Wimbo mpya: Alicia Keys Ft Diamond Platnumz

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,511
2,000
Huu wimbo ni mzuri na nimeusikiliza japo Diamond Platnumz kaimba sehemu ndogo sana peke yake, ila sehemu kubwa kafanya Back-Vocals. Mwanzo mzuri kwake na natumai atatumia nafasi hii kujinoa vizuri maana Alicia Keys na mume wake ni wataalamu na walimu wakubwa wa muziki. Ndugu Diamond Platnumz ukumbuke kwamba huyu dada Alicia Keys alishawahi kushinda shindano kubwa la muziki The Voice America akiwa na mwanafunzi wake Chris Blue huku akishindana na wasanii wenzake nguli kama Adam Lavine, Blake Shelton na Miley Cyrus.

Sasa kama utatumia huu mwanya kujifunza zaidi naamini hii ni nafasi yako ya kipekee kabisa kujifunza kutoka kwa huyo dada na utajifunza mengi mno. Binafsi naamini Diamond Platnumz ni mtu ambaye anapenda kujifunza hivyo utapata ujuzi mwingine mkubwa. Kiufupi hii Album ni nzuri sana japo hujasikika sehemu kubwa sana kwenye wimbo, usikate tamaa tambua kwamba hii kwako ni nafasi ya kujifunza zaidi na kufahamiana na watu wapya.

Hii Album ni kali sanaaaaaa nzuri hivyo naamini wengi wataisikiliza na watapenda kufahamiana na wewe, hata kufanya kazi na wewe. Wimbo "Wasted Energy" ushafika Rap Genius na mistari ya kiswahili ishatafsiriwa kwa lugha ya kiingereza. Nimefuatilia mtandaoni watu wameupenda sana wimbo na wametaka kujua nini kilichoimbwa na Diamond Platnumz: Hili ni jambo jema sana. Kaza buti ndugu yangu na endelea kutuwakilisha vyema. Nimeweka wimbo wenyewe na baadhi ya nyimbo za kwenye album..
 
Attachments

 • File size
  7.9 MB
  Views
  5
 • File size
  6.6 MB
  Views
  4
 • File size
  6.4 MB
  Views
  3
 • File size
  8 MB
  Views
  4

Jerry Rebiam

JF-Expert Member
May 22, 2016
403
500
Hua naziheshimu sana MB zangu ila kwa huu wimbo binafsi nimedownload Nyimbo sahihi kwa wakati sahihi...mond ana ya kujifunza sana toka kwa wasanii wakubwa duniani humu kakaza kinoma alafu sauti classic sana...kifupi kaua kinoma
 
MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
17,511
2,000
Hua naziheshimu sana MB zangu ila kwa huu wimbo binafsi nimedownload Nyimbo sahihi kwa wakati sahihi...mond ana ya kujifunza sana toka kwa wasanii wakubwa duniani humu kakaza kinoma alafu sauti classic sana...kifupi kaua kinoma
Hata kama hajaimba kipande kikubwa kwa peke yake, ajitahidi kutumia hii nafasi kujifunza. Huyu dada ni msanii mkubwa na mwalimu mzuri sana wa muziki.
 
jooohs

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
1,433
2,000
We jamaa ni foo sana haujui hata unaongea nini yani alicia atafute fan base africa kupitia diamond ? Unamjua kweli alicia keys au unaropoka tu
Wewe mama ngoja tu nikujibu, alicia kupitia diamond ataongeza fan base kubwa tu akianzia hapa bongo. Usidhani kila mtu anafatilia mziki wa marekani. Mfano mzuri ni watu wangap walikuwa wanamfatilia miri ben ari before kutoa ngoma na diamond.

Kuna watu wamewafahamu neyo, omario, rickross kupitia diamond hata morgan heritage wangapi walikuwa wanawafaham hapa bongo?

Halafu usitake kila mtu aandike kitu kinacho kufurahisha kila mmoja abaki na anacho amini,
 
Input

Senior Member
Sep 18, 2018
100
225

Upo sahihi Sana. Good.
 
Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
810
1,000

We jamaa una poor thinking kabisa kama humjui alicia keys,rickross ,omarion na neyo kiufupi kwenye ramani ya muziki hujui unachokijua hawa jamaa ni unavoidable kabisa utakuwa unasikiliza nn sasa ? Huezi ukaniambia eti kuna mtu mpenda mziki awajue hawa majamaa kupitia diamond hell no hata kama ni kupata fan base huezi niaminisha mtu mwenye fan base world wide eti apate fan base kwa mtu anayesikika only africa na few huko duniani labda kama unafikiri kutumia matako
 
Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
810
1,000
Mkuu labda nifikirie kupitia matako ya mama yako kidogo naweza elewa kidogo

Amini unacho amini, huwezi badili mawazo yangu
Acha kupaniki tunajadili tu hapa usianze kutumia lugha za ovyo
hadi unaingiza na wazazi bro nitake radhi kwa hilo kabla sijafanya ninayowafanyiaga vinega kama nyie
 
Dampa

JF-Expert Member
May 29, 2017
810
1,000
H
Kuna sehemu hata kuingiza tu mguu ni ushindi.kuna wasanii wangapi wakubwa Africa zaid ya diamond lkn hawakupata hyo nafas.So ni hatua kubwa kwa diamond
Halafu kuna jamaa anasema alicia anatafuta fan base kupitia mond eti!
 
jooohs

JF-Expert Member
Jul 26, 2017
1,433
2,000
Bro narudia tena kwa heshima na taadhima nitake radhi kama mtanzania mwenzio tengua kauli yako kabla jua la leo halijatua narudia tena oooohooo watu wengi hatutukaniwi mama zetu bora unitukane mimi bro haki ya mungu umelipata unalolitafuta.
Nani alieanza kutoa matusi?? Endelea kuisubiri hiyo radhi mpaka jua lizame
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom