijini Berne, Makao Makuu ya Nchi, Uswizi. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti mwenza wa Kamati hiyo ya Huduma za Posta na Maendeleo ya Biashara...
  10. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je, wajua jangwa kubwa zaidi Duniani?

    Tunapofikiria jangwa, kwa kawaida huwa tunapiga picha maeneo yenye joto na mchanga kama Sahara. Na ni mara nyingi watu huhusisha jangwa na mazingira ya joto, yenye mchanga na Jua kali lakini kiuhalisia jangwa hufafanuliwa na viwango vyao vya chini vya mvua. Kwa hivyo, jangwa ni sehemu ambayo...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda. https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ === Mhe. Rais Samia...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali naombeni Msaada wa Viwango vya Majeshi Bora duniani ili nilifurahie Jeshi langu la JWTZ kuwa namba 6 kwa ubora kama tulivyoambiwa

    GENTAMYCINE nimepitapita hapa JamiiForums na kuona baadhi ya Watu (Members) wakisema kuwa waliwahi Kumsikia nadhani Msemaji au huyu Kaimu Msemaji wa Jeshi akisema (tena kwa Kutamba kabisa) Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) hili hili ambalo Wiki iliyoisha tu baadhi ya Watendaji wake (hasa hasa...
  13. xxtycoon

    JamiiForums Tanzania Historia ya ubashiri duniani

    Je, huwa unafanya ubashiri? Ubashiri ni mfumo wa utabiri wa tukio fulani kuchukua nafasi katika wakati ujao. Historia ya kufanya ubashiri ni ndefu zaidi kuliko inavyofikiriwa na wengi. Ubashiri umefanywa kwa muda mrefu katika historia ya zamani kwa kutumia njia nyingi tofauti. Katika dini...
  14. E

    JamiiForums Tanzania CCM MBEYA MJINI Na maandalizi ya RAIS wa MABUNGE duniani

    Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti Ccm wilaya kipo kufanya maandalizi kabambe ya Kumpokea MBUNGE wao kipenzi Daktari.Tulia Ackson ambaye hapo jana amechaguliwa kwa kishindo kuwa RAIS wa umoja wa MABUNGE Duniani (IPU),wana Mbeya na msio Wana Mbeya mnakaribishwa Sana kuungana nasi,tarehe ya...
  15. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Fikiria Dunia ingekuaje kama Dini na Sheria visingekuwepo

    Zipo nadharia tofauti zinazoelezea asili ya jamii (muingiliano) mpaka kufikia dola za hivi sasa na miongoni mwao ni creation theory from holy book na state of nature theory (social contract theory), ambapo kuna wanazuoni kama Thomas Hobbies, Jean Jack.., John Locke na wengineo. Ambapo kundi la...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Marais wanawake wa kiislam duniani

    Ukiona hijab (wakiristo huita ushungi) usiumie utaingia prseha 1. Halimah. Halimah Yacob (born 23 August 1954) is a Singaporean former politician and lawyer who served as the eighth president of Singapore from 2017 to 2023. Rais Samia Suluhu Hassan Upto 2035(inshallah) SIFA KUBWA YA...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa ngumi ni wa kupigwa marufuku duniani

    Huu mchezo sio kabisa na hata kuita mchezo ni makosa kabisa. Watu wanaumizana huku wengine wanashangilia halafu eti unaitwa mchezo. Najua ngumi ni biashara kubwa duniani na ni ajira kwa watu wengi ukiacha mabondia wenyewe, ila ukweli unabaki pale pale kuwa huu mchezo haufai kabisa. Bahati...
  18. mama D

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia leo 26.10.2023 ameshiriki mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais IPU

    Dkt. Tulia Ackson amewakilisha vyema katika mdahalo wa kuomba kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge duniani IPU. Tunamtakia kila la heri katika uchaguzi utakaofanyika kesho 27.10.2023 Mungu ibariki Tanzania
  19. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanya watu wa Asia Mashariki (Wachina, Wajapan, Wakorea) kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyingine zote duniani?

    Hivi ni kitu gani ambacho kinacho pelekea hawa watu kutoka mashariki mwa Asia wachina, wajapan, wakorea kuwa na akili nyingi kushinda jamii nyengine zote duniani ? Hii ni kwa mujibu wa tafiti mbalimbali, hivyo nilikuwa nauliza ni kitu gani kinacho pelekea hawa watu kutuzidi sisi wengine wote.
  20. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Falsafa na Maisha 101: Ni muhimu sana kuwafunza watoto wetu falsafa muhimu za maisha, la sivyo maisha yao duniani yatakuwa magumu sana

    Nimekuwa nikijaribu sana kuwasoma wanafalsafa wa miaka ya nyuma. Na kwasasa nikijiangalia kuna mengi sana yamebadilika kwenye maisha yangu, hususani kwenye maadili na kuwa na self control ya maisha yangu. Haya ni moja wapo ya mambo ambayo falsafa inazidi kunifundisha 1. Usiwe mtu wa kulalamika...
Back
Top Bottom