New music audio Zuchu ft Diamond Platnumz

Kavinsky

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
289
1,000
Available in all digital platforms isikilize halafu leta maoni yako hapa

hq720.jpg


Personally nimependa sana ubunifu wa Diamond platnumz kutumia current situation pale anasema
"Tena wasipoteze muda kwa kura zao za kata,mi ndo kamati kuu hapa jimbo umepata."
All in all nyimbo ni nzuri
 

kali linux

JF-Expert Member
May 21, 2017
817
1,000
Wamepatia sana. Zuchu kaimprove sana kwenye vocals na kama hajaandikiwa verse basi uandishi wa verse yake katisha mno.

Diamond nae karudi kwenye zile romantic vocals zilizomtoa tandale ambazo wengi ndo zimefanya tumfahamu kupitia "Mbagala" , "moyo wangu" etc.....

Good music 10/10
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom