Utafutaji wa pesa hapa duniani kuna wengine ni kama gereza na wengine happy day

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
ule msemo toka kwenye biblia Maneno ya Paulo “Asiyefanya kazi, asile” (3:10).ulilenga watu fulani humu duniani kwakeli yani kuna wengine kuanzia January mpaka December yeye ni kutafuta mkate wa kila siku.

utafutaji hapa duniani wengine kwao ni gereza watabaki kuwa watumwa wa pesa mpaka kifo chao ukilinganisha na wale happy day kazi moja inaweza kumlisha mwezi au mpaka mwaka.

wapo wengine waliopo gerezani yani hata pesa utakuwa nayo ila itakuwa ya utumwa kama wengine isiyo na happy day.
420190398_2627630020733893_7107090498991626536_n.jpg
 
Mindset ndo inaamua uishi Kwa mfumo wa hand to mouth au Abundance.

Ili uendelee kula bila kutumia nguvu inabidi matumizi yako ya AKILI yawe makubwa Sana.

When you will unlock ur mind ,and the world it will unlock its treasure and reward to you.

Most of Locked doors , Poverty, miserables' life are in mind.

PESA sio tatizo Ila kukosa pesa ndo tatizo lazima uboreshe mzizi kwanza ambao ni mindset.
 
Back
Top Bottom