Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi
Umejenga msikiti, saafi
Umeleta radio, studio, tv, saafi
Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi
Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi
Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi
Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka...