Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,196
10,929
Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.

Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.

Mataifa ya Ufaransa, Italy, Spain, China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka.

Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas. Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.

Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.

Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao. Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.

Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.

Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.

Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.

Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos

hilo haliwatishi, wao kutengwa hawaogopi, wanapigania uhai wao. hivi wewe utatishika nini unapotengwa na mtu asiyekuwa na akili? mataifa yote yaliyojifanya kumpinga Israel hayajawapinga Hamas wala kulaani kile hamas wamefanya, sasa watu kama hao impartial na biased kiasi hicho wakikutenga utastuka?

Si unaendelea na maisha yako watajijua wenyewe huko? hadi mambumbumbu ya kiafrika yamejifanya yanamtenga Israel ambaye hata hajawahi kuwahitaji kana kwamba hawezi kuishi bila wao.
 
Israel haiwezi kurudi nyuma Hadi HAMAS waishe hata kama vita itachukua miaka 10 wataendelea kupiga Tu.
NETANYAHU alisema kuwa kama dunia iliweza kuangamiza kundi la ISIS na wao wataliangamiza kundi la HAMAS pia kumbuka kundi hili limeshaingizwa kwenye kundi la kigaidi
 
hilo haliwatishi, wao kutengwa hawaogopi, wanapigania uhai wao. hivi wewe utatishika nini unapotengwa na mtu asiyekuwa na akili? mataifa yote yaliyojifanya kumpinga Israel hayajawapinga Hamas wala kulaani kile hamas wamefanya, sasa watu kama hao impartial na biased kiasi hicho wakikutenga utastuka? si unaendelea na maisha yako watajijua wenyewe huko? hadi mambumbumbu ya kiafrika yamejifanya yanamtenga Israel ambaye hata hajawahi kuwahitaji kana kwamba hawezi kuishi bila wao.
Ndio ushahidi wa kulaaniwa huo.
Haiwezekani kuwa hutishwi wala kushtushwa na maneono ya yeyote yule.
Unajua binaadamu ana thamani inayotambuliwa na Mungu ambapo iwapo binadamu wenzake hawatamthamini basi majibu yanatoka tofauti.
Unadhani ni kipi kilichomfanya Marekani mwenyewe kukosa nguvu na kukimbia Afghanistan.Ni ule unyama iyokuwa inaufanya na kila mtu akawa anawalaani.
Nguvu zao hatimae zilikuwa kubwa kuliko makombora yote waliyomiliki Marekani na ikabidi wakimbie mchana kweupe.
 
hakuna watu wamelaaniwa kama waarabu ndugu yangu, we waone tu walivyo. hadi maeneo waliyopita hapa bongo pamegeuka jengwa na umasikini wa kutupwa kwasababu roho mchafu alipita. angalia dodoma, angalia mpwapwa, kondoa, hadi ujiji. sasa hiyo ndio inaitwa laana. hadi udongo unalaaniwa.
 
Hao wazungu wa ulaya eti ndii mazayuni Hitler aliona mbali Sana tuliaminishwa Hitler ni mbaya kumbe history hatukuijua hao walitakiwa watafutiwe dunia yao labda mwezini lakini duniani hamna wakukaa nao
Samahani hivi kabla ya Halocust Wayahudi walikuwa wanawasumbua watu gani?.

Wakati fulani mambo mengine hutengenezwa. Israel mentality wanajilinda isitokee tena kama ya Hiltiler na kuisikiliza vzr Waarabu huwa wanataka wawafute hivi wataishije kama sio kujitetea hata kwa namna isiyo faa?
Kile tunaona Israeli inafanya ndio kizazi cha Kipalestina kitakuwa i.e kujitetea na kujilinda ma Mazayuni kwa gharama yoyote.
Ni waafrika tu ambao walitawaliwa na kuuawa na wazungu hadinkuuzwa kama kuku lkn hawana kinyongo leo mzungu na Mwaarabu ni wa muhimu mbele za mwafrika kuliko mwafrika mwenzake hii ni Karama sio bure.

Kinachoendelea middle east sio cha kuvumilia hata kutazama kuona mtoto mdogo au mama analia na kuteseka.
Ni sawa na kipindi cha halocust wayahudi waliuawa kinyama sana hadi kutengezwa sehemu maalum za kuwaua kwa wingi yote haya ni idealogy za ajabu ajabu tu
 
Israel haiwezi kurudi nyuma Hadi HAMAS waishe hata kama vita itachukua miaka 10 wataendelea kupiga Tu.
NETANYAHU alisema kuwa kama dunia iliweza kuangamiza kundi la ISIS na wao wataliangamiza kundi la HAMAS pia kumbuka kundi hili limeshaingizwa kwenye kundi la kigaidi
Kundi la ISIS na ALqaeda yalimalizwa kwa vile ni makundi hewa na yalikuwa yakiendeshwa na hao hao Marekani.
 
Jews run the US government sio Biden.. Biden hata hajielewi sometimes yuko wapi,serikali yake anaendeshewa..As long Marekani bado ipo Israel wataendelea kufanya genocide because their financiers in the US government want it...look at how many Jews are in the Biden administration? Na angalia wenyekiti wote wa Federal Reserve ya marekani Wana asili ipi?
 
hilo haliwatishi, wao kutengwa hawaogopi, wanapigania uhai wao. hivi wewe utatishika nini unapotengwa na mtu asiyekuwa na akili? mataifa yote yaliyojifanya kumpinga Israel hayajawapinga Hamas wala kulaani kile hamas wamefanya, sasa watu kama hao impartial na biased kiasi hicho wakikutenga utastuka? si unaendelea na maisha yako watajijua wenyewe huko? hadi mambumbumbu ya kiafrika yamejifanya yanamtenga Israel ambaye hata hajawahi kuwahitaji kana kwamba hawezi kuishi bila wao.
Mfalme Juha kutokea duniani ni wewe ,hilo jina ulilojipa halistahili mara elfu

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Wale magaidi wenyewe walipoivamia Israel na kuua watu wenyewe walikuwa wakizingatia kanuni gani za kimataifa na za kibinadamu.

Hao magaidi sio watu ngoja na wenyewe wauwawe tu kwani si hao hao ndio waliwauwa watanzania kinyama namna ile halafu kuna mijitu humu yenye roho za kinyama kama wao eti wanawashabikia kwa nini sasa wasiende kuwasaidia kama wanawapenda kihivyo. Bure kabisa.
 
Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.
Mwanamfalme wa Uiengereza .William ataka vita visitishwe.Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.
Mataifa ya Ufaransa,Italy,Spain,China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka
Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas.Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.
Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.
Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu,wanawake na watoto wao.Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu.Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.
Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha.Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.
Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.
Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.

Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos

Israel amewabembeleza sana hao kungun. Alitakiwa apite nao hiv
 
Yeyote anayeshabikia vita ni punguani
 
Una muda wa kupoteza
 
Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.

Mwanamfalme wa Uiengereza .William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.

Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao.Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.

Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.

Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.

Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.

Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Israel wametengwa sana toka zamani wala hilo hawaliogopi
 
Back
Top Bottom