Wimbo wa Harmonize Yanga umekuwa Number 1 trending: Diamond alipia post ili kujaribu kumshusha

hiram

JF-Expert Member
Aug 1, 2013
258
500
Wimbo wa Yanga ulioimbwa na Harmonize umeushusha wimbo wa Simba na kuwa Number One trending kwenye youtube; hata hivyo Mondi hajakubali na hivyo amelipia post ya facebook (sponsored) ili kuutangaza wimbo wake wa Simba na pengine aweze kumpiku tena Konde Boy

konde.jpg

mondhofu.jpg
 

Nikupa

JF-Expert Member
Mar 15, 2018
318
500
Ilianza kutoka nyimbo ya diamond ikawa ad namba moja on trend ,ikaja ya konde nayo kwa muda wake ikawa namba moja on trend sasa cha ajabu nin ,kwan uyo konde ajawai kuwa number moja on trend ktk nyimbo zake, au ulitaka kila siku nyimbo ya diamond ndo iwe namba moja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom