diamond

  1. Sele Mkonje

    JamiiForums Tanzania Hongera Diamond kwa kuwa msanii wa Kwanza Afrika mashariki Kufikisha 1Bilion Views on Youtube

    Leo wakati nataka kuchek Quarantine ya Diamond nikajikuta nashuhudia maajabu na rekodi mpya ambayo Diamond Platnumz ameivunja. Tukio lake la kuweka rekodi hiyo limetokea dakika chache zilizopita. Diamond anafuatiwa na Millard ayo ambaye kwa sasa ana viewers M933 na huku King wa bongo Fuleva ana...
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Kwako Diamond Platnumz...

    Sisi wananchi wa hali ya chini tulifarijika sana na maneno yako pale ulipotangaza kuwa, upo tayari kutusaidia japo kulipia pango la nyumba kwa miezi mitatu kwa wananchi wa hali ya chini 500. Tunaona siku zinazidi kukatika na hatujapata mrejesho wowote kama msaada huo upo au laa.
  3. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ang'ara kwenye jarida la Billboard kwa kufanya vizuri Youtube

    Mtandao maarufu wa kupanga charts za muziki duniani wa Billboard umeachia makala wakielezea namna ya kupata mafanikio kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube huku wakimtolea mfano star wa muziki wa Tanzania @Diamondplatnumz Makala hiyo imeandikwa "Wanamuziki wa Marekani wanatafuta njia za...
  4. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Mbosso, Diamond washinda tuzo za Hipipo Uganda

    Tuzo kubwa za muziki nchini Uganda , Hipipo Music Awards (Hall of Fame) , zimefanyika siku ya Jana huko Kampala na Kushuhudia wasanii tokea Lebo ya WCB , Diamond Platnumz pamoja na Mbosso wakiiwakilisha vyema Tanzania kwa Kuondoka na jumla ya tuzo tatu (3) Katika tuzo hizo ambazo mwaka huu...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Almasi inang'aa: Diamond yumo katika video tisa (9) zinazotrend Tanzania Youtube

  6. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Whozu ana kipaji kikubwa, akikazana na kujifunza atafika mbali sana

    Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na wasanii wengine. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanaigana sana kuimba na mwisho kabisa huwa unakuta...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Diamond atuzwa ufalme wa kuwa Mtumbuizaji Bora Afrika

    Wiki iliyopita kuibuka mzozo wa Burnaboy na Diamond nani mkali Jana kwenye show ya MTV Base Afrika kijana wetu kagongelea msumari hakuna wa kumzidi kwenye perfomance stejini au kokote akifanya show Hadi B Dozen kakubali mzigo aliopiga Diamond, leo akiwa live kwenye kipindi cha XXL japo...
  8. Robidinyo

    JamiiForums Tanzania Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

    Kuhusu kulipia show =========== Jamaa kaona isiwe kesi, Kiki hakuna kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu ==================== Kuhusu performance ya kuwa nzuri ===================== ================== Kuhusu performance ya kuwa sio nzuri ================
  9. Slowly

    JamiiForums Tanzania Video: Harmonize akicheza wimbo wa Jeje wa Diamond Platnumz

    Huenda kuna kitu Kati ya hawa watu, tuwe na akiba ya maneno
  10. F

    JamiiForums Tanzania Why watu wenye mafanikio wamesoma kayumba? Samatta, Diamond, Doctors, Engineers, President etc

    Habari wadau.. Mbona watu wengi wenye mafanikio wamesoma kayumba? Hizi shule za kizungu zinakosea nini kuandaa watoto ? Nimepima sector zote.. kuanzia michezo, business, politics, music, engineering naona kayumba wanaongoza... Nawaza tu hizi shule za mtoto kubeba begi kubwa na kuchukuliwa na...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Diamond is an entertainer, you can dance and party on hos

    He sings for the world to enjoy
  12. el nino

    JamiiForums Tanzania WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

    Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa. Wasanii wengine chukue somo hapo, maana mtalalamika mnarogwa/logwa kumbe mchawi wenu ni nyie wenyewe
  13. H

    JamiiForums Tanzania Diamond na Nandy miongoni mwa wasanii watakaohojiwa na Idris Elba

  14. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz FC

    Niwasalimu wote. Amani ya bwana iwe nanyi. Najua duniani na kwingineko kwingi ligi mbalimbali zimesimama kutokana na jinamizi la Covid 19. Huwa natamani kuona timu yetu ya Taifa na klabu zetu za soka Tanzania zikifanya makubwa Africa. Na ndio maana nikaja na huu uzi "Diamond Platinum FC"...
  15. Waziri wa Kaskazini

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo gari la mtoto mdogo Diamond Platnumz.. Rolly Royce

    Hii ndiyo gari la mnyama Platnumz, yaani gari itatua Uwanja wa ndege wa Mwl J.Nyerere terminal lll, likiwa ndani ya ndege ya kukodi ya mzingo.. So far, bei ya gari ni sawa budget nzima ya wizara ya Mwakyembe,
  16. Deejay nasmile

    JamiiForums Tanzania Diamond hajakosea ila kumbuka ulipotoka

    Umetoa kod kwa wasiojiweza, saafi Umejenga msikiti, saafi Umeleta radio, studio, tv, saafi Umefanya matamasha ndani na nje ya nchi, safi Umetuletea maneno mapya kwenye lugha yetu pendwa mfano kitorondo, safi Hujatuletea bob junior kwenye label yako, sio safi Unawaacha akina DJ Mafuvu (nakumbuka...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz aanza kutoa msaada wa kodi ya miezi 3 kwa kaya 500

    Mkurugenzi wa kampuni ya Wasafi, msanii Diamond Platnumz ametoa msaada wa kodi ya pango kwa watu 57 ambao ni wajane, walemavu pamoja na wasiojiweza. Msaada huo ni awamu ya kwanza katika ile dhamira yake ya kusaidia kodi ya pango kwa kaya 500 nchini zilizoathirika kiuchumi na janga la mlipuko wa...
  18. Riz king

    JamiiForums Tanzania Diamond unapondwa lakini naona Wasafi Media zimewakaba koo watesi wako. Rekebisha mapungufu machache tuizike Clouds

    Mtoto wa Tandale kwa namna mambo yalivo pale Wasafi Media naona kama wiki mbili zilizopita mpaka Clouds Media wakapata mtikisiko na wakaja na visegment vya hovyo sijui eti wanavunja sheria mjengoni, yote hiyo walikuogopa kwa ujio wako kwenye media ila fanya haya kama utaona yana tija ili tuzidi...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Diamond: Tayari tumepata leseni ya kurusha Wasafi FM nchi nzima

    Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Wasafi Media Diamond Platnumz kupitia interview aliyoifanya kwenye Sports Arena amefunguka baada ya kuulizwa na Maulidi Kitenge kuhusu Wasafi Media kwenda mikoani. Amefunguka "Mwanzo tulikuwa hatujapa leseni ya Serikali kurushwa redio nchi nzima ila kwa mwaka huu...
  20. Y

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwako Diamond

    Wengi tunakusaport bt hatupendezwi na ulivyomtenga mzee abdul ambae mbegu yake ndo sabab ya wewe kua. Mama mlea mbegu anaishi kifahari bt baba mpanda mbegu anaishi kwa dhiki ajil ya makosa yakibinadam. Tunajua mama anamchango mkubwa kufika ulipo bt tambua mbegu ya mzee abdul ndo chanzo cha...
Back
Top Bottom