Diamond Platnumz ni kweli ahadi kedekede unazotoaga kwa watu huwa unatimiza? Ni bora ukaacha mambo hayo ya ajabu kama ni ngumu kutenda

I am Groot

JF-Expert Member
Jul 20, 2018
3,731
10,033
Msanii wetu SIMBA namkubali sana sasa tatizo lake anapenda kukurupuka sana pale mafuraha ya kutoka pasipojulikana yanapo mvaa na kutangaza ma- ahadi tele kila mahali online, na hata live Wasafi TV/Radio kuwa atatoa mara hiki mara kile kwa jamii. Na mara chache sana huvitimiza anavyosema ni kama 4/10 tu ya anachoongea inabidi tuamini.

Hivi ile ahadi ulioitoa miezi kadhaa nyuma ya kulipia kodi za nyumba kwa watu 500 ziliishia wapi?

Nakumbuka uliweza tu kutoa kodi kwa wajane, wazee na walemavu 57 kodi hizo. Na wengine 443 ilibidi wasahau jambo hilo.
 
Unataka upewe list ya walio lipiwa?

Na hata ukipewa still utasema "lijamaa linapenda show off....."

Hizi kodi alitoa kwa awamu awamu ya kwanza aliifanya makao makuu ya Wasafi media,awamu nyingine walifanya watangazaji wa kipindi cha "good morning" kwa baadhi ya waliolipiwa na moja aliifanya mwenyewe Diamond hapa relini karibu na office za wananchi kwa mmoja walionufaika na kodi.

Clips zote zilirushwa Wasafi TV.
 
Bora huyo katika asilimia 100 anatimiza kwa asilimia 80 ila kuna huyu kondeboy aliwahi kuahidi atamtoa mtu dinner atakae weza kupatia kuhusu nyimbo na kipindi hicho ilikuwa bedroom na nyingine alitoa ahadi ni dili gani anaenda kutambulisha nakumbuka ilikuwa ishu ya kuwa ambassador alihadi laki 5 lakini hakutoa
 
Heri hata kama anatekeleza kidogo tusilaumu maana sisi hatuwezi kusaidia jamii hata kidogo
 
Bora huyo katika asilimia 100 anatimiza kwa asilimia 80 ila kuna huyu kondeboy aliwahi kuahidi atamtoa mtu dinner atakae weza kupatia kuhusu nyimbo na kipindi hicho ilikuwa bedroom na nyingine alitoa ahadi ni dili gani anaenda kutambulisha nakumbuka ilikuwa ishu ya kuwa ambassador alihadi laki 5 lakini hakutoa
LADYLUV naongezea Ahadi nyingine alihaidi atamsainisha hamis wa bss mpaka leo ajafanya hivyo n.k Harmonize kiukwel uongo kazidisha.
 
Bora huyo katika asilimia 100 anatimiza kwa asilimia 80 ila kuna huyu kondeboy aliwahi kuahidi atamtoa mtu dinner atakae weza kupatia kuhusu nyimbo na kipindi hicho ilikuwa bedroom na nyingine alitoa ahadi ni dili gani anaenda kutambulisha nakumbuka ilikuwa ishu ya kuwa ambassador alihadi laki 5 lakini hakutoa
Hashim Rungwe na CHAUMA yake wameiba idea
 
Msanii wetu SIMBA namkubali sana sasa tatizo lake anapenda kukurupuka sana pale mafuraha ya kutoka pasipojulikana yanapo mvaa na kutangaza ma- ahadi tele kila mahali online, na hata live Wasafi TV/Radio kuwa atatoa mara hiki mara kile kwa jamii. Na mara chache sana huvitimiza anavyosema ni kama 4/10 tu ya anachoongea inabidi tuamini.

Hivi ile ahadi ulioitoa miezi kadhaa nyuma ya kulipia kodi za nyumba kwa watu 500 ziliishia wapi?

Nakumbuka uliweza tu kutoa kodi kwa wajane, wazee na walemavu 57 kodi hizo. Na wengine 443 ilibidi wasahau jambo hilo.

Hivi huwa unawachukulia serious wasanii na KIKI zao??
 
Back
Top Bottom