Zanzibar 2020 Kampeni za CCM 2020: Magufuli, Mwinyi kutikisa Zanzibar tarehe 03 Oktoba katika viwanja vya Mnazi Mmoja

CCM Damu

Member
Oct 29, 2007
15
28
Mliosema “Magufuli hampendi Mwinyi anapretend tu” sasa kesho muwe macho muone support.

Mkutano mkubwa kuliko tunausubiri hapo kesho katika viwanja vya Mnazi Mmoja.

PICHA: Jinsi Dkt. Magufuli alivyowasili visiwani Zanzibar

5AA86C60-901F-4DAE-AD5D-435D02C608D7.jpeg

00775E4E-544E-479D-A726-6D5AAD44AAA5.jpeg

6B83C600-8740-4A88-BD5A-B70A14CF6877.jpeg

PROMO:
 
Hakika mwenyezi Mungu, amelibariki taifa langu kwa kutupa kiongozi smart Sana.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Ningekua karibu ningeenda kuongeza idadi ya vichwa
Diamond Ali kiba zuchu !!! Naanzaje kuikosa burudani ya nguvu kiasi hicho!!!.
 
Nimeona wasanii hapo wakina AliKiba, Diamond, Harmonise n.k
 
Natamani Magufuli baada ya kuapishwa kwa kupindi cha pili azidishe kubana kabisa tena awashugulikie wote wale wanaoenda kinyume na mipango yake na wanao mchukia nao awashugulikie kwelikweli maana hatakuwa na cha kupoteza
 
Hata akina Mobutu, Gadhafi nk. walibana mwisho siku wakamaliza kwa aibu .
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom